Synovate Washindwa kulipa watu waliowapa ajira kwa mda

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
820
1,335
Ni ngumu kuamini kua kampuni kubwa kama synovate imeshindwa kuwalipa wafanya kazi wake wa mda kwa kile kinachodaiwa kua ni ukata ama ufisadi wa watu wachache katika kampuni hiyo! Walikwama morogoro walipokua wanakusanya data na kusaidiwa nauli za kurudi makwao na ndugu zao...mpaka dakika ya mwisho watafiti hao waling'ang'ania karatasi za tafiti walizokusanya data na kutimba nzao majumbani......! :washing:
 
Watoe matokeo mapya sasa hivi yakionyesha kuwa jk anaaminika kuwa ndiyo raisi bora wa tz tangu tupate uhuru,hapo watawezeshwa kifedha na ccm kama wamekwama
 
Back
Top Bottom