Muungano Upo Kweli Jamani??

Poriposha

JF-Expert Member
Oct 23, 2011
303
68
Sherehe za tarehe 9 december 2011 ilikuwa miaka 50 ya UHURU wa TANGANYIKA au TANZANIA? maana TANGANYIKA ndio ilipata uhuru wake 1961 na TANZANIA ni muungano uliofanyika mwaka 1964 ambayo ni miaka 47. Sasa najiuliza Muungano upo kweli jamaani?????????
 
Back
Top Bottom