Kuna sababu yeyote ya Msingi ya Uwepo Na NIDA kwani RITA ndio Chombo Sahihi Kabisa nchini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna sababu yeyote ya Msingi ya Uwepo Na NIDA kwani RITA ndio Chombo Sahihi Kabisa nchini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by RasJah, Oct 21, 2011.

 1. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2011
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Tanzania kweli ni nchi ambayo huwa inakulupuka katika maamuzi amba asili na msingi wake mkubwa ni ulaji tu.

  Historia inaonyesha RITA ilianzishwa chini ya Wizara ya Sheria na Katiba na baadae kuwa Agency na punde ilipokuwa agency lobbyist Dickson Maimu akawa CEO wa shirika mara aliposikia kuwa NIDA inataka kuanzishwa chini ya Wizara Mambo ya Ndani tena huyu Dicky Maimu akarukia kule NIDA baada ya kufanya madudu makubwa sana. Sijui Usalama wa Taifa na PCCB mnafanya nini japo watu wasio mjua wanafirikilia eti mtu wa usalama sio kweli huyu historia yake alitokea Ofisi ya Takwimu kama Statistical Officer alibebwa na baba yake mzazi marehemu mzee Maimu yeye alikuwa amemaliza form four tu akajiendeleza kwa kwenda EASTC na kwenda kusoma UK digrii ya kwanza baada ya kumaliza certificate na diploma ya EASTC napo kwa kubebwa sana kwani ni kilaza. Akafanya kazi kwa muda mrefu pale NBC kitengo cha Computer ambacho baba yake alikuwa ndio incharge na Ndg. Mshangila ambaye kwa sasa ndiye Ag Director wa IT pale Hazina ambaye sifa zake ni kama za Dick Maimu.

  Punde huyu D. Maimu aka lobby tena akaenda utumishi kitengo cha IT pale Utumishi chini ya kipanga Sawe yenye alikuwa Assistant Director na punde akanusa kuwa kule RITA yule mama wa Vizazi na vifo yuko karibu kustaff akaenda RIta na kurukia NIDA ambako alisikia kuwa mradi wa vitambulisho vya kitaifa hiyo project itakuwa na pesa nyingi sana ndipo akaitelekeza RITA na kwenda NIDA ambako kwa sasa anasababisha na kuleta shida kwa watumishi wa Serikalini kwani tayari madudu yake yameanza kuwa affect watu pale Hazina.

  Sad sad news for Dr. Yamungu Kayandabira (Assisitant Commissioner for Policy Analysis - Debt Analysis) Hazina ametolewa na kupelekwa chuo cha Kodi kufundisha kisa alikataa kukubali NIDA kupewa zaidi ya Bil. 40 ambazo BOT walizitoa kutokana na opportunist wa D Maimu kisheria NIDA hawa budget ya kujiendesha sasa huyu CEO asiyejua lolote na kujua kuwa fedha za bajeti lazima ziombwe kutoka parent ministry ambayo ni Hazina na siyo PPF wala NNSF, na hiyo ndio sababu ya young man and brilliant Dr. Yamungu kufuata sheria ambao kwa uwezo mdogo wa Mkullo aka side ma Maimu kum-victimize dogo sasa dogo ameambiwa akaripoti ITA je hii fair, JK kijana anaonewa kwa safe guard interest za nchi na fedha za walipa kodi lakini battle ni nzito sana lazima m2 achunguzwe na huyu alipopewa memo kuwa BOt wamepewa order upewe pesa bac jamaa akawa anaamukia pale BOT kufuatilia hiyo 40 biln huyu kweli ni mmachinga wa serikali au ni nani?

  Na kwanini Katibu Khijja na other top officials pale Hazina mnashindwa kutoa maamuzi au mnataka Hazina ibaki na vilaza watupu huyu kijana lazima aende World Bank au IMF. Na hii dalili imejitokeza kwa watu wenye uwezo mkubwa kutolewa Hazina mfano CPAD Kamugisha alitolewa na kurudishwa TRA na kuwa Director Special Duty wakati TRA, DRP Muganyizi ni kilaza mkuwa kwani hata ripoti ya IMF au World Bank wame question capacity ya DRP na wakati Kamugisha alikuwa anaimudu sana na hata CPAD aliopo sasa pale Hazina ni feki hana nondo. Kwa ujumla wake DRP anachonya pale TRA ni ku promote uhaya kwa kumpa cheo kilaza mwingine Robery Rutajama kama Manager wa Macro wapi na wapi. Nawachia wana JF mjimwage kwa haya machache lakini nchi inaelekea kubaya sana nchi itakuwa kama Libya, Misri na Tunisi where poor governance brings civil wars.
   
 2. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2011
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Je, top officials kama imelala na kuangalia haya madudu ya uonevu na ujinga wa Mkullo na nimeami kwanini Katibu wa Chadema Zito alitoa kauli kwa JK kuwa amtoe kazi Mkullo I now believe he is right. Na community hazina mmekaa kimya mnakodoa macho mnaachia uozo huo upite sasa kaa chonjo inakuja kwenu huyu Mkullo nae shule yake ni kunga unga kwani huwezi kuvina hata vyeti vyake hawezi hata kushituka uchumi wa nchi unaporomoka wala hana strategy za ku rescue economy zaidi ya kwenda Arusha kwenye PPF Members Seminar kula kuku ma Erio aka Asia wakati nchi iteketea maskini JK umeweka watu bogus sasa inaku cost!
   
 3. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2011
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Inaonyesha wanaJF sometime mnakwenda likizo hizi issue hot mnazipuuzi lakini in the end the govt will remain with people who are incompetent kabisa if what we are preaching is never taken serious.
   
 4. s

  sexon2000 JF-Expert Member

  #4
  Dec 17, 2011
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wana JF hawajaenda likizo bali wanaamini uliyoandika yanatakiwa yafanyiwe kazi. Kuendelea kuchangia kunaweza weka thread kuwa ndefu mno. Napita tu RAS.

   
 5. j

  julisa JF-Expert Member

  #5
  Dec 17, 2011
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mmmh details zote hizo na wahusika wanazijua?..f its true then sfter 49yrs tanzania haitakuwepo
   
 6. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #6
  Dec 17, 2011
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Wakati mwingine si busara kuchangia kila post kwa sababu kwa suala hili kwa mfano linahitaji ufahamu wa hali halisi (hazina) na ufahamu wa uchumi.
  Kung'ang'ana kila mtu kuchangia post hupelekea hata watu wasio makini kuchangia mada wasiozijua kitaaluma. Kwangu mimi ni salama ikawa na wachangiaji wachache wenye nyanga kuliko kuwa na wengi watakao haribu maana nzima.

  Tuko pamoja mkuu.
   
 7. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #7
  Dec 17, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,085
  Trophy Points: 280
  mkuu naona umeanza na topic lakini baadae ukazama zaidi kwenye wizara ya fedha na mwanae tra.
  my concern ni kwenye vitambulisho vya taifa. Kitu ninachoweza kuona sasa ni kuwa baada ya huo 'mchongo' wa kula 10% (kama sio 70%) ya hizo pesa za mradi wa vitambulisho, watakuja na wazo la ku-integrate NIDA to RITA.
  Hili suala limepigiwa kelele sana na wasomi, wananchi wa kawaidi kuwa ilikuwa ni kazi rahisi sana suala la Vitambulisho vya Taifa kuwa chini ya RITA maana ndizo kazi ambazo wanazifanya kwa 95% lakini serikali imengangania NIDA. Walitoa hata mfano wa vitambulisho tofauti ambayo cha kuchekesha vyote vipo chini ya Serikali (Driving license, TIN Certificate, Passport, Kitambulisho cha Mpiga Kura, Cheti cha Kuzaliwa nk) na taarifa zinazopatikana kwenye hizo nyaraka zote ni zilezile (jina, tarehe ya kuzaliwa, mahali ulipozaliwa, jana la wazazi nk).
  Tatizo la yote haya ni kupoteza muda tu na vitu ambayo vingelikuwa addressed leo vikaeleweka vitakuja kueleweka miaka 20 ijayo na hapo ndipo utasikia "oh, tupeni muda kujiunga na EAC" "oh...blaa, bla" nk
   
Loading...