Yuko wapi Nape Nnauye?

Mpanzi

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
785
440
Wakuu kabla ya mkutano wa NEC Nape alikuwa active sana katika vyombo vya habari na mitandao ya Jamii, sasa hasikiki! Amezibwa mdomo?
 
Sasa hivi yupo dillema maana amegundua CCM haimtaki na ndani ya familia ya Baba yake pia walimtenga kwenye kumbukumbu ya kifo cha Baba yake. Kama mtakumbuka kwenye lile tangazo la kumbukumbu kwenye blog ya issamichuzi jina la Nape Nnauye halikutajwa kama ni sehemu ya watoto wa marehemu.
 
Kwenye conference juzu na journalist aliwaambia kwamba atakua kimya kwa mda mpaka wamalize kuandika afu atawajibu once...!! hahahaa hizi sio dalili nzuri at all...! lets wait and see...
 
Wana-Jukwaa, now inatosha kuongea habari za MAGAMBA (domokaya nape, mwizi lowasa, mnafiki mukama, zero brain JK). Ifike wakati tuongee national development, how we can make next step (hata kwa mass movement). Pls lets talk forward movement!
 
Kwenye conference juzu na journalist aliwaambia kwamba atakua kimya kwa mda mpaka wamalize kuandika afu atawajibu once...!! hahahaa hizi sio dalili nzuri at all...! lets wait and see...
Nilimsikia nikacheka kweli eti vyombo vya habari viendelee kuandika story zao zote wakimaliza wamjulishe kuwa wamemaliza ili aje kujibu ni kajua Nape anazidi kuchanganyikiwa yaani magazeti yaende ya karipoti kuwa tumemaliza kuandika tujibu, kwani yyana wajibika kwake.............Kwa hiyo kama waandishi hawata mfata kumjulisha kuwa wamemaliza kuandka story ina husu Nape na CCM(Magamba) hamtomsikia wala kumuona Nape akijibu vyombo vya habari.........
ila simwamini huyu jamaa naweza kukanusha hajasema haya maneno..............hahahaha
 
Wana-Jukwaa, now inatosha kuongea habari za MAGAMBA (domokaya nape, mwizi lowasa, mnafiki mukama, zero brain JK). Ifike wakati tuongee national development, how we can make next step (hata kwa mass movement). Pls lets talk forward movement!
Tunawaongelea kwasababu wao ndiyo sehemu ya matatizo yaani hawaepukiki....
 
Sasa hivi yupo dillema maana amegundua CCM haimtaki na ndani ya familia ya Baba yake pia walimtenga kwenye kumbukumbu ya kifo cha Baba yake. Kama mtakumbuka kwenye lile tangazo la kumbukumbu kwenye blog ya issamichuzi jina la Nape Nnauye halikutajwa kama ni sehemu ya watoto wa marehemu.

Hili hata mimi limenichanganya kidogo.........
....au zile tetesi kuwa Nape sio mtoto wa Nnauye zina ukweli!!
 
EL alivyoalikwa kanisani Singida alisema ameshinda vita! Ukiona mtu aliyeanza kwa kasi halafu ghafla baada ya tukio fulani anakaa kimya, ujue ni kweli ameshindwa!
 
anaumwa ugonjwa wa ngozi kutokana na madawa ya kujchbua anayotumia.. So dokta wake kamshauri asitoke nje mara kwa mara ilikukwepa athari za jua.
 
Wakuu kabla ya mkutano wa NEC Nape alikuwa active sana katika vyombo vya habari na mitandao ya Jamii, sasa hasikiki! Amezibwa mdomo?

Atakuwa amezibwa domo maana alionekana kutumia fedha ya chama kumchafua malaika Lowassa!!!!
 
Samahani wakuu nauliza, hivi Nape ndio nani ?

Hekima ni Busara, PAW
Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
Ahsantee.gif
michael-jackson.gif

Kuwa na Busara
 
Tehe tehe tehee Nape bwana!!!!mnafikiri EL mchezo yule ndio mwenye CCM nape ni houseboy tu.
 
anaumwa ugonjwa wa ngozi kutokana na madawa ya kujchbua anayotumia.. So dokta wake kamshauri asitoke nje mara kwa mara ilikukwepa athari za jua.

hii inawezekana, maana jamaa anaonekana anatembea kwa shida, macho yake hayaoni vizuri na juzijuzi aliugua ghafla akalazwa na kushindwa kwenda kwenye ile kesi arusha.
 
Sasa hivi hata humu jamvini hakanyagi kabisa yupo busy na FaceBook wall yake anaipost upupu almost kila siku!
 
Huwezi ukapambana na lowasa ukabaki salama,mpaka jkey analijua hilo.Jk naye ameshaanza kuonyesha fitina za waziwazi,itakuwaje kumyima nishani El na kuwapa wazembe kama makinda.Ni wivu usiokuwa na maana baada ya kuhusishwa kwake na richmond na kuona ngoma inahamia kwake
 
Back
Top Bottom