Tatizo la PPF sio ufisadi wala uzinzi bali kugombea madaraka na kuchafuana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo la PPF sio ufisadi wala uzinzi bali kugombea madaraka na kuchafuana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by asiamwandu, Jun 3, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. a

  asiamwandu Member

  #1
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wapendwa wana JF,

  Nachukia UFISADI, NACHUKIA WIZI, NACHUKIA UKWARE, NACHUKIA UNYANYASAJI WA WANAWAKE NA WATOTO, lakini acha yote hayo , NACHUKIA WASINGIZIAJI, WAPIKA MAJUNGU, WASHAKUNAKU na wale wanaojifanya kuwa wanapiga vita ufisadi kumbe wao ndio "MAFISADI"


  Naungana na Ngao One kumsihi Mwanakijiji kuwa aangalie yale anayoletewa kama data, ayatafakari na kuyafanyia uchunguzi kabla hajashiriki kwenye giza asilolijua. Hii itafanya heshima yake iliyojengeka kwa miaka mingi kuendelea hivyo. Asijiunge na wale wenye wivu wa kike na kuparamia mambo asiyoyajua.

  Matokeo ya kuparamia mambo ni kujikuta akimuunga mkono Sexon2000, wakati Sexon2000 huyo amevuta vile wanavyoviita Endowment na Gratuity kutoka PPF. Kwa kifupi Mwanakijiji amshauri Sexon 2000 ajivue gamba ndio aweze kuwa mmoja wetu katika vita hii ya ufisadi.

  Haiwezekani Sexon2000 avute mamilioni pamoja na Wakurugenzi wengine kisha yeye aje kuwageuka na kuwakaanga wenzake ilhali akiujua ukweli na hali halisi kuwa mafao hayo ambayo na yeye na wenzake wamepata ni sahihi.

  Mzee Mwanakiji amwambie Sexon2000 aache UZANDIKI, UNAFIKI NA MAJUNGU YA MITAANI.

  Kwa muda mrefu sasa nimefuatilia haya malumbano ya PPF yanayohusu ufisadi n.k. kiasi kwamba yakawa kero kubwa sana kwangu. Nikachukua hatua ya kufanya uchunguzi wangu binafsi ili kubaini kama wizi huu unaotajwa ni wizi kweli au kiini macho.

  Namfahamu sana Erio kwa muda mrefu sasa na ninajua kuwa yeye si mwizi wala Fisadi lakini niliona si sahihi kutoa hukumu yoyote kabla ya kuchunguza. Tuhuma zile zilinifanya nihisi kuwa labda Erio kabadilika vinginevyo kuna mtu anamtafuta.


  Wapendwa, kitu nilichokigundua huko PPF kimenisikitisha sana, hasa nilipogundua kuwa kumbe hakuna wizi, ufisadi wala huo uzinzi kwa hao wakurugenzi ambao wamekuwa wanatajwa kila siku humu JF.

  Pia nilitaka kujua ni kwa kiasi gani hao wanawake wenzangu wamekuwa wakinyanyaswa nikakuta pia hilo halipo.

  Kwa bahati nzuri nilikwenda mimi mwenyewe na kuwahoji baadhi ya wafanyakazi wakiwemo wanawake wanaodaiwa kunyanyaswa kijinsia.

  Kwa kweli kama hatuna kazi ya kufanya ni bora tutafute mashamba tukalime badala ya kuzua tuhuma nzito kama zile zilizoshushwa na akina Sexon2000; Mfichua Ufisadi; Tausi Mzalendo; The Classic; Ras Jah; Quadratic; eesway; na wengineo. Ukiacha Sexon2000 ambaye alikuwa Mkurugenzi PPF, waliobaki kwa mujibu wa taarifa ya ki-intelijensia ni wafanyakazi wa PPF wakiwemo wafanyakazi wa kawaida na Mameneja wao (Ukienda pale ghorofa ya pili na ya tatu PPF House utaambiwa kinagaubaga).


  Wapendwa, ukweli nilioupata ndio huu hapa:
  · Mshabiki mkubwa wa kwanza katika sakata hili ni Sexon2000 ambaye kumbe alikuwa Mkurugenzi pale PPF.
  · Muundo wa PPF ulibadilishwa kwa kuchanganywa kwa Kurugenzi mbili, Commercial Services (ambayo Sexon2000 alikuwa anaiongoza) na Pensions Services iliyokuwa chini ya Mzee Msangi.

  ·
  Baada ya muundo wa PPF kubadilishwa Sexon2000 na Mzee Msangi wakalazimika kuingia kwenye kinyang'anyiro na na dada mmoja anayeitwa Asumpta. Huyu Asumpta alikuwa Meneja wa Masoko chini ya Sexon2000. Huyu mama wa Kichanga aliwapita kwa mbali mabosi wake hao kwenye interview.

  Nimetonywa kuwa Mataka(aliyewahi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa PPF) na Mushi wa ILO walikuwepo kwenye hiyo interview, sasa wakaulizwe kama huyo Asumpta alipata Ukurugenzi kwa kuhatarisha ndoa yake au aliwachakachua akina Sexon2000. Infact huyu Asumpta is very intelligent.

  Nimefanikiwa kupata marks za interview hiyo. Ukitaka kujua competence ya huyu dada fuatilia mwenendo wa mafanikio katika Kurugenzi yake.


  · Huyu Sexon2000 (Michael Mjinja) ni mmoja wa wakurugenzi waliopata yale mahela yanayojadiliwa humu JF kila uchao na uchwao. Yeye hadi anaondoka PPF alipokea zaidi ya shilingi 400,000,000/= (2008 na 2010) kama ni uongo atoe ushahidi kuwa alipokea shilingi ngapi.

  Aanike vocha zake za malipo kama alivyoshiriki kuanika za wengine. Kama anabisha nendeni kwa vijana wetu wa JF ambao wako pale Finance (Ngome na Ringo) au mchukia ufisadi mwenzetu wa ghorofa ya tatu au yule mchukia ufisadi, mwandishi wetu mahiri wa humu JF aliyestaafu kwa hiari (Jaluo).


  · Ushahidi zaidi unaonyesha kuwa huyu Sexon2000 ndiye aliyewashawishi wakurugenzi wa Fedha, Intenal Audit, Human Resources, Planning and Investment kuwa malipo hayo lazima yatoke kwa kuwa ni halali. Lakini mara walipolipwa huyu alikuwa mstari wa mbele kuelekea kwenye gazeti la Raia Mwema kutoa taarifa za ufisadi.

  Mhariri wa Raia Mwema bwana John Bwirealimuuliza Sexon2000 kuwa kama fedha hizo zilikuwa ufisadi, kwa nini yeye hakuzikataa ? Sexon alijibu kuwa yeye alipewa tu kwa hiyo asingeweza kukataa.


  Kweli Sexon2000 hamwogopi hata Mungu. Kuanzisha kitu ambacho alipania kukitumia kuwaangamiza wenzake. Bahati nzuri kumbe malipo yakawa ni halali kwa mujibu wa taratibu za PPF. Cha ajabu hata katibu Mkuu Kiongozi alithibitisha uchunguzi wa Serikali kuwa malipo hayo yalikuwa halali (Nakala ya hiyo barua nimeipata kutoka kwa mtu wangu wa Wizara ya Fedha).


  Sexon alitaka kutumia malipo haya ili kumng'oa Erio na wasaidizi wake kutoka na visa mbalimbali anavyovijua yeye.

  SEXON2000 (Michael Mjinja) HII NI DHAMBI YA MAUTI.

  · Kwenye ukware ndio usiseme , huyu Sexon2000 ni Mkware wa kupindukia. Ushahidi uliopo unaonyesha alishavunja amri ya sita na dada mmoja anayeitwa Sirieli Mchembe (Mrs. Obama) ambaye ni meneja PPF, bila kujali kuwa bibie ni mke wa mtu na ni mtumishi wa kanisa moja la Kilokole (Efatha).

  Kila mfanyakazi wa PPF anajua habari hizi za Sexon2000 na Sirieli wala sio siri, kama ni uongo wana JF nendeni PPF mkaone ya Firauni maana ya Musa mmeshayashangaa, tingeni PPF House ghorofa ya pili na tatu mtayajua mengi. Masikini Sirieli aliingizwa majaribuni kwa kweli. Lakini cha kushukuru ni kuwa huyo sirieli ameshapata kitubio cha dhambi hiyo, naamini ameshasamehewa.


  ·
  Kuna orodha ndefu ya akina dada na akina mama waliodhalilishwa na Sexon2000 kwa ngono zake zisizo kifani. Kuanzia wafanyakazi waliokuwa chini yake hadi wake za mawaziri, makamishna, Wakurugenzi na wengineo unaoweza kuwafikiria. Nenda pale ghorofa ya tatu utayajua haya yote na mengine ambayo sitayasema.

  Sasa leo Sexon2000 anamtuhumu bwana Erio na wenzake kuwa ni wakware, Astakafirulah. Ajivue gamba kwanza.

  · Kama hiyo haitoshi Sexon2000 aliwahi kusafiri na huyo Mkurugenzi anayetuhumiwa kuwa "Mganda" nje ya nchi(uchunguzi wangu umeonyesha kuwa huyo mama ni mtanzania na ameolewa na bwana mmoja wa Kikuria). Sexon alijaribu kila mbinu kumghilibu huyo dada lakini wapi. Huyu dada ana maadili, anajiheshimu sana, amelelewa akaleleka wala hataki ukware, Sexon alishindwa akainua mikono juu.

  · Ugomvi mkubwa uliopo PPF unasababishwa na Wivu, Majungu, kijicho na kugombea madaraka wala si ufisadi wala wizi wala ukware. Kama kuna ufisadi mtu mwingine aende akachunguze atuletee ushahidi. Hivi vimetumika tu kama njia ya kuwachafua watu Fulani.

  ·
  Asilimia kubwa ya wale waliokuwa wakiwashutumu wana-Menejimenti wa PPF ni wafanyakazi waliokosa madaraka fulani baada ya kuweka matarajio makubwa ya kula unono, ambayo hayakufanikiwa. Yule jamaa wa Mbeya ambaye ndiye aliyeanika documents zote za malipo ya PPF hapa JF alitaka kuwa Mkurugenzi wa Fedha mambo yakawa tofauti, akazidiwa kete, akapata Mchaga Mmari.

  Tangu hapo idara ya Fedha ikawa haikaliki kila siku jamaa wa Mbeya akawa anatafuta jinsi ya kumlipua Mmari. Huyu alishawahi kufukuzwa PricewaterhouseCoopers (fuatilieni mtaona) akaenda kuwa Mhasibu pale IST, sijui PPF walimchukuaje, Labda Nsemwa atatujibu maana huyu ni kijana wa Nsemwa ambaye hadi leo anampelekea taarifa zote za mambo ya PPF.

  Mkitaka kujua maovu yake ambayo nimethibitishiwa pale PPF naweza kuwaletea japokuwa hakuna ulazima wa kufanya hivyo.


  · Pale HR napo usiseme alikuja jamaa mmoja anaitwa Maganga . Huyo bwana alitokea Capital Markets (Soko la Hisa) akashinda interview akapewa Jahazi.

  Jamaa aliyekuwa ana-act akatumia kila njia kumharibia mwenziwe. Huyu Maganga akamshtukia jamaa ikabidi ahamishwe idara. Mbaya zaidi huyu aliyekuwa ana-act alikuwa bosi wa huyu mzee huko kwenye Shirika moja linalohusika na kukusanya mapato. Conflicts za hapo zilisababisha mpaka jamaa mmoja aitwaye Mbilinyi akakimbilia TPC.

  Huyu sijaweza kumpata ili atoe dondoo zaidi. Mara nitakapompata nitashusha nyeti nyingine.


  · Hapa lazima niwalaumu watu wa HR na menejimenti yote. Huyu jamaa aliyeshindwa pale HR uwezo wake ni mdogo mno sijui ilikuwaje wakampa umeneja wa kanda mojawapo. Nyie HR vipi ?

  Mtu anashindwa sehemu moja mnamhamishia kwingine ?


  · Haya huyu Sirieli mwenyewe ajabu, madaraka alipewa bila interview lakini anachonga kama kasuku. Bado nachunguza alipewa cheo hicho kwa misingi gani. Habari za ndani zaidi zinatonya kuwa wakati mkataba wa Erio ulipokuwa unakaribia kwisha mwaka Juzi Sirieli aliandaa maombi maalum ili Erio asipate renewal, mmhhh ulokole huu, sijui Mungu ataamua.

