Maalim Seif kuongea na viongozi na wanachama wa CUF wa Dsm kesho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maalim Seif kuongea na viongozi na wanachama wa CUF wa Dsm kesho

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MANGI MASTA, Dec 17, 2011.

 1. MANGI MASTA

  MANGI MASTA Senior Member

  #1
  Dec 17, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katibu mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) na Makamu wa Kwanza wa Raisi serikali ya mapinduzi Zanzibar Mh.Maalim Seif Hamad ataongea na wanachama wa viongozi wa CUF wa mkoa wa Dar es salaam kesho jumapili kuanzia saa 3 asubuhi kwenye viwanja vya makao makuu ya CUF buguruni Dar es Salaam.Lengo ni kutoa ufafanuzi kuhusiana na kimgogoro kinachoendelea ndani ya chama hicho.
   
 2. MANGI MASTA

  MANGI MASTA Senior Member

  #2
  Dec 17, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tusubiri tusikie
   
 3. MsakaGamba

  MsakaGamba JF-Expert Member

  #3
  Dec 17, 2011
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 392
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wafu wazike wafu wenzao.
   
 4. Linyakalumbi

  Linyakalumbi JF-Expert Member

  #4
  Dec 17, 2011
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Like Father like son,Haha hahaaaaaa.JK yeye sasa aende akaongee na Wazee wa Kibandamaiti pale Unguja!!! Nyie ongeeni na Wazee wenu whatever vijana,sijui wanachama wa Dar,Sisi ni nchi nzima kwenda mbele maana kila mbuzi ni urefu wa kamba yake,bahati mbaya CUF & Magamba ndo imeeishia Dar maskini!!!!!
   
 5. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #5
  Dec 17, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Makao makuu ya CUF buguruni au pemba? hawa wapemba wawili wasiopatana kwa nini wasimalizane huko huko pemba? Ama kweli wazanzibari ni popo, hawataki muungano lakini wanaishi tanganyika. Nadhani wanatumia kelele za kuvunja muungano kama mtaji wa kujipatia mlo (jizya) kutoka tanganyika ( Maraisi 3, waziri kongozi, mawaziri kwenye serkali mbili zanzibar na muungano, wabunge kwenye mabunge mawili zanzibar na muungano, viongozi wa vyama vya siasa mbalimbali kwenye nchi mbili zanzibar na tanganyika) ukilinganisha na idadi yao na udogo wa kinchi chao utagundua kuwa karibu kila kaya ya kizanzibari ina kiongozi kwenye ngazi mbalimbali (utendaji wa vijiji, udiwani, utendaji wa kata, ukuu wa wilaya, ukuu wa mikoa, ubunge, uawaziri, umakamo raisi, uraisi) ukiachilia mbali wafanyakazi wa serkali za muungano na zanzibar. Mmmh! wazanzibari wametushika pabaya watanganyika chao chao chetu chao!!! Popo si ndege popo si mnyama????
   
 6. MANGI MASTA

  MANGI MASTA Senior Member

  #6
  Dec 17, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maalim Seif ni kiongozi na mwansiasa aliyekomaa sana na anabusara.Nikiongozi wa pekee Tanzania anyejua nini awafanyie wananchi wake ili nao wasonge mbele.Namshangaa hamad rashid anvyomshutumu huyu mzee wa watu.Kweli mambo mengine huwa ni laana ndo zinamtuma mtu afanye kitu ndio maana kwenye kikao cha leo Zanzibar Maalim alimpuuza hamad kwa kutotaka kumzungumzia kabisa.
   
Loading...