Wakati wengine wanakula matunda ya Uhuru Dar; Hili ndilo lililotokea jana Kigoma (Audio File)

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
Kumekuwa na matukio huko Kigoma kufuatia mauaji ya malipizi na vifo mikononi mwa POlisi. Sasa hivi wapo watu wanalala msituni wakikimbia kila gari linalopita. Polisi watuhumiwa kuua raia mikononi mwao na kikundi cha polisi wanaodaiwa kuhusika wanahojiwa. Ni mwendelezo wa mambo yaliyiotokea Januari 5.

Sikiliza Mwenyewe:

[JFMP3]www.jamiiforums.com/audio/jamii-kigoma.mp3[/JFMP3]
 
Attachments

  • JAMII NA MATUKIO DEC 11,2011.mp3
    2.9 MB · Views: 89
Kumekuwa na matukio huko Kigoma kufuatia mauaji ya malipizi na vifo mikononi mwa POlisi. Sasa hivi wapo watu wanalala msituni wakikimbia kila gari linalopita. Polisi watuhumiwa kuua raia mikononi mwao na kikundi cha polisi wanaodaiwa kuhusika wanahojiwa. Ni mwendelezo wa mambo yaliyiotokea Januari 5.

Sikiliza Mwenyewe:
Kamanda Kashai ameshamaliza kazi...sasa hivi hali ipo shwari
 
Authorities is all about hiding actual problems!! Haya hayana tofauti na jinsi polisi walivyo-handle albino saga!!
 
Ww rejao kama sio k.m basi ni masaburi sioni hata unachoongea cha maana. Lkn iko siku yataisha.
 
Poleni wanakijiji mnaoishi maisha ya mateso zidi ya dola ,ikiwa askari wanafanya vitendo hivyo mnayo haki ya kujihami kwa njia yeyote ile zidi ya askari hao ,imefika wakati mchukuwe sheria mikononi mwenu zidi yao hamuwezi kuwakabili wanatumia silaha za kileo lakini mnachoweza kukifanya ni kumwagia Petrol kituo cha polisi nyakati za usiku na kukipiga moto wakiwemo ndani likitokea hilo serekali itatafuta ufumbuzi wa matatizo yenu na amani ya kijiji itarudi
 
IGP Mwema, your hands are awash with the blood of innocent people. You're soaking in a blood of harassed people by your sub ordinates.

Jitafakari kaka, polisi wameua watu wengi mno toka nduguyo akupe kazi
hiyo, na siku zake za kukaa Magogoni zinahesabiska.
 
Back
Top Bottom