CHADEMA njooni vijijini uza sera kwenye jamii watu wana kiu na CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA njooni vijijini uza sera kwenye jamii watu wana kiu na CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtumishi Wetu, Dec 7, 2011.

 1. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Wapendwa wana JF bila shaka hamjambo,Asalaama Aleikhum; Bwana asifiwe!!!
  Jamani natoa ushauri kwa chama cha CHADEMA, tegemeo la wanyonge wanaodhurumiwa Watanzania, fanyeni mambo ya uhakika yafuatayo:-

  1. Kwanza kabisa hamasisha vijana wa vijijini ambao wako tayari kutumikia chama chetu, maana bila kuwa na vijana kwenye vijiji itakuwa vigumu kupata upenyo wa kupeleka sera za chama kwa jamaii!!!!!!

  2. Tayarisha kadi, vipeperushi, matangazo ya sera za chama ili zifike vijijini kwa watu wa rika zote. Kusambaza kadi ni muhimu saana kuna watu wanapenda kuwa wanachama wa CHADEMA lakini hawajui watapata wapi kadi za chama.Peleka kadi nyingi vijijini tupate wanachama wapya wengi!!!!!!!! Nacho ni chanzo cha mapato ya chama!!!

  3. Kipindi hiki ambacho watu wengine wana shughuli zingine ni muhimu kujitangaza kwa watu wa vijijini ( grass root), huko kuna wananchi wengi wanataka kujua habari za CHADEMA, msingojee mikutano ya hadhara watu wengine hjawafiki huko.

  4. Kutokana na hali mbaya ya uchumi watu wanausongo na hii serikali ya CCM inayopandisha bei za kila kitu, kuanzia sukari, mafuta, sabuni hadi chumvi, watu wanataka njia mbadala kuondoa kero za majanga ya gharama za maisha na CHADEMA ndilo jibu lao wanatakiwa kuelezwa wajiandae!!!

  5. Wakati huu wa kujivua maghamba ni muafaka kusambaza sera kwa watu wa kawaida, kama huku Arusha kina mama yeyo,Leighwanani, siankiki na molani wanataka kujua ukombozi utatoka wapi?????????
  Wadau wa mapambano ya ukombozi wa TZ nawakilisha!!!!!!!!!

   
 2. ntogwisangu

  ntogwisangu JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 516
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  mtumishi umenena!!!!twazungumza katika kujenga chama!!!MIMI NASEMA KAMANDA MBOWE KAZI ULIYOIFANYA YATOSHA!TUWAPE WENGINE TUONE KWA STRATEGY ZAO WATATUFIKISHA WAPI 2015!!!WEWE YATOSHA!!!SIKUCHUKII NI HOJA YANGU!!!!!
   
 3. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Mkuu tusianze kumpopoa Mw/kiti hata watu wakubwa wanapewa ushauri na wanaufanyia kazi, kabla ya kulumbana ebu tujenge chama cha wakombozi wa TZ!!!!!!!!!!Aluta Continua mapambano bado yanaendelea!!!!!!!

  In the middle of difficulty lies opportunity. Jumping at several small opportunities may get us there more quickly than waiting for one big one to come.
  Albert Einstein & Hugh Allen.
   
 4. ntogwisangu

  ntogwisangu JF-Expert Member

  #4
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 516
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  ni hoja nayo!!!!lakin mh!!!!
   
 5. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #5
  Dec 7, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hoja imetolewa na imeungwa mkono.
   
 6. T

  TONGINDI Senior Member

  #6
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ni kweli mdau chadema bado ina kazi ya ziada kujinadi vijijini, ili 2015 ichukue dola kiulaini.
   
 7. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #7
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Tunahitaji wadau waje na mapendekezo:-
  Kwa mfano; kama kadi zikiuzwa na maagent kwa bei tuseme Tshs 2000/= @ kila kadi moja chama kikachukua Tshs 1500/=@ Agent akabaki na Tshs 500/=. sio mbaya.
  Akisambaza kadi kumi tuu, anapata Tshs 5000/= kwa siku kama kuuza vocha vile!!! Chama kikiuza kadi (10,000) elfu kumi kwa siku kitu kinachowezekana, watapata Tshs 15,000,000/=.
  Hayoyatakuwa mapato ya kuimalisha chama kama kufungua ofisi na kuwa na matawi mengi vijijini!!!!!!!!!!!

   
 8. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #8
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  CHADEMA inahitaji kujiimalisha vijijini, mbali na kukamata mijini vijijini pia wanahitaji wakombozi wafike, kujiimalisha kwenye grass roots ili kuwe na urahisi kipindi cha uchaguzi wa 2015!! Haya tusonge mbele!!!

   
 9. K

  KIROJO Senior Member

  #9
  Dec 7, 2011
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ninaunga mkono hoja
   
 10. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #10
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Katika vurugu hizi za posho za wabunge , mara fedha za rada, mara kujivua maghamba ni wakati muafaka kufanya shughuli za kujitangaza na ku posses ground !!!!Tuwe kama wacheza mpira mabeki wakisinzia hayo hesabuni ni magoli, CHADEMA wanatakiwa kufunga magoli mengi kipindi hiki, jamaa wakishutuka washindwe kusawazisha!!!!!!!!!!!!
  Ushindi kwa kwenda mbele!!!!!!!
   
 11. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #11
  Dec 7, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Mtumishi unaona mbali, hongera. Chadema na wasikie tunataka kuona si tu maandamano bali pia kukua kwa chama chetu. Magazeti mengi makini yameandika kuhusu hoja hii japo chama hakitoi taarifa ni kwa kiwango gani wamelifanyia kazi.
   
 12. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #12
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Ahsante SILENT ACtOR kwa kuliona hilo inatakiwa chama kitoe taarifa ya kulitendea kazi isije ikawa tuna payuka tunaonekana majuha!!!! Kwa taarifa nilikwenda kijiji kimoja Kiseriani kata ya Mlangalini Arusha, kina mama Yeyo, wazee na vijana kibao wanahitaji kadi za CHADEMA, hizo zinahitajika faster kabla moto haujapoa!!!!
   
 13. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #13
  Dec 7, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Kaka nia na ya chadema sio kuchukua dola bali ni kurise ruzuku.sasa wanapata ruzuku ya milion280 kutoka serikalini tayari wamesha kipata walichokua wanakitaka ndio maana sasa wameacha operation sangara ambayo ilikua inasambaza chama vijijini na sasa wanadeal na maandamano ili wagawane posho na kulipana madeni hewa.kwa sasa wameamua kugawana posho kwa kisingio kwamba wanakwenda kutoa elimu kuhusu katiba.wananchi wameichoka ccm lakini hawana kimbilio mwisho wa siku wanajikuta wako chadema,chadema wanasambaza chama kwa kutoa matamko makao makuu ndugu zangu wanachadema kuchukua nchi2015 kwa kusubili matamko ya mnyika makao makuu ni ndoto za mchana na Dk slaa kuwa rais haiwezekani maana kwa sasa hana hoja zaidi ya maandamano na kukesha viwanja vya NMC arusha?mwanachadema jenga chama mwenyewe huko uliko ukisubili wakujengee hao wachaga unapoteza mda wao wako kumaximize profit sasa wanapataprofit ndio maana Dk slaa analipwa mshahara wa milion saba na nusu kwa kuongeza ruzuku na mbowe ndio anawauzia magari chakavu chadema mfano mafuso matatu kwa milion mia tano.
   
 14. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #14
  Dec 7, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  heshima mbele makamanda.
  hoja imeungwa mkono na cc nzima ya chadema na kwa niaba yao nawaambia kaeni mkao wa kupokea mabadiliko.
   
 15. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #15
  Dec 7, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kwa nini msikate 10% ya 200,000 posho za wabunge wa Chadema wanaouchukuwa kila siku bungeni...hiyo ni nje ya mshahara..

  Wabunge wachangie chama chao, nani atanunua kadi vijijini!
   
 16. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #16
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Hayo yoote umeyatoa wapi ndugu yangu, CHADEMA wanatumia kila mbinu kumfikia Mtanzania!!! Ila bado tuna toa ushauri wafike vijijini watumie watu woote wenye nia nzuri ya kujenga chama kusambaze sera za chama !!!! Kuwa kosoa sio mbaya maana hiyo ni changa moto ili wajisahihishe!!!! CHADEMA daima mbele kurudi nyuma mwiko!!!!!!

   
 17. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #17
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Kamanda Ringo Edmund hiyo ndiyo changa moto tuliyokuwa tunangojea kusikia toka kwenu!!!!!! Kweli watu wengi saana hasa vijana wanakiu ya kujiunga na chama makini cha kukomboa Watanzania toka mikono ya mafisadi!!!!!!!!!!!!

   
 18. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #18
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kwani Oparesheni Sangara imeishia wapi? ile namba za kuchagia mbona hawazikumbishi na kuhamasisha tuchangie chama jamani?
   
 19. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #19
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Ndg Bruker kuchangia ni watu wachache wanasoma magazeti na hizi blogs zetu, lakini tunatoa ushauri wazame vijijini huko kuna watu wengi saana wana kiu ya kuwa wanacham wa CHADEMA!!!!!!!!

   
 20. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #20
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Ndg Bruker kuchangia ni watu wachache wanasoma magazeti na hizi blogs zetu, lakini tunatoa ushauri wazame vijijini huko kuna watu wengi saana wana kiu ya kuwa wanachama wa CHADEMA!!!!!!!!
   
Loading...