Jk hakuwaalika viongozi wa eac? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk hakuwaalika viongozi wa eac?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtanzania haswa, Dec 11, 2011.

 1. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  wakuu hivi kwa nini JK hakuwaalika viongozi wenzake wa EAC countries? au walialikwa mie sikuwaona
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Dec 11, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Walialikwa wote, mpaka Central Africa lakini kila moja alitoa udhuru! Hapo nadhani utakuwa umejua kuwa wao wanajua kuwa tanzania haijapata uhuru bado!
   
Loading...