CHAMA cha NCCR- Mageuzi kimeomba kukutana na Rais Jakaya Kikwete kwa nia ya kutoa mawazo yake kuhusu mchakato wa kutungwa kwa Katibu mpya ya Tanzania, kama ilivyoahidiwa kwa wananchi na Rais...
Katika mambo mbalimbali kuna ukweli wa aina mbili TRUTH na FACT. Kwa Mbatia Truth ni kwamba si mpinzani ila Fact ni mpinzani. Vyama tawala hasa nchi za ulimwengu wa tatu huweka vyama mamluki na...
Naomba kuleta hoja hii mbele yenu tuijadili hoja kama hoja na sikumjadili Lowassa au nafasi aliyokuwa nayo kama waziri mkuu.
Kuna vitu twaweza kubeza na kunavitu nilazima vifanyiwe kazi kwa faida...
Ni ngumu kuamini kua kampuni kubwa kama synovate imeshindwa kuwalipa wafanya kazi wake wa mda kwa kile kinachodaiwa kua ni ukata ama ufisadi wa watu wachache katika kampuni hiyo! Walikwama...
Dr. Slaa na Spika Makinda Hospitali ya CCBR, Slaa ni mwenyekiti wa bodi ya hospitali hiyo.
Dr. Slaa anatakiwa kutofautisha akiwa katika harakati za kichama na shughuli za umma. Si kila...
Kuna taarifa kwamba gazeti la Raia Mwema limeandikiwa barua ya kutishwa na mtoto wa Edward Lowassa, wakitakiwa kuomba radhi kwa habari yao vinginevyo watashitakiwa kwa kumkashifu kijana huyo na...
Wakuu naziona chaguzi ndogo tatu mwaka 2012. Wa kwanza ni ule wa Kigoma kusini ambao yanki Kafulila katemeshwa na Mbatia baada ya kujaribu kumtishia nyau.
Wa pili ni wa Arumeru Mashariki. Japo...
Wadau,
Leo tarehe 18/12/2011 katika ukumbi wa Kiramuu uliopo mbezi beach high school, kunafanyika kongamano la katiba mpya, lililoandaliwa na kuendeshwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Tanzania's year-on-year inflation rate rose for the 13th straight month to 19.2 per cent in November from 17.9 per cent in October, the National Bureau of Statistics (NBS) said on Friday.
Food...
Magazeti kadhaa wiki hii yameandika kuhusu kuandaliwa mgombea wa urais Jamhuri ya Muungano kutoka Zanzibar, habari hiyo ikiwa chanzo chake ni gazeti la nje la huko Uingereza na kumhusisha Rais wa...
Wazalendo wa Wazanzibar,ambapo wito ulitolewakuwa ni wajibu wa kilaMzanzibar kuikumbukasiku hiyo ya Disember 10.Katika taarifa yakeumoja huo umesemakuwa kuisahau siku hiyoni kupotosha historia...
Mh. Rais Pole na matukio! or sory majukumu,
Kuna kipindi ulitaka kubadilisha staili ya kuongea nasi kama mr clean alivyokuwa anatuhutubia kila mwisho wa mwezi (yeye kila Mwezi alikuwa anachonga...
Dotto asema kwa mtazamo wake maendeleo hadhani kama ni kuongezeka kwa barabara baada ya Uhuru. Anajiuliza kwanini mchakato wote wa utengenezaji mpaka kukamilika kwa barabara ni Wachina...
Ni kweli kwa upande mwingine ni matusi makubwa kwa bara letu la africa na hasa kwetu watanzania.
Lakini kwa upande wa pili hawa wafadhili huenda
Wamewachoka watawala wetu wameona ili wajue au...
Wanasiasa wanakoipeleka hii Tanzania siyo,
Pazeni sauti, umeme bei ikipanda, bei ya mkate pia itakuwa juu,
Kataeni Ufisadi, asiye na Kipato lazima atakuwa Kibaka.
Licha ya Mvua...
Dokta wa Ukweli, Rais uliyenyang'anywa ushindi kimazingaombwe.
Misukosuko hii ndani ya CUF na NCCR Manunuzi inayotokea kwa wakati mmoja siamini kama ni coincidence. Ni kwakuwa wanaohusishwa nayo...
...kama mtakumbuka hawa wabunge ndio walikuwa vinara wa uasi dhidi ya cdm kuhusu kambi rasmi bungeni..! Sasa wanakula walichovuna..! Ninamuonea huruma sana kafulila(kijana)..ndani ya miaka 2...
Hali ya afya ya Mbunge wa Arumeru Mashariki, Jeremiah Sumari, si nzuri na mchana huu anasafirishwa kwenda India kwa matibabu. Sumari ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Fedha, alianza kuugua hata...