Leo ni miaka 48 ya Uhuru wa Zanzibar

MdogoWenu

JF-Expert Member
Dec 23, 2009
555
915
Wakuu,

Jana tumeadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa TANGANYIKA.

Kwa waingereza siku ya jana hata kama hawaadhimishi lakini wanakumbuka kuwa ni siku waliyokabidhi uhuru kwa nchi iliyoitwa TANGANYIKA miaka 50 iliyopita yaani December 09, 1961.

Vivyo hivyo waingereza haohao wanakumbuka kwamba siku ya leo walikabidhi uhuru kwa nchi iliyoitwa ZANZIBAR miaka 48 iliyopita yaani December 10, 1963.
 
Back
Top Bottom