maendeleo yapo ila si sawa kwa miaka 50 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

maendeleo yapo ila si sawa kwa miaka 50

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by undugukazi, Dec 10, 2011.

 1. undugukazi

  undugukazi JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  "Kwa kuwa wakoloni walituachia misingi dhaifu ya maendeleo ndio maana kazi ya kukuza uchumi ni kubwa" -JK . Ni kweli maendeleo tunayaona ila si sawa kwa miaka 50, tupunguze kujaza matumbo binafsi na tufanye mambo kwa maslahi ya wote...hivi uchumi wa tanzania unategemea nini hasa coz hamna sehemu tuliyo serious si madini, bandari, airport, kilimo etc kila kona tupo partial tuamue moja...mwaka huu ni kilimo tupige sera na kampeni za kilimo next kitu kingine afta years hata ukisema maneno hayo unaeleweka
   
Loading...