Vijana na Tanzania tunayoitaka

Bitabo

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
1,900
687
Limeibuka kundi la watoto ambao wanakaa kwenye traffic lights na kuvizia magari then wanaosha vioo (wind screens) bila hata kumuomba dereva kufanya hivyo. Then wanaomba uwape hela ya kula. ukikataa na ukawa hujafunga vioo, unaipata habari yako...
Hebu wanasiasa na waheshimiwa wa wizara ya kazi na vijana. hebu jaribuni kufikiria miaka kumi ijayo hawa vijana watakuwa wakina nani hapa nchini????????
 
Wanaweza kuwa mafundi wazuri wa magari.Wanaipenda sana kazi ya magari.Wameanza na kuyaosha kesho wanaweza kuwa wafunguaji wazuri wa spare tyre.
 
Tatizo ni kwamba nchi hii imekosa viongozi wenye nia njema na nchi hii. hayo unayoyaona yametokana na umaskini uliokithiri kutoka kwa wazazi wa hao watoto, uliosababishwa na serikali ya ccm inayokumbatia matajiri. ukiangalia gape iliyopo kati ya wenye nacho na wasionacho hutatamani kupost thread ya kuwa undermine vijana hao!
 
Back
Top Bottom