Mashehe wahimiza kuiezi kumbukumbu ya uhuru wa Zanzibar December 10/ 1963 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mashehe wahimiza kuiezi kumbukumbu ya uhuru wa Zanzibar December 10/ 1963

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kakke, Dec 19, 2011.

 1. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #1
  Dec 19, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  Wazalendo wa Wazanzibar,ambapo wito ulitolewakuwa ni wajibu wa kilaMzanzibar kuikumbukasiku hiyo ya Disember 10.Katika taarifa yakeumoja huo umesemakuwa kuisahau siku hiyoni kupotosha historia nakujidharau kama nchi nakama taifa. Kauli ya umoja huoimetolewa na Mwenyekitiwa wake Jabir Mtumweni Jabir, huko Shaurimoyomjini Zanzibar ambapoilisomwa dua maalumkuwaombea Masheikhna wazee waliopiganiauhuru.

  Mtuweni amesema
  kuwa ni haki ya kilaMzanzibari kuikumbukana kuithamini siku hiyokwani ndiyo iliyoifanyaZanzibar kutambulika hadikupata kiti katika Umojawa Mataifa (UN) kablaya kuporwa kiti hicho namuungano.Muungano ambaoumeipandisha hadhiTanganyika kuwa Tanzaniaikila vya Tanganyika naZanzibar huku Zanzibarikiporwa vyake kuingizwakatika kapu la Tanzaniawakati vya Tanganyika nivya Tanganyika.

  "Ni wajibu wetukuikumbuka siku hiiambayo iliweza kuifanyaZanzibar kuwa dola huruna kutambulika ndani yaUmoja wa Mataifa kwakuwa na kiti chake ndaniya Baraza hilo hadi hii leo",alisema Mtumweni."Zanzibar imepataUhuru wake Disemba 10,1963 na kujiunga na Umojawa Mataifa Disemba 16,mwaka huo huo 1963 ikiwani mwanachama wa 112 waUN", alizidi kufahamishaMtumweni.Aliongeza kusemakuwa, Zanzibar imekuwaina Bendera yake, ina Kitichake katika Umoja huo;sawa na dola nyengineyoyote kwenye Umoja huowa Kimataifa."Sherehe zetu hizi hii leozimo katika kutimia miaka48 ya uhuru wa Dola yaZanzibar".

  Katika shere hizo umojahuo ulitumia muda kwakuwaombea dua maalumndugu za waliozama katikameli ya MV Spice Islander,iliyozama wakati ikitokeaUnguja kwenda kisiwaniPemba hivi karibuni."Kwa munasaba huuadhimu, vilevile duwa zetuzