Tazama Ikulu ilivyokuwa open and accessible

091207_secret_service_ap_392_regular.jpg

WAKIENDA KAZINI

xin_51201070114204681198983.jpg

secret-service.jpg
 
sie wameamua kuziba kila kitu huwezi kuona hata wanavyotesa wale wanyama mle ndani...wale tausi wanajaa kutwa nzima wanashinda Southern Sun

sasa jiulizeni kama wanaweza kuwatesa wale Tausi na njiwa ndio watashindwa binaadam?

btw

nani jana alikuwepo kwenye mnuso?
 
  • Thanks
Reactions: Paw

nadhani mleta mada alikuwepo..
 
"Iku.lu imejaa vibaka manzese wanawakamata,wanajiuliza dr slaa ni wapi anapata data hata nikivaa mlegezo ik.ulu napiga chata"-Roma
 
sie wameamua kuziba kila kitu huwezi kuona hata wanavyotesa wale wanyama mle ndani...wale tausi wanajaa kutwa nzima wanashinda Southern Sun

sasa jiulizeni kama wanaweza kuwatesa wale Tausi na njiwa ndio watashindwa binaadam?

btw

nani jana alikuwepo kwenye mnuso?

Haaahahahaa umeniacha hoi, wale Tausi wanashinda Southern Sun shauri ya njaa?? na kiu? Mkuu hiyo kali Loh!
 
hahahahaaa!!
Tausi nao wanapenda chips kuku na mazagazaga ya maana, sio kila siku maharage tuuu!! Wanaamua kwenda zao southern sun angalao wanaweza kubahatisha burger.
 
USA kila mambo mengi ni open,maana wanajiamini na wanachukulia ikulu kama ofis nyingine za serikali,ila kwa nchi kama hii tanzagiza,huwezi ona kitu,maana wana woga,then wana weakness nyingi sana ambazo wanahofia wa2 wakizijua itakuwa ni aibu
 
hahahahaaa!!
Tausi nao wanapenda chips kuku na mazagazaga ya maana, sio kila siku maharage tuuu!! Wanaamua kwenda zao southern sun angalao wanaweza kubahatisha burger.

Bado wale wanyama wengine nao hamkawii kuwakuta kigamboni
 
Ila ipo siku tz patakuwa na maisha poa....ni muda tu bado haujafika. Tuungane kuleta mabadiliko nchini.
 
Tusifanye makosa kulinganisha White house na Black House ya Dar. Obama ni kiongozi na si mwizi kama hawa majambazi wetu. Obama ameingia kwa ridhaa ya wananchi na mipango madhubuti inayoingia akilini. Sio kama hawa matapeli wanaotoa ahadi wasitimize hata nusu yake. Obama anaongoza kwa sheria na taratibu na si kama hawa wetu kujuana, familia, udini, ushenzi, ufisadi, kulipana fadhila na uchafu mwingine.
 
Wanasiasa wana msemo 'HATUJAFIKIA HUKO' Yaani level ya kuwa transparent hivyo. Tofauti kubwa kati ya wenzetu na sisi ni kuwa wenzetu wanafanya siasa ili historia iwakumbuke kwa mazuri waliyoifanyia jamii, sisi tunafanya siasa ili mkono uende kinywani.

Unapokuwa umechaguliwa na wananchi na pia wananchi haohao kuwa na nguvu ya kukuacha uchaguzi ujao, IKULU si mahala pa kudumu na kupafungafunga ila ni mahala pa kuonesha wananchi jinsi serikali yao ilivyomakini. Ila unapokuwa na mtu anayetiliwa shaka ushindi wake kuwa amechakachua basi ni lazima mambo wayapeleke undergroung. Yaani Tanzania watu wanaona IKULU ni mali ya wateule wa CCM, wakati wenzetu ikulu ni mali ya wananchi.

Tazama Ikulu ya Marekani inaongozwa na vijana wadogo sana, katibu muhtasi wa raia ana miaka 28, sisi huku kwetu hupewi nafasi hiyo mpaka uwe na uhusiano na mtu na mtu huyo awe na uhusiano na mtu halafu TISS wakuchunguze kuanzia ulipobebewa mimba mpaka ulivyo sasa hivi na wakati mwingine wanaambulia stori za majungu. Unapokuwa unazunguukwa na wazee IKULU basi akili zako zinakuwa goigoi.

Ni kweli rais anatakiwa kupewa ulinzi wa hali ya juu kwani si wote watakaonufaika na maamuzi yake hasa katika nchi inayoongozwa na mtu mmoja mwenye nguvu za ajabu kikatiba kama Tanzania, nafikiri ni wakati sasa wakajiweka pembeni wawaachie vijana waipeleke nchi kule wanakoitaka.
 
Duh! ungekuwa unakunywa ulanzi au komoni au mbege au lubisi au mataputapu.. ningekununulia dumu moja........:A S thumbs_up:
 
wanyama wamezoea harufu ya nyikani sasa wao hata hawatambuani kwa kunusana wote wanuka samaki hati!! ukila nyama ya sawa sawa na kula samaki
Mbaya zaidi hakuna anyejua kama wale wanyama wanapata matunzo mazuri

kama wangepata matunzo mazuri tausi wasingekuwa wanashinda southern sun kudowea chipsi pale kwenye wiming pool au wasingekuwa wana wamekonda kama huyo hapo juu...yaani maskini ya mungu kabaki kichwa tuu bas!

Salva tunakuomba uwape chakula hawa tausi tafadhali hebu mwogope muumba
 
mambo ya computer hayana mtaalam wa mwisho hata Bill gate haijui computer yote. huwezi ukajificha kwenye machine iliyotengenezwa na binadamu halafu unadhani binadamu mwingine akiamua kukufuatilia kwenye computer hatakupata. mawazo haya ni mgando na yamewaponza wengi wamekamatwa. mwisho wa ujuzi wako kwenye computer ndiyo mwanzo wa ujuzi wa binadamu mwingine lakini unaweza usiwe mwisho kwa mwingine
 
Back
Top Bottom