Tanzania na hatima ya CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania na hatima ya CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mlawa Zahir, Dec 11, 2011.

 1. M

  Mlawa Zahir Member

  #1
  Dec 11, 2011
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanajamii forum napenda kuwaasa watu ambao kwa sasa wanapiga kampeni kuhakikisha wanamsafisha Edward Lowasa..watu hawa wapo karibu kila eneo humu social media,,magazeti,,TV na radio,,tanzania tunayoitaka na CCM tunayoitaka ni kuhakikisha Edward Lowasa hateuliwi kuwa mgombea wa CCM na hafanikiwi kuwa rais wa awamu ya tano coz ataliangamiza taifa kwa wizi na rushwa,,hivi hawa watu wanaomsafisha Lowasa anawapa shilingi ngapi? anawalipa shilingi ngapi? nadhani ni wapuuzi na wasioitakia mema tanzania kufikiria eti Lowasa ana msaada wowote kwa wananchi maskini wa Tanzania,,Lowasa na maskini hawaendani kamwe,,Lowasa anaendana na wezi na matajiri tuuuuu,,acheni utumwa wa kumsafisha Lowasa mwizi asiye na mipaka lakini CCM tuitakayo ni JK na mwenyekiti wa CCM amfukuze Lowasa haraka coz kama anawaza huko mbeleni atamsaidia ajue Lowasa akiwa rais wa kwanza kumshitaki ni Mhe.JK Sitta,Mwakyembe,,Ridhiwani Kikwete,,Makongoro Nyerere,,anaweza hata kumtesa Mama wa watu Maria nyerere na wale wote ambao wanaonekana kumwekea kauzibe asipate urais,,kwa sasa amenunua vyombo vyote vya habari ili visimseme vibaya likiwemo gazeti la sauti huru kwa kumnunua mkurugenzi wake mtendaji na waandishi saba wa sauti huru wamekimbia baada ya Lowasa kuingia hapo..tahadhari Lowasa akipitishwa na NEC ambayo imeoza kwa rushwa Upinzani unachukua nchi kilainiiiiiiiiiiiiii
   
Loading...