Sheria ya kuundwa kwa katiba mpya ya jamhuri ya muungano wa tanzania iliyosainiwa hivi karibuni na rais inakiuka misingi ya kidemocrasia na inavunja katiba ya jamhuri kwani imeingilia uhuru wa kuongea au kuzungumzia jambo ambalo ni kwa maslahi ya umma.sheria hii inatoa adhabu ya kifungo au faini ya mil 5 kwa yeyote atakaekuwa anazungumzia maswala ya katiba mpya.wadau hili mnalionaje?
Naomba kuwasilisha.
Naomba kuwasilisha.