Hivi SSRA ni kichaka cha mafisadi wa PPF? SSRA Haitaipendelea PPF kwenye ufisadi na wizi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi SSRA ni kichaka cha mafisadi wa PPF? SSRA Haitaipendelea PPF kwenye ufisadi na wizi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mchukiaufisadi, Apr 20, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. m

  mchukiaufisadi JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 538
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Wakuu wa JF

  Nina wasiwasi na Social Security Reguratory Authority (SSRA) kama itakuwa inaitendea haki mifuko mingine maana imehamisha wakurugenzi toka PPF. Tanzania tuna mifuko mingi kama NSSF, PSPF, GEPF, LAPF, NHIF, ZSSF na PPF Fisadi.

  Angalia hali ilivyo:

  1. Mkurugenzi Mkuu, Katokea PPF kama Investment Manager kapitia Stanbic Bank

  2. Mkurugenzi wa Ukaguzi (Director of Internal Audit), Katokea PPF kama Audit manager

  3. Director of IT, Katokea PPF kama Director of IT (Huyu ni Mganda)

  4. Director of Public Relations, Katokea PPF alikuwa kama PR Manager.

  MENGINE:

  1. Director of Operations katoka naye Stanbic Bank. Hana hata background ya Social security. Ina maana alikosa kutoka mifuko mingine yote?

  2. Juma Mhimbi: Board member alikuwa PPF kama Director of Finance kabla ya kuondolewa kwa ubadhirifu, na bado ana kesi na PCCB. Yupo nje kwa dhamana. Serikari imekosa waadilifu hadi kutumia watu wenye kesi mahakamani? Nasika hata NBAA nao wanamtumia kwenye bodi zao
   
 2. MrNSSF

  MrNSSF Senior Member

  #2
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  where is the outrage???
   
 3. MrNSSF

  MrNSSF Senior Member

  #3
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0


  Jamani is this a joke or what?

  hivi hii nchi inaelekea wapi?
   
 4. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2011
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hii ni PPF kwenye gamba la SSRA
   
 5. s

  sexon2000 JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2011
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni nguvu ya UMMA ambao ni wanachama tu ndio itakayo iokoa PPF. Mkulo na wengine ni vimeo na wala rushwa.
   
 6. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  • Ulitaka watoke wapi?
  • Uliomba au kuna mtu gani unayemjua aliomba kazi gani wakakosa na ambayo aliyepewa hana vigezo
  Eti katokea stanbick hana hata background ya ya social security

  Jipange vizuri ulete thread yennye mshiko na sio kila kitu lazima kiwe kwenye siasa. Au ulitaka watu waajiriwe kisiasa
   
 7. s

  sexon2000 JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2011
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ZING,

  nenda ukalale, huna hoja hapa.

  Swali ni Je SSRA imeona wazuri ni PPF tu? kama jibu ni ndio, basi mifuko mingine isiyo na wafanyakazi wazuri, ifungwe na majukumu wapewe PPF

  Wapo wazuri waliomba nafasi aliyopewa huyo wa stanbic Bank ambako DG wa SSRA alipitia. Kwa nafasi hii kigezo kilikuwa uzoefu usiopungua miaka mitano kwenye social security, je Stanbic Bank ni social security siku hizi? Great Thinkers wanapoandika huwa wamefikiri kutumia vichwa vikubwa vya juu. Be careful, usitumie kichwa kidogo kufikiri na kuanza kungana na aliyetumia kichwa kikubwa.

   
 8. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  MKUU WEKA MAJIBU KWA HOJA KWA JINSI UNAVYOJIBU NA KUNA MGANDA HAPO NDANI NA KUNA WATANZANIA WENGI TU WANASIFA HAWANA KAZI, mimi nadhani wewe ndio JOKER
   
 9. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mbona mnakuwa wakali badala ya kujibu hoja, ndani kitu mnataka kutuficha
   
 10. A

  August JF-Expert Member

  #10
  Apr 21, 2011
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,511
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 280
  majina yao na wanapotokea ili tupate kujua historia zao n.k
  sio kusema katokea stanbic, ppf alikuwa hivi au vile
   
 11. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #11
  Aug 28, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  director wa IT ni mwanaume au mwanamke? kama mwanamke kweli alitokea PPF na kazi yake imetangazwa PPF na watu wameshafanya interview.
   
 12. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #12
  Aug 28, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,973
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Linaloonekana hapa kuna mguu wa mtu.
   
 13. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #13
  Aug 28, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  PPF ni shirika la wajanja wachache
   
 14. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #14
  Aug 28, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,604
  Likes Received: 18,643
  Trophy Points: 280
  Mchukia fisadi, kwenye ushindani wa soko la ajira, kinachoangaliwa ni sifa, vigezo na uwezo, maadam hao SSRA walitangaza kazi, wenye sifa wakaomba, hao waliotoka PPF ndio wakawashinda wengine wote, sasa tatizo liko wapi?.

