Kafulila, Hamad Rashid..dhambi ya uasi bungeni inawatesa.! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kafulila, Hamad Rashid..dhambi ya uasi bungeni inawatesa.!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nrongalema, Dec 19, 2011.

 1. n

  nrongalema Member

  #1
  Dec 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ...kama mtakumbuka hawa wabunge ndio walikuwa vinara wa uasi dhidi ya cdm kuhusu kambi rasmi bungeni..! Sasa wanakula walichovuna..! Ninamuonea huruma sana kafulila(kijana)..ndani ya miaka 2 umeshahama vyama vitatu(3)...kaka kafulila tuliaaaaaaaaa...kuwa kama mentor wako zitto.!
   
Loading...