Wabunge Kagera wamsusia mkuu wa mkoa kuadhimisha miaka 50

Nam...

Member
Nov 11, 2011
51
16
Ama kwa hakika ni jambo la kusikitisha kuona wawakilishi wa mwananchi ambao wanawezeshwa na mwananchi mwenyewe kufika walipo wanashindwa kuhudhuria makongamano mablimbali mkoani kagera yanayozungumzia kushuka kwa maendeleo ya mkoa.

Ulifanyika mdahalo ulioitishwa na mkuu wa mkoa FABIAN MASAWE katika ukumbi wa mkoa ukihusisha wadau mbalimbali wa Kagera, viongozi wote walifika lakini cha ajabu; hakuna mbunge hata mmmoja aliyeonekana.

Kasibante Redio ambayo ni ya mbunge flani mkoani kagera ikaandaa mdaharo mkuu wa mkoa na viongozi wengine wakashiriki mbunge hakuna, cha ajabu zaidi, miaka 50 ilisubiriwa kwa hamu lakini katika mkesha ndani ya uwanja wa mashujaa MAYUNGA hakuna mwanasiasa hata diwani eneo bwana MABRUK hakuonekana ni ajabu watateteaje wananchi wadau semeni wenyewe!
 
mgawanyiko ndani ya chama huo kwani huyo mkuu wa mkoa yuko kwenye kundi lipi ndani ya chama
 
Mwandishi tafuta mwalimu wa kiswahi. Unatuchafua miaka 50 ya uhuru Tanganyika kiswahili tatizo
 
Mwandishi tafuta mwalimu wa kiswahi. Unatuchafua miaka 50 ya uhuru Tanganyika kiswahili tatizo
 
huyo mpuuzi mkuu wa mkoa si ndo alikuwa dc wa karagwe akaiba kura mchana kweupe ili blandes ashinde?sasa kamtosa,wabunge wa tz wote wanaishi hapa daslam,sijui wanaipenda hii foleni?
 
Fabian Masawe, hakubaliki. alitumika kuiba kura, na kufanikisha wizi huo, akatunukiwa ukuu wa mkoa. Kama mtu siyo safi, kwa nini kushirikiana naye? Na uhuru gani unaouzungumzia? huu wa ccm kutuhubutu kup[ora mali za umma?
 
Mwandishi tafuta mwalimu wa kiswahi. Unatuchafua miaka 50 ya uhuru Tanganyika kiswahili tatizo
 
Mwandishi tafuta mwalimu wa kiswahi. Unatuchafua miaka 50 ya uhuru Tanganyika kiswahili tatizo

Nyani haoni... "Kiswahi" ndiyo kitu gani sasa? Halafu kisarufi jina la lugha yoyote linapoandikwa huanza na herufi kubwa, hivyo usiandike kiswahili andika Kiswahili.
 
Ni mshukuru aliyetaka kunifundisha kiswahili pasipokujali kuwa unapoandika unaweza kukosea na ndiyo maana naye kakosea katika kusahihisha kwake. Ndugu yangu unayesema mimi ni mpambe wa mkuu wa mkoa MASAWE soma hii. Aliyeandaa ni mkuu wa mkoa hivyo kiongozi asipofika inamaana hajakataa wito wa mwingine ni wa mkuu huyo wa mkoa, lakini pia kinachoumiza umma ni pale ambapo wananchi wenyewe wanajitokeza kusema matatizo yao wenyewe pasipowawakilishi wao ambao wanatakiwa kuwasemea sehemu yoyote madarakani. Hivyo basi ilikuwa muhimu kwa viongozi hao anglau basi wawakilishi wao kuwepo kama wao wana majukumu mengine. Na kubwa zaidi tunapoandika hapa tunalilia mkoa huo ambao muda mfupi baada ya uhuru 1961 mkoa ulikuwa watatu kwa maendeleo, hii leo ni wa 19 yaani wa 3 kutoka mwisho, mchango wa wabunge ni nini kama hawataki kuwaambia wananchi katika muda huu? KWANINI NISIANDIKE?
 
With time utanifahamu tu, usiwe na haraka. Niletee hao dada zako niwasaidie.

thubutu..mbunge uwe wewe?wewe ni kibaraka waNape huna hela wewe ..sitaki hata kukufahamu kwani hata wewe hutokuja kunifahamu...sehemu yoyote tanzania wapo machangudoa wanajiuza kanunueni ..si pesa ya serikali mnayo... ..you cant get my sisters they are in another level..na acha kutukana dada zangu unaweza kukuta unatukana malecturer wako bila kujijua..heshima mbele kama tai bwa mdogo sawa?
 
labda ana mbunge anamcameroun halafu anamgawia ndio maana zimemzidia!!
 
hawawezi kuja wakati hakuna posho. Pia huyo mkuu wa mkoa hakubaliki wacha akae peke yake kwenye uwanja wa mayunga. Maendeleo ya kagera hayaitaji kongamano, shule walienda kufanya nini wataalam tulio nao, mbona wakati wa kuufilisi mkoa hawakuita kongamano. mkuu huyo anashindwa kuelewa kuwa kahawa inachakachuliwa, elimu duni, mishahara chini ,miundo mbinu ya uafirishaji duni. hapo huitaji kngamano labda kujionyesha tu.
 
Back
Top Bottom