Maalim Seif aishukia CHADEMA

kapotolo

JF-Expert Member
Sep 19, 2010
3,727
2,213
MAKAMU wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kiache lugha za upotoshaji kuwa Chama cha Wananchi (CUF) siyo chama cha upinzani, bali ni sehemu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Seif ambaye ni Katibu Mkuu wa CUF alisema lugha hizo za Chadema ni upotoshaji kwa jamii na kutowatakia mema Wazanzibari, huku akisisitiza kwamba kufanya kazi pamoja baina ya vyama hivyo viwili, siyo mwanzo, bali ni mwendelezo kutoka nchi mbalimbali duniani ikiwemo

Maalim Seif alisema Chadema haiitakii mema Zanzibar, bali wanachotaka wao jamii iendelee kuuana.

zaidi hapa HabariLeo | Maalim Seif aishukia Chadema

My Take:
Hivi CUF hawana kitu cha kuwaambia wanachama na wapenzi wao zaidi ya mambo ya Chadema? Maalim Seif tunajua unaufaidi umakamu wa Rais na ndio maana umeamua chama kife bora wewe umakamu unao.
Tunakuomba utatue migogoro ndani ya chama badala ya kila siku kuzungumzia chadema. Na uache kumtumia Hamad Rashid Mabaunsa kumuharibia mikutano yake. Enzi zako kama zimekwisha vile. Hakuna Ngangari tena.
 
Huyu mbwiga kesha lewa wine za Ikulu sasa anaropoka tu,mnafiki mkubwa kipindi kile alikuwa anahamasisha maandamano yakifika kileleni yeye anapanda pipa kwenda ulaya kusikilizia watoto wa wenzake wanavyotwangwa risasi na askari wa CCM. Kumbe alichokuwa anatafuta ni ulaji binafsi sasa amefanikwa anaiponda Chadema.Alaaniwe Maalim Seif kwa usaliti wake, leo chama kinamfia mikononi anatafuta pa kutokea,
 
Huyu akamalize mgogoro mkubwa uliokikumba chama chake na asitafute kimvuri cha CHADEMA kutaka kuficha madhambi yake, huyu ni Traitor amewauza Wazanzibar wenzake sasa analeta choko choko zake Tanganyika, sisi huku hatuhitaji ushoga tutamchalaza bakora mpaka apate adabu.
Ni tangu lini Mzanzibar awe na credibility ya kuwaongelea Watanganyika mambo yao!!?
 
CUF kimebaki kama gari bovu lisilokua na dereva, Maalim amekua mtu wa Serikali, Lipumba anakula Bata State....
 
Ningefurahi sana kama Maalim Seif au mtu mwingine yeyote ndani ya CUF angenifafanulia chama hicho kinafanyaje kazi huko Zanzibar. Hara Seif anasema CUF bado ni chama cha upinzani lakini yeye ni makamu wa Kwanza wa Rais. Sorte tunafahamu kuwa U-rais ni taasisi inayohusika na kuendesha serikali, sasa upinzani wa CUF ukoje?
 
Maalim Seif: time will tell, kama nyie ni chama cha upinzani ama la, kama ilivyotoke kule IGUNGA
 
Amalizane kwanza na Hamad Rashid ndio aje Chadema!!
Yake yenyewe yamemshinda, anabaki kutafuta maadui nje
 
hawa wanasiasa wanasahau wakipata mahari pa kula, wao leo wanamahali pa kuila watasema tumedhubutu, tumeweza , tunasonga mbele, mweye njaa hawezi sema maneno hayoooo
 
suluhisho kubwa hapa ni kuvunja muungano ugomvi na udini wao wakafanyie huko visiwani kwao, kambi ya upinzani inatakiwa kuwa na kauli inayofanana bungeni lakini wao wanaungana na ccm kuipiga vijembe chadema sasa wanajiita wapinzani??pia wanashirika kwenye coalition government kule zanzibar pamoja na ccm sasa upinzaniwao ni dhidi ya nani tena??
 
MAKAMU wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kiache lugha za upotoshaji kuwa Chama cha Wananchi (CUF) siyo chama cha upinzani, bali ni sehemu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Seif ambaye ni Katibu Mkuu wa CUF alisema lugha hizo za Chadema ni upotoshaji kwa jamii na kutowatakia mema Wazanzibari, huku akisisitiza kwamba kufanya kazi pamoja baina ya vyama hivyo viwili, siyo mwanzo, bali ni mwendelezo kutoka nchi mbalimbali duniani ikiwemo

Maalim Seif alisema Chadema haiitakii mema Zanzibar, bali wanachotaka wao jamii iendelee kuuana.

zaidi hapa HabariLeo | Maalim Seif aishukia Chadema

My Take:
Hivi CUF hawana kitu cha kuwaambia wanachama na wapenzi wao zaidi ya mambo ya Chadema? Maalim Seif tunajua unaufaidi umakamu wa Rais na ndio maana umeamua chama kife bora wewe umakamu unao.
Tunakuomba utatue migogoro ndani ya chama badala ya kila siku kuzungumzia chadema. Na uache kumtumia Hamad Rashid Mabaunsa kumuharibia mikutano yake. Enzi zako kama zimekwisha vile. Hakuna Ngangari tena.

Nilisema maalim seif ni msaliti, amewasaliti wazanzibar waliokufa kwa kutii amri yake ya kupinga kuibiwa kura. Wangelijua kuwa ukishapata umakamu utakuwa bubu, wasingelikubali kupoteza maisha yao. Walikuwa na lengo la wewe kuchukua nchi, uwe rais, sio kupigiwa salute ukabweteka.
 
Anatapatapa huyu hana la kuwaambia watu yeye pia ni sehemu ya matatizo. Hamad Rashid anampelekesha analeta longolongo cdm. Sisi chadema hatuna shida naye muflisi wa siasa huyo
 
Ukweli wauma at!
Self mmelikologa hilo nyie ccmB hata msemeje mie Si CDM bali TAMAA Yako wakutaka madaraka umefanya cham kiwe ccm B.
Mkasi wapi?
 
MAKAMU wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kiache lugha za upotoshaji kuwa Chama cha Wananchi (CUF) siyo chama cha upinzani, bali ni sehemu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Seif ambaye ni Katibu Mkuu wa CUF alisema lugha hizo za Chadema ni upotoshaji kwa jamii na kutowatakia mema Wazanzibari, huku akisisitiza kwamba kufanya kazi pamoja baina ya vyama hivyo viwili, siyo mwanzo, bali ni mwendelezo kutoka nchi mbalimbali duniani ikiwemo

Maalim Seif alisema Chadema haiitakii mema Zanzibar, bali wanachotaka wao jamii iendelee kuuana.

zaidi hapa HabariLeo | Maalim Seif aishukia Chadema

My Take:
Hivi CUF hawana kitu cha kuwaambia wanachama na wapenzi wao zaidi ya mambo ya Chadema? Maalim Seif tunajua unaufaidi umakamu wa Rais na ndio maana umeamua chama kife bora wewe umakamu unao.
Tunakuomba utatue migogoro ndani ya chama badala ya kila siku kuzungumzia chadema. Na uache kumtumia Hamad Rashid Mabaunsa kumuharibia mikutano yake. Enzi zako kama zimekwisha vile. Hakuna Ngangari tena.
hivi wewe unauchizi? au unaishi dunia gani? Je ni uongo kwamba chadema hawawasemi CUF? Narudia tena, bila shaka wewe utakuwa taahira au hivi karibuni utakuwa. Na kwa taarifa yako Seif yupo Kizanzibari zaidi ya hiyo cuf na ccm. Hamadi rashidi yupo kiccm na kicuf zaidi. those are two different pipos. Mark my words.
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom