Ludovic Utoh kurithi mikoba ya Luhanjo, katibu mkuu kiongozi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ludovic Utoh kurithi mikoba ya Luhanjo, katibu mkuu kiongozi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Wa kusoma, Dec 10, 2011.

 1. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,315
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Ukipenda waweza kuiita tetesi, news alert, breaking news au vyovyote upendavyo. Lkn habari zilizonifikia kutoka chanzo changu cha habari kilichoko ikulu na bila shaka yoyote ni mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali ndg. Utoh ameteuliwa kujaza nafasi iliyoachwa wazi na katibu mkuu kiongozi mzee Luhanjo aliyestaafu december 1, 2011. Inasemekana kwamba Utoh alipendekezwa na Luhanjo mwenyewe kabla ya JK kukubali mapendekezo hayo.

  My take: Ikumbukwe wote hawa walikumbwa na kashifa ya Jairo na inasemekana uteuzi wa wakuu wa mikoa na wilaya, na makatibu wakuu wa wizara mbalimbali umefanywa na Luhanjo kwa kuwaweka maswahiba wake.
  Nawasilisha wakuu.
   
 2. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hii post ilikuwa inamfaa zaidi Yambesi. Anyway, utezi wa raisi haupingwi!
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,410
  Likes Received: 19,713
  Trophy Points: 280
  ngoja wale nchi si tumewapa wenyewe
   
 4. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #4
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ok, seen!
   
 5. S

  S.M.P2503 JF-Expert Member

  #5
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 463
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Utoh atakuwa mshika mbili... hivi hayo ya UN yameishia wapi tena au atakuwa anakula mzigo kotekote?
   
 6. a

  arigold JF-Expert Member

  #6
  Dec 10, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 60
  recycling same old guards....
   
 7. M

  Malabata JF-Expert Member

  #7
  Dec 10, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 256
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Watu wa aina hiyo siyo ndo wanaopendwa nchi hii,Waache waendelee kula mema ya nchi
   
 8. n

  ng'wabuki Member

  #8
  Dec 10, 2011
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu ndo aliechakachua ripoti ya bunge na ile mbaya zaidi ya UDOM. Nimekubali hakuna ambalo presdant wetu hakuna uovu, uonevu na mengi ambayo mtu anaweza kusema wizi au ufisadi asioujua. Hata mtu akisema kuwa anawatuma kufanya hayo wanayotutendea watz.

  Kilichotokea cha kuchakachua ripoti ya bunge huyu mzee utoh alitakiwa kufukuzwa kazi lakini kama ndo kateuliwa kuwa luhanjo, basi ni yaleyale na nchi hii itazidi kuwa tambala yaani kwishey. Watu wamelalamika mishahara wanapunjwa na wengine university fulani tangu wawe promoted nov 2010 hadi leo hawajawahi lipwa mshahara wao huo na si kweli kwamba prsdent wetu kuwa hafahamu lakini yuko kimya
   
 9. a

  adobe JF-Expert Member

  #9
  Dec 10, 2011
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 1,666
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  Uwezo wako wa kufikiri ukoje?
   
 10. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #10
  Dec 10, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,551
  Trophy Points: 280
  hivi Utouh na mvi zote hizo bado hajafikisha umri wa miaka 60 wa kustaafu kwa mujibu wa sheria kama ilivyo kwa Luhanjo?
   
 11. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #11
  Dec 10, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Utouh kuwa katibu mkuu kiongozi? Hivi hizo kazi kumbe mtu yeyote anaweza kuifanya? Utouh alikuwa CAG na imani yangu ni kuwa alikuwa na taaluma ya Uhasibu, sasa anapokwenda kuwa katibu mkuu hakuna tauluma ya tofauti inayohitajika? au ndo yale mambo ya mawaziri kuteuliwa kadiri rais apendavyo?
   
 12. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #12
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Mkuuu source fake.
  Kisheria ya Bongo land katibu mkuu anateuliwa kutoka kwa makatibu wa wizara zilizopo.Mtu aliyetegemewa kulichukua nafsi yake ni Jairo kwa kuwa sasa kimenuka uenda akawa mhaya
   
 13. T

  Tafakuru Member

  #13
  Dec 10, 2011
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Hizi mambo hazina taaluma. Kwani JK taaluma yake ni urais, ata sio utawala wala uongozi. Japo ninategemea Katibu mkuu kiongozi kutoka miongoni mwa makatibu waliopo
   
 14. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #14
  Dec 10, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Blandina Nyoni kama chief secretary angemsaidia sama Kikwete; kwanza ni mtu wa accounts hivyo mamabo ya matumizi mazuri ya fedha za serikali yangeimalika; pia she is a displined hard working lady ambaye uteuzi wake utaleta ufanisi na hakutakuwa na malalamiko ya Udini, na tatu kikwete mwenyewe amesema zamu ya wanawake safari hii kama vile Asha Rose Migiro!! Hizi sababu tosha za Nyoni kuteuliwa kwani pia ana uthubutu!!
   
