CCM, haya matendo yenu yanaudhi sana

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Nyie mumetuharibia nchi yetu kwa kuendekeza rushwa ubadhilifu na upendeleo.

Tukisema tuwaelimishe watu vijijini mnawambia wasitusikilize eti sisi ni wapinzani hata kama kitu kinacho ongelsio siasa,na wao kwa sababu mliwanyima elimu wanakubali.

Nawaomba muache kuwapotosha wananchi, acheni kutumia polisi kama kiungo cha ccm. Tuacheni tuende vijijini vijijini tukawambie wenye nchi kwamba nchi CCM imewashinda na wameikabidhi kwa matajiri na wageni.

Mia
 
Back
Top Bottom