Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MAKAMU wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kiache lugha za upotoshaji kuwa Chama cha Wananchi (CUF) siyo chama cha...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Rais Jakaya Kikwete akimuwekea chaneli ya kupata lugha Rais Mwai Kibaki wa Kenya katika siku ya pili ya mkutano huo wa ICGLR wa kupinga unyanyasaji na ukatili wa kijinsia hoteli ya Speke...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Katibu mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) na Makamu wa Kwanza wa Raisi serikali ya mapinduzi Zanzibar Mh.Maalim Seif Hamad ataongea na wanachama wa viongozi wa CUF wa mkoa wa Dar es salaam kesho...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nyie mumetuharibia nchi yetu kwa kuendekeza rushwa ubadhilifu na upendeleo. Tukisema tuwaelimishe watu vijijini mnawambia wasitusikilize eti sisi ni wapinzani hata kama kitu kinacho ongelsio...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu leo Seif alisema atatoboa Siri juu ya Bifu lake na Hamad Rashid kwa Kuongea na Media saa tatu asubuhi Ikulu ZNZ sasa nimefutilia sana TV na Radio sijasikia lolote , je ameogopa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mara kadhaa tumeshamshauri Nape aachane na ujinga ujinga wake anaouendeleza lakini amekuwa hasikii. Na wenye akili tulimshauri awe makini sana anapoamua kutumika lakini bado amekuwa mbishi. Wengi...
2 Reactions
56 Replies
5K Views
I've had enough na kutazamana machoni Yes ni mchapakazi and all lakini as time goes by I'm getting tired of this guy. Whats so difficult kuwajibisha lile jeshi la wazugaji lilojazana pale...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Published On: Sat, Dec 17th, 201 Published On: Sat, Dec 17th, 2011 Tanzania | Wawi lawmaker Hamad Rashid Mohamed Wawi lawmaker Hamad Rashid Mohamed has said if plots to fire him from the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF tazameni ikulu ilivyokuwa accessible...hakuna kuficha majina ya staff wa ikulu na kazi zao...hii ndio transparency na democracy at work.
14 Reactions
30 Replies
6K Views
Saturday, 17 December 2011 07:58 Aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge,Phillip Marmo Na Mwandishi Wetu RAIS Jakaya Kikwete amewateua mabalozi wapya wanane...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Upepo wa Kuondoa viongozi mangi meza wa vyama sasa unaonekana kupamba moto. Ni dhahili kumekua na Udikiteta na Umangi meza wa kutaka kuongoza vyama vya siasa bila kikomo kwa kisingizio eti wao...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ndugu zangu sherehe za miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika zimeshapita. Je tumetufundisha nini kwa maendeleo ya nchi yetu?je bado unakumbuka tulikotoka?jaribu pia kutafakari kesho ya Tanzania. Sijui...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nape Atunukiwa Shahada Ya Pili Ya Utawala Mzumbe Submitted by Mjengwa on 16.12.11 Katibu wa NEC ya CCM Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akipongezwa na mama yake, Kezia Alfred, baada ya kutunukiwa...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Wanabodi JF.. Madiwani saba wa Chadema katika Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji la Arusha.. Wamesusia kikao cha baraza hilo baada ya kukataliwa kwa hoja ya mmoja wao kuhusu mgogoro...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa itv hbr za afrika mashariki,kutoka kenya ni kwamba mkuu mpya wa jeshi la polisi atakuwa sio lzm awe polisi itategemea timu ya usaili imeona nani anafaa!nawasilisha.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tanzania kweli ni nchi ambayo huwa inakulupuka katika maamuzi amba asili na msingi wake mkubwa ni ulaji tu. Historia inaonyesha RITA ilianzishwa chini ya Wizara ya Sheria na Katiba na baadae kuwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna tetesi kuwa Rais wa Seikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mheshimiwa Abeid Amaan Karume kuwa atapewa nafasi ya kugombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM 2015,habari zimezidi kuelezea kuwa yeye...
0 Reactions
99 Replies
12K Views
  • Closed
Wapendwa wana JF, Nachukia UFISADI, NACHUKIA WIZI, NACHUKIA UKWARE, NACHUKIA UNYANYASAJI WA WANAWAKE NA WATOTO, lakini acha yote hayo , NACHUKIA WASINGIZIAJI, WAPIKA MAJUNGU, WASHAKUNAKU na wale...
0 Reactions
29 Replies
9K Views
Kumekuwa na malalamiko mengi sana dhidi ya JF kuwa inawachafua watu binafsi, taasisi na vyama vya siasa kutokana na tuhuma za uongo. Mzee Mwanakijiji ndiye aliyeanzisha tuhuma za uongo humu JF...
2 Reactions
57 Replies
5K Views
  • Closed
Wakuu wa JF Nina wasiwasi na Social Security Reguratory Authority (SSRA) kama itakuwa inaitendea haki mifuko mingine maana imehamisha wakurugenzi toka PPF. Tanzania tuna mifuko mingi kama NSSF...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…