  Baada ya kutubu dhambi ya kubanjuliwa na Mjinja, siku hizi ameanza kuibanjua amri ya sita na katoto kamoja ambako kako ofisi ya PPF Kanda ya Ziwa. Jina la kijana huyo nalihifadhi hadi baadaye.


  ·
  Nachukua fursa hii kama dada kumuasa huyu kijana wa Mwanza (Ji-Ka) kuacha kula makombo badala yake atafute msichana wa size yake aoe.

  ·
  Kasoro kubwa ya huyu mama ni NGONO, hakika ana Pepo la Ngono kwa maana kila mwanamume anayepita mbele yake anamtaka. Kwa miaka kadhaa sasa amekuwa na ugomvi mkubwa na Mkurugenzi wa Fedha kwa sababu za kunyimwa Ngono. Alijitahidi kutaka kusambaratisha familia ya Mkurugenzi huyu lakini Mungu akamnusuru.

  ·
  Wana JF vita hii inayoitwa vita ya ufisadi, uzinzi, wizi na unyanyasaji wa wanawake PPF ni vita ya ndani. Wafanyakazi wanaanika mishahara yao wakifikiri sisi tunafurahia, wanajitangaza kuwa wana mishahara mikubwa. Sasa sisi inatuhusu nini, sasa wametufanya tujue siri zao. Nyie watu wa PPF hivi mnaijua mishahara ya Bandari na marupurupu yao ? BOT je? TRA ? Mnachofanya ni ulimbukeni.

  ·
  Hebu fikiria lawama nzito anazopewa Mzee Mkapa kuwa kamteua mpwa wake, jamani hebu mwacheni mzee Mkapa apumzike baada ya kazi nzito ya urais.

  Kuthibitisha kuwa hakumpendelea bwana Erio hebu ona ushahidi huu:-

  o Mataka aliteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa PPF bila interview
  o Nsemwa aliteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa PPF baada ya Mataka bila interview
  o Erio aliomba kazi iliyotangazwa, akafanya interview akawashinda wenzake wanne kwenye interview ndipo akateuliwa kuwa Mkurugenzi
  Mkuu.

  Kwani Mzee Mkapa angetaka kumpendelea Erio angekuwa na haja ya kumwacha afanye interview kwanza ? Jibu ni hapana, kwa kuwa angeweza kumteua bila interview. Kwanza ukim-subject mtu kwenye interview unaweza kumsababishia kushindwa. Hapa Mzee Mkapa alikuwa fair. Na baada ya Erio kushinda, kama Mzee Mkapa asingemteua kushika wadhifa huo hapo ndipo watu wangepaswa kulalamika kuwa amemnyima mtu haki yake kwa kuwa wana undugu. Sasa hapo upendeleo uko wapi ? Au watu wana chuki zao binafsi na Mzee Mkapa ?


  Natoa wito kwa wana JF ili kulinda heshima ya JF waacheni hao PPF wang'atane wenyewe wasituhusishe sisi kwa tamaa zao. Mkitaka data zaidi za hao jamaa wa PPF nitafuteni kwa namba 071320503 nitawapa kwa undani. Msiponitafuta mimi mwenyewe nitaendelea kuwaletea nitawaletea taarifa kwa hiari ambazo mkizichunguza mtaniamini.


  Salaam Aleikhum
  ,

  Asia
  .
   
 2. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Hawa jamaa wa PPF wanasahau kuwa Mwanakjiji has all the time in the world and I wonder if they can keep up.

  Dawa waweke matangazo yao JF na hii sio guarantee kuwa kuwa all will be fine
   
 3. K

  Kiponya Member

  #3
  Jun 3, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh! hii ripoti yako imekaa kama umetumwa kuja kuwasafisha watu kwa kuwachafua/kuwatukana wengine humu jamvini! Bado nafanyia kazi maelezo yako nitarudi
   
 4. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Inavyoonekana da Asia wewe pia ni mfanyakazi wa hapo,suala ni uhalali wa hayo malipo kulingana na taratibu za hiyo GES,ingekuwa vyema kama ungekuja na maelezo ya kina yakueleza ni kwanini wanastahili kulipwa.Watu wanakerwa na kiasi kikubwa cha fedha wanacholipana watu wachache wakati wachangaji wengi wa huo mfuko wananufaika kidogo sana..!
   
 5. G

  Gerald David Member

  #5
  Jun 3, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo ni moja, maelezo yako mazuri lakini huwezi kuthibitisha kashfa ya ufisadi bila auditing, wewe unadai hakuna ufisadi ppf tupe hyo audited ripoti yako hapa jamvini! tatizo lako na wewe umetumwa na baadhi ya watu coz trend ni ile ile ya kuwasafisha walokutuma na kuwachafua washindani wake wa maslahi.
   
 6. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #6
  Jun 3, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Dada Asia, asante kwa uchambuzi wako.

  Umejitahidi kuonesha PPF hakuna ufisadi lakini bila kithibitisho chochote halali. Sana sana unachojaribu ni kumsafisha Erio dhidi ya Sexon 2000 ( ambaye umemtambua kuwa ni Mjinja).

  Tunaomba utuwekee viambatanishi vya uhalali wa GES, hiyo namba yako haitusaidii, pamoja na maneno mengi bila uthibitisho.

  Pia umejichanganya, unasema hakuna uzinzi, lakini umemtaja mtu hapo akijihusisha na vitendo hivyo. Sasa sijui ndo nia yako pia kumchafua huyo mlokole..
   
 7. T

  Taifa_Kwanza JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 443
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa style hii, haya malumbano hayatasababisha ndoa za wafu kuvunjika tu
  bali kuna watu wakajinyonga au kunyonga wengine.

  Siko happy kabisa na hii thread na zingine za namna hii.
   
 8. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Nakushauri kama umetumwa njoo kivengine na sio hivi. Kama umesoma vizuri nakala ya mwanakijiji kwanza sijaona sehemu uliyojibu je hawa wakurugenzi hawakupokea vijisenti hivi vya mafao wasiyostahili?

  Pia kama walipokea walitumia sheria gani ya kazi kwani group endowment scheme inasema ni kwa ajili ya staff upon their retirement na sio end of contract or tenure. Sasa tufafanulie walilipwa kwa sheria ipi?

  Zaidi ya hayo kwani mkurugenzi alimtimua Chief accountant wake alipohoji malipo hayo ya kifisadi ? Tukizidi kuchambua tunakuuliza je Mkurugenzi wetu Erio anajibu gani kuhusiana na maelezo yake kuwa yalifanyika mabadiliko ya sheria ya kazi wakati sio kweli? Pia tunaomba tukuulize nini kazi ya board of directors in PPF (kunywa chai au kusimamia pesa zetu????) ? Mwisho kabisa tunaomba nikuulize JE PESA ZETU ZITARUDISHWA LINI ???????
   
 9. M

  MENDE JEURI Senior Member

  #9
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 181
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mmmmh! weee umetumwa wewe! si bure.
   
 10. m

  mbagasa Member

  #10
  Jun 3, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi wana JF tunajadili hoja za maendeleo ya nchi au matatizo ya watu kazini?let us discuss IDEAS and not people with their events.
   
 11. j

  johnmashilatu JF-Expert Member

  #11
  Jun 3, 2011
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 538
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  Dada Asia sikiliza wewe...... wimbo wa kale eeh

  kwanza umenifurahisha kw aitendo cha kujidhalilisha ulijikifanya!. kutaja kwmaba ......hayo ni mambo ya kike. umeonyesha jinsi unavyowadharua wanawake. wakati wewe mwenywe ni wa jinsi hiyo. unajidharau

  hivyo kwa msimamo huo, kama wewe tayatri umejidharu( kama kweli ni mwanamke) maelezo yako yanakosa mashiko tangu mwanzo.

