Ma-first lady toka awamu ya kwanza mpaka ya nne...nani bora?

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
Nchi yetu yaani Tanzania imepitia awamu nne za uongozi,tangu mwalimu Nyerere mpaka Jakaya Kikwete.Je, unaonaje mchango wa wake wa marais kwenye maendelea ya taifa na hasa ukizingatia ile kauli "kwa kila mafanikio au kuanguka kwa mwanaume,nyuma kuna mwanamke" hiki maanisha kuwa hawa ma-first lady wetu wana mchango mkubwa kwa mafanikio au utendaji mbaya wa Rais.

1964-1985 ------ Mama Maria Nyerere
1985-1995 ------ Mama Sitti Mwinyi
1995-2005 ------ Mama Anna Mkapa
2005-now ------- Mama Salma Kikwete

Je,yupi ana mchango mzuri hapo?
 
mtiririko ulivyowataja ndivyo na ubora wao ulivyo.the last the worse!
 
Umemsahau Khadija Mwinyi, umemsahau mamaake Ridhiwani, umemsahau mamaake Mbowe, umemsahau mamaake Miraji
 
Ulivyowapanga ndugu yangu na mambo yao ndo hivyo.MAMA NYERERE is the best first lady and salma kikwete is the most very bad one.
 
Tatizo la huyo wa mwisho anaonekana the worst first lady kwa sababu ya shule yake ndogo.

Kwangu mimi the best ni mama Maria Nyerere. Anna Mkapa japo alimshauri mzee wizi lakini alimshauri aibe kwa kuuma na kupuliza, mama Sitti du, huyu nasikia aliuza mpaka madawa meupe ya kusaga,

Huyu wa sasa sijui hata anamshauri nini mshikaji, na nadhani mshikaji anaufuata ushauri wake ndio maana nchi iko hapa ilipo.
 
Nchi yetu yaani Tanzania imepitia awamu nne za uongozi...tangu mwalimu Nyerere mpaka Jakaya Kikwete...Je,unaonaje mchango wa wake wa maraisi kwenye maendelea ya taifa..na hasa ukizingatia ile kauli "kwa kila mafanikio au kuanguka kwa mwanaume,nyuma kuna mwanamke" iki maanisha kuwa hawa ma-first lady wetu wana mchango mkubwa kwa mafanikio au utendaji mbaya wa raisi..

1964-1985------Mama Maria Nyerere
1985-1995------Mama Sitti Mwinyi
1995-2005------Mama Anna Mkapa
2005-now-------Mama Salma Kikwete

Je,yupi anamchango mzuri hapo?
Utakuwa huwatendei haki wake wadogo wa JK, ama sheria inasema mke yupi ndo fest ledi?
 
Nchi yetu yaani Tanzania imepitia awamu nne za uongozi...tangu mwalimu Nyerere mpaka Jakaya Kikwete...Je,unaonaje mchango wa wake wa maraisi kwenye maendelea ya taifa..na hasa ukizingatia ile kauli "kwa kila mafanikio au kuanguka kwa mwanaume,nyuma kuna mwanamke" iki maanisha kuwa hawa ma-first lady wetu wana mchango mkubwa kwa mafanikio au utendaji mbaya wa raisi..

1964-1985------Mama Maria Nyerere
1985-1995------Mama Sitti Mwinyi
1995-2005------Mama Anna Mkapa
2005-now-------Mama Salma Kikwete

Je,yupi anamchango mzuri hapo?

salma kikwete ni kilaza! kilaza! kilaza x100
 
Tatizo la huyo wa mwisho anaonekana the worst first lady kwa sababu ya shule yake ndogo.

Kwangu mimi the best ni mama Maria Nyerere. Anna Mkapa japo alimshauri mzee wizi lakini alimshauri aibe kwa kuuma na kupuliza, mama Sitti du, huyu nasikia aliuza mpaka madawa meupe ya kusaga,

Huyu wa sasa sijui hata anamshauri nini mshikaji, na nadhani mshikaji anaufuata ushauri wake ndio maana nchi iko hapa ilipo.

Wacheni uzushi kuwazulia mama wa wenzenu mambo yasiyokuwa na msingi. Munapata dhambi za bure.
 
Huyo wa kwanza hajawahi kutoka out na Mzee. Anaweza kuwa bora kwa kulea watoto.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom