Sherehe za miaka 50 ya uhuru wa tanganyika zimeshapita: Tumejifunza nini?

Apr 11, 2011
14
5
Ndugu zangu sherehe za miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika zimeshapita. Je tumetufundisha nini kwa maendeleo ya nchi yetu?je bado unakumbuka tulikotoka?jaribu pia kutafakari kesho ya Tanzania. Sijui kama taifa tumejiandaaje kukabiliana na mdololo wa uchumi na mfumuko wa bei na hatimae maisha magumu kwa watanzania. Kiukweli hali ya kiuchumi na kifedha kwasasa imekuwa ngumu kupita kiasi.
 
Tumenufaika na nini? Hilo ndo swali! Almost 64 billions tshs zilipotea kwenye upupu ule.
 
Back
Top Bottom