 15. M

  Madcheda JF-Expert Member

  #15
  Dec 10, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 416
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Kasome katiba ya TZ,nazan kuanzia kifungu cha 143 mpk 145. Katiba inamkataza CAG mstaafu kufanya kazi yoyote ile chini tanzania baada ya kuacha madaraka ya u-CAG ndo mana waga anaendelea kulipwa mshahara mpk afe,so tetesi yako haina mashiko
   
 16. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #16
  Dec 10, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  According to CCM philosophy,Tanzania ina wenyewe!!!even if he/she is bogus
   
 17. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #17
  Dec 10, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,576
  Likes Received: 18,497
  Trophy Points: 280
  Wa kusoma, asante kwa tetesi hii, naomba ibaki tetesi mpaka ithibitishwe!. Usiivike nguo ya news alert wala breaking news kwa sababu Uttouh naye yuko kwenye list ya wanaostaafu hivi karibuni kwa mujibu wa sheria!.

  Atakayeteuliwa kujaza nafasi ya Luhanjo ni anayekaimu nafasi hiyo mara kwa mara ambaye si mwingine bali ni George Yambesi!.

  Alichofanya Jairo, sio kigeni, makatibu wakuu wengi wamekuwa wakikifanya ila Jairo ndie arobaini ilipomwangukia. Utouh alichofanya ni kumsafisha Jairo kuwa its normal practice and in so doing akaishia kuchafuka na bunge likamjia juu!.

  Baada ya taarifa ya kamati inayotaka Luhanjo na Uttouh wawajibishwe, rais JK sio kichwa maji kihivyo eti amteue tena Utouh kushika nafasi ya Luhanjo!.

  Kwenye organization set up, japo post ya Utouh, CAG na post ya Luhanjo CS, zina hadhi sawa, CAG is over and above CS kama ilivyo kwa chance ya kukaimu urais kati ya Spika na Jaji Mkuu, wote ni wakuu wa vyombo vya dola, lakini Jaji Mkuu is over and above Speaker. Sawa na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, mkurugenzi wa TISS, CDF na IGP wote ni wakuu wenye hadhi sawa lakini CDF ndio over and above japo really powers lies with TISS.

  Hata kama ni kweli JK angempenda Utouh kwa pendekezo la Luhanjo, na Utouh akawa na sifa zote zinazostahili, ile ripoti ya kamati ya bunge imemtia doa, this time, JK can't ignore utekelezaji wa mapendekezo ya kamati hiyo kama alivyo ignore utekelezaji wa mapendekezo ya kamati ya Mwakiembe kwa sababu ime mcost JK so dearly na inaendelea kutu cost watanzania wote as a nation, Tanesco wameshaomba ombi la dharura kupandisha bili ya umeme kwa zaidi ya asilimia 155% ili tufidie na tozo ya dowans ambayo lazima ilipwe!.

  CS mpya should be Yambesi!.
   
 18. Nduka Original

  Nduka Original JF-Expert Member

  #18
  Dec 10, 2011
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 753
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkubwa nimependa sana analysis yako na inaonyesha ni kiasi gani unajua mambo. Ila kwa swala la Utoh kuwa CS anaweza tu kukosa kwa mambo mengine ila sio eti JK ataona aibu kumteua sababu tu ya kashfa ya JAIRO. Siyo JK ndugu yangu kwani huyu bwana hana mshipa wa aibu. Unakumbuka wakati anaingia madarakani kila kona ya nchi hii ilikuwa negative kwa EL kuwa PM? Vyombo vyote vya habari viliandika na hata kuna wazee walimuonya JK kutomteua EL kuwa PM.

  Hivyo basi sintoshangaa JK kumteua hata JAIRO kuwa CS. Kama unataka jikumbushe kipindi cha kampeni jinsi JK alivyokuwa anawauza kina Mramba, Rostam na Lowassa.
   
 19. l

  laun Senior Member

  #19
  Dec 10, 2011
  Joined: Sep 5, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Well said,tufunge mjadala haina haja ya politics hapa.
   
 20. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #20
  Dec 10, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  If people object president's appointment of Uttoh as the successor to Luhanjo on the grounds of Uttoh's controversial report that cleared Jairo then they should perhaps be in a position to mention a single official in Kikwete government who is still unspoiled by scandals. The argument that Uttoh can not take over as CS just because he is corrupted is completely baseless because until now there is no any high-official who may be proclaimed absolute morally upright, all of them are sullied in one or another way.
   
Loading...