  Dada Asia sikiliza wewe......., umetumwa umetuwa....... kuna mambo mengi yanajitokeza katika maelezo yako. unahusika katika ufisadi huo hapo PPF.

  dada Asia sikiliza wewe.. inashangza kwmaba ukienda ppf utapata taarifa zote. najiuliza kivipi, mwandishi, usalama, takukuru, polisi, wikileaks, sio rahisi wewe dada ( kama ni kwei) kuacha kazi huko manzese uende ppf tena ujaua ghorofa ya pili au tatu utapata taarifa hizo

  zimebandikwa ukutani? wapi unaweza kwenda ukauliza juu ya mahusiano ya kingono ya mtu mwingine ukapewa kwa jinsi unavyoeleza?

  wewe ni mhusika wa hii scheme. unachokosea ni kuacha kujadili hoja na sasa unataka kutupeleka kusiko husika. sawa masuala ya ngono kama kuvunja ndoa za watu ni mabaya lakini hapa yameingia vipi

  nimesoma taarifa ya mzee mwanakijiji kuna hoja, haelezi juu ya ugomvi wa madaraka. kuna uhalalali wa hayo malipoo. dada asiha jibu hayo.

  huwezi kuwashawishi watu kw anamna unayotaka kufanya hata kuweka namba ya simu haitssaidia, sana sana utawawaaminisha watu wasiopenda kuzifikirisha bongo zao.

  kwangu mimi niliyemko mbali na mifuko hiyo ambayo naona kama ji aina fulani ya wizi wa fedha za watu maskini, iinaongeza imani yangu kwa kauli ya maarufu kuwa aliyenacho......

  hata hi vyo, Dada asia sikliza wewe.... umen-bore, umeni bore
   
 12. s

  sexon2000 JF-Expert Member

  #12
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Dada Aisha ni Wiliam Erio mwenyewe. lugha aliyotumia ni tone ya Erio.

  Erio acha kuandika watu, jibu hoja za mwanakijiji.

  Mimi sexon2000 sio Mjinja, bado tupo wote hapa PPF House. Nitajitokeza serikari ikiunda tume huru.

  Erio unamsema Mjinja kuwa mzinzi na unajua alipopita kwa sababu mlikuwa wote kwenye huo uzinzi wenu, naamini hata ukurugenzi ulimpoka kwa ugomvi wa kushindwa kwenye kupata mademu wazuri.

  Kumbuka mlipokuwa malafiki katika ngono mlipojiita THE CHARLES GROUP. Kundi la wazinzi.

  Nitarudi dada Erio AKA Aisha.
   
 13. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #13
  Jun 3, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,551
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Asia,
  shukrani kwa post kubwa, lakini ninachokiona kwenye post yako ni kuwa hukatai kuwa huo ni ufisadi, bali una taka watu wote tuukubali eti kwa sababu wengine wanalipwa na wanachukua kama BOT, Bandari nk.

  Kwa post yako ambayo inaonyesha kuwa na wewe ni mfaidika wa huo ufisadi kwa namna moja au nyingine na unachuki na wenzako, hii inatufanya tuone kuwa kuna haja kubwa ya kupitisha fagio la chuma hapo PPF kuna uchafu mkubwa kuanzia ufisadi mpaka maadili...
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  NImesikitishwa sana na member anayejiita asia....

  hajajibu shutuma za ufisadi
  amehamishia tuhuma kwa Mjinja
  amemchafua Sirieli Mchembe (kibaya zaidi anasema sirieli ametubu, na mungu amemsamehe) mara tena anaingiza Ji-Ka... simuelewi), naona ameelekeza kashfa kwa watu wawili

  MY FOOT!!!!!
   
 15. F

  FJM JF-Expert Member

  #15
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Ugonjwa unaotafuna PPF unafanana sana na ule wa CCM - NI MITANDAO.

  Kuna mtandao wa Mkurugenzi aliyepita - yaani Nsema, na mtandao wa mkurugenzi wa sasa - Erio.
  Malipo yote yanayotekea sasa hivi yalikuwa yanafanyika hata wakati wa NSEMWA lakini hakuna aliyesema chochote, ila baada ya 'MSIMU WA KULA wa mtandao wa Nsemwa kuzimika, basi 'waathirika' wakaghalifika' na sasa wanapambana na mtandao wa Erio.

  Haya ya Siriaeli na uzinzi ni kweli. Huyu dada ni msanii kuliko Kakobe, na kwa kiasi kikubwa amefika hapo alipo kwa kutumia 'natural resource yake'. Ni mzushi beyond words! delivery zero.

  Kwenye list ya mwanakijiji, naomba kuwataarifu kuwa Chenza na Mjinja wameshaondoka PPF! Na sidhani kama wameondoka vizuri! ila walipata malipo ya mazito.
   
 16. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #16
  Jun 3, 2011
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Asia,

  Naona lengo lako kubwa ni kuvunja ndoa ya huyo uliyemuita mlokole na kutaja jina lake kabisa wakati unajua ameolewa. Unafikiri mume wake akiipata hii habari ni kitu gani kitatokea? Kuhusu kupinga kwamba PPF hakuna ufisadi, twambie ni kwanini kamati ya bunge inayoongozwa na Zitto imeagiza hayo malipo yasimamishwe?

  Kwa tarehe uliyojiunga hapa JF, nina imani umetumwa kuwasafisha watu fulani na wakati huo huo kuwachafua wengine.

  Tiba
   
 17. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #17
  Jun 3, 2011
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nakushukuru sana Asia kwa kutuongezea skandal nyingine ndogondogo japo hujagusa zile zenyewe kwa hiyo unazikuabli asante.
   
 18. K

  Kiponya Member

  #18
  Jun 3, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Natoa wito kwa wana JF ili kulinda heshima ya JF waacheni hao PPF wang’atane wenyewe wasituhusishe sisi kwa tamaa zao. Mkitaka data zaidi za hao jamaa wa PPF nitafuteni kwa namba 071320503 nitawapa kwa undani. Msiponitafuta mimi mwenyewe nitaendelea kuwaletea nitawaletea taarifa kwa hiari ambazo mkizichunguza mtaniamini.


  Hivi mmeitazama vizuri hiyo namba ya simu ya dada Asia! Its INCOMPLETE! Ni usanii mtupu.
   
 19. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #19
  Jun 3, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Burden of proof iko kwa Asia hapa

  wenzie wameleta nondo PLUS supporting evidence

  yeye kaja na mdomo mtupu

  well...now you know who some of us will believe
   
 20. m

  mchukiaufisadi JF-Expert Member

  #20
  Jun 3, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 538
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Mawazo ya kuwa kuna mitandao ni ufinyu wako wa kuona mambo mabaya na kushindwa kusema ni mabaya.

  Group Endowment imekuwepo toka enzi za David Mattaka. Nsemwa ameikuta. Waliolipwa wakati wa Nsemwa ni wale waliokuwa wafanyakazi wa kudumu tu. Nao wlilipwa pale wanapotimiza miaka 55 au zaidi, wategemezi ikiwa mfanyakazi kafariki au waliokuwa retrenched.

  Wafanyakazi wa mikataba stahili yao ni GRATUITY 25% ya mishahara yote waliyopata wakati wa ajira. Hakuna mfanyakazi wa mkataba aliyepata haya malipo tata wakati wa Nsemwa. Kama yupo, naomba ututajie hata wawili tu.

  Kinachosemwa kuwa ni uizi wakati wa Erio ni kulipa Group Endowment kwa wafanyakazi wa mkataba ambao hawakustahili.

  Nsemwa ndiye aliwaajili akina Erio na vibaraka vyake vyote. Sasa mtandao ni upi? Kama hujui uliza sio kujirusha bila umakini.

  QUOTE=FJM;2053329]Ugonjwa unaotafuna PPF unafanana sana na ule wa CCM - NI MITANDAO.

  Kuna mtandao wa Mkurugenzi aliyepita - yaani Nsema, na mtandao wa mkurugenzi wa sasa - Erio.
  Malipo yote yanayotekea sasa hivi yalikuwa yanafanyika hata wakati wa NSEMWA lakini hakuna aliyesema chochote, ila baada ya 'MSIMU WA KULA wa mtandao wa Nsemwa kuzimika, basi 'waathirika' wakaghalifika' na sasa wanapambana na mtandao wa Erio.

  Haya ya Siriaeli na uzinzi ni kweli. Huyu dada ni msanii kuliko Kakobe, na kwa kiasi kikubwa amefika hapo alipo kwa kutumia 'natural resource yake'. Ni mzushi beyond words! delivery zero.

  Kwenye list ya mwanakijiji, naomba kuwataarifu kuwa Chenza na Mjinja wameshaondoka PPF! Na sidhani kama wameondoka vizuri! ila walipata malipo ya mazito.[/QUOTE]
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...