Salamu zangu za UHURU kwa wabunge wa NCCR Mageuzi.MOSES,KAFULILA NA MKOSAMALI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Salamu zangu za UHURU kwa wabunge wa NCCR Mageuzi.MOSES,KAFULILA NA MKOSAMALI

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kimboka one, Dec 10, 2011.

 1. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Nimeona nami nitoe salamu zangu za uhuru kwa njia hii baada ya kusoma habari iliandikwa na mhe moses machali ilikuwa inajibu ama kutoa ufafanuzi wa malumbano yanayoendelea kuhusu uhalali wa kuendelea na madara au kutoendelea kwa mwenyekiti wenu mbatia.mi niwakumbushe tu kwamba watanzania waliwapa madaraka wakiwa na imani kubwa sana nanyi lakini sasa mmeanza kupoteza imani hiyo.mi nianze kwa kushauri ni vema mkafanya kazi za kuwatoa watanzania ktk umasikini na kuacha malumbano yasio na tija kwani mi sioni hasara ya kumwacha mbatia amalize muda wake kisha mumtoe kidomekrasi,hii itaepusha chama kusambaratiaka tena itasaidia kutumia uzoefu wa mbatia na ushawishi wake kujenge chama akiwa nje kama mwanachama wa kawaida tena itawasaidia nyie kama wabunge na wanachama wote kuwa wamoja kuliko kumtoa faida ni ndogo sana,tena kumtoa na kumpa mtu kama kafulila uenyekiti ni kuruka mkojo na kukanyaga mavu.na hapa ni mkumbushe kafulila kidogo kuhusu ulipo toka ukiwa pale kinondoni alipo kutoa mnyika ukiwa mwalimu wa chekechea na baada ya kupata rafiki mpya ulimtema na kupata mwongozo wa kutoka chadema hatiaye zito akasaidia kupata ubunge sasa ninaona unataka kurudisha fadhili ila na mwenzako atomize ndoto zake za kuwa rais,mi sina shida ya mtu kutimiza ndoto ila asitumie hila ya kuumiza wengine.pia kabwe wakati kafulila akiwa chadema alikuwa mahiri sana wa kuandika makala za kumsifia mmbowe lakini alitopo toka uajua alichosema sasa kuwa makini pia hapa NCCR alisaidiwa sana na mbatia mpaka mambo ya kifamilia mpaka akapata ubunge lakini muda mfupi sana amejeuka bado wewe atakujeuka,nawe MHE mkosamali pia ambaye anakuburuza atakavyo,unafanya atakayo bila kufikiri wakati jimbo lako watu wanaandamana hawakutaki kwa mikakati ambayo wamekujengea wao wenyewe amka tumia akili zako.mhe moses endelea kufanya kazi zako kama kawaida tumekuwa tukisikia upo kasulu unatatua migogoro ya aridhi na mauwaji ya raia waache wao wale maisha Dar watarudi tena kigoma 2015.hizi ni salamu zangu na lengu ni kuwakumbusha wajibu wenu ACHENI MALUMBANO FANYENI KAZI MLITUMWA.
   
 2. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Tatizo la shule ya kata,angalia hiyo analysis!
   
 3. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Salamu murya kabisa.
   
 4. m

  muchetz JF-Expert Member

  #4
  Dec 10, 2011
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 496
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  Duh.. Mkuu
  Ujumbe hauwezi kufika hivi. Hamna paragraphs, hamna capitalization, sentensi haijulikani kama imeanza au imeisha!!!
  Tutasomaje sasa?
   
 5. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #5
  Dec 10, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  edit kwanza mkuu ujube usomeke vema
   
 6. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #6
  Dec 10, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  .asante ila atawe mkuu edit hapo si ujube ni ujumbe
   
 7. George Kahangwa

  George Kahangwa Verified User

  #7
  Dec 11, 2011
  Joined: Oct 18, 2007
  Messages: 539
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Naona mwendelezo wa tatizo. Yamkini ulitaka kuandika; hata wewe (sio atawe). Ama ni kifupisho?
   
 8. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #8
  Dec 11, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Huyu atakuwa mswahili wa msoga
   
 9. only83

  only83 JF-Expert Member

  #9
  Dec 11, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180

  Poor presentation..you need to improve your presentation mkuu!!
   
 10. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #10
  Dec 11, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  nawe EDIT hapo ili usomeke vyema!
   
 11. February

  February Member

  #11
  Dec 11, 2011
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hao kafulila, machali na mkosamali ni matunda ya cdm. Inawahitaji uvumilivu wa kifisadi kuendelea kufanya kazi chini ya m.kiti anaekula ccm na kufanya kazi nccr. Hapo ndio kazi ipo. Kubaki na m.kiti ambaye siku zote kazi yake kuunga mkono ccm. Kazi yake ni juhudi za kupambana na upinzani. Nawashauri wampe sharti la kwanza iwe kufuta kesi dhidi ya mbunge wa kawe mdee ambaye ni mpinzani. Tofauti na hapo wataendelea kuimba ngonjera za ccm kwa kujua au kutojua. Nikweli uamuzi wa kujiuzulu achiwe mbatia kuamua mwenyewe kwa heshima yake apime kama anadhani ana vigezo vya kuendelea kuwa kiongozi wa juu au la. Lakini uchaguzi ukifika asiwe na chaguo isipokuwa kupumzika. Ni uvumilivu tu. Wamewakuta akina kahangwa wakiwa chini ya m.kiti kibaraka wa ccm zaidi ya miaka kumi lakini wamevumilia. Kwanini wao wasivumilie japo hii miaka minne au mitatu iliyosalia? Kwa atakaeshindwa kukaa chini ya m.kiti kibaraka wa ccm asitese moyo wake, chama cha upinzani wa ukweli cdm kipo huru na tayari kuwapokea.
   
 12. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #12
  Dec 11, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Thnk u but msg sent! Mkuu.wakati mwingine nitajitaidi si unajua shule za kata japo pia hili ni tatizo la Jf ukiandika kazi kwenye word ukipast hapa inaharibu mpangilio wote.hii nilipanga vizuri but baada za kupost ikawa hivi.km kuna kosa la kiufundi tusaidiane wengine ni (BBC)- Born Before Computer
   
 13. n

  nkomelo JF-Expert Member

  #13
  Dec 11, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 212
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  pole mzee wa 'kujeuka' naamini next time utaandika kugeuka badala ya ulilotumia. However U have a material point kwa wa bunge uliowajadili.
  Si wote watafurahia ukweli huo, usivunjike moyo endelea kueleza lolote provided unaamini ni kweli, kweli tupu.
   
Loading...