  Ikitangazwa kazi ya kutafuta marcernary, watakaoshinda wote watatoka JWTZ, vivyo hivyo, ikitangazwa nafasi ya hansard writers mahali, watakaoshinda wote watatoka bungeni!.

  TCRA ni regulatory wa mawasiliano, ilipoanzishwa kazi zilitangazwa, na walioshinda nafasi zote, ni watumishi wa iliyokuwa Tume ya Mawasiliano.

  TBC ilipoanzishwa kama TVT, kazi zote zilitangazwa, na wote walioshinda ni waliokuwa wafanyakazi wa AVI na wachache wa TFC.

  Maadam SSRA ndio regulatory wa hii mifuko, kazi zilipotangazwa ndio zikawakuta hou wa PPF ndio more qualified kuliko wenzao wa NSSF, PSPF, LAPF na GEPF, if at all nao waliomba kazi.

  Naomba kutoa ushuhuda personal kuwa huyu mama mkurugenzi mkuu wa SSRA, hata kama alibebwa kwa gender na beaty yake, lakini ana uwezo, na ameshaonyesha anaweza na hivi karibuni mtaushuhudia uwezo huo!.

  Niliwahi kushauri mahali humu humu jukwaani, tufike mahali, tuapunguze kulalamika na badala yake tuchukue hatua!. Kama unaudhibitisho wa upendeleo wa wazi, mbona channel ziko wazi, wide open kuonyesha kuna wazuri zaidi yao wameachwa kwa mizengwe ili hao waliopendelewa wapigwe chini?.

  Binafsi niliwahi kajiriwa mahali nikiwa 3rd from top kwenye idara yangu wakati huo nikiwa na just bachelor degree, chini yangu kulikuwa na watu kibao na masters zao, lakini niliwaacha nyuma. Nikapigwa zengwe nikashushwa na nafasi yangu akapewa mmoja wa wenye hizo masters, kilichofuata, alishindwa kudeliver na kutupwa mbali, by that time nami nilishajitambalia zangu kitambo!.

  Ndio maana nikakusisitizi kupata kazi fulani, sio sifa tuu, bali vigezo na uwezo. Jee kwenye hiyo safu ya SSRA, hao waliopo wana sifa, vigezo na uwezo?.
   
 15. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #15
  Aug 28, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  Tanzania zaidi ya uijuavyo, ufisadi, kujuana na urafiki kila kona, wengine watajaza na vimada wao hapo
   
 16. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #16
  Aug 28, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  hapo ni ufiasdi mwingine unaandaliwa
   
 17. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #17
  Aug 31, 2011
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Sina shaka SSRA panakosa kitu kinaitwa rationale na hata huyu Zing zong amekuwa na kama m2 wa upako please jaribu kuwa mzalendo kiduchu!
   
 18. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #18
  Aug 31, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  kwa haya mamlaka yameanza lini..
   
 19. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #19
  Aug 31, 2011
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Haya ndio mambo Tz tumekuwa tunapoteza pesa nyingi kuunda regulatorie nyingi ambazo hazina tija sasa kama PPF-SSRA ilikuwa na haja gani ya kuundwa Management nzima almost inatoka PPF sasa kweli pana kitu hapo alafu tena worse enough CEO ka-experience kafuta sana. Mpaka sasa hakuna hata kitu kimoja toka SSRA ambacho kimekuwa gazetted mfano issue ya formula ya mafao hata bungeni haijapelekewa kama msuada uweze kujadili sasa hili shirika lipo kwaajili ya kufanya nini mapaka leo yafuatayo hajafanyika:-

  (a) Formula bado kimeo
  (b) Mpaka leo hakuna regulation yeyote ambayo SSRA wametoa kwa mashirika haya
  (c) Hakuna hata karipio lililo toka SSRA juu ya madudu yanayofanyika PPF na ndio kwanza anazidi kuwasifia ppf kuwa wanayo formula nzima ambayo ni sustainable huyu mama wa SSRA yuko serious au uhaba wa experience na hii ndio hasara ya kuchangua kindugu Lowassa anatugharimu sana kwani huyu dada ni shemeji wake toka Regina Lowassa kwani mrangi mwenzie.

  SSRA lazima uindwe upya na vetting ifanyike kwa akili mtu kama Sarah Kibonde wote tunajua kuwa ni kilaza, Muhimbi bado hajawa cleared PCCB sasa iko vp JK na Mkullo how do rule and govern this country au ushoga zaidi kuliko kujali maslahi (afya) ya nchi.
   
 20. s

  sexon2000 JF-Expert Member

  #20
  Dec 17, 2011
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni karibu mwaka sasa amefanya nini kuwasaidia wanachama hasa wa PPF ambao ni mfuko mwizi wenye viongozi wezi? Au SSRA ni sawa na ARV ya HIV ambayo haiponyi bali ni kuwapa matumaini wagonjwa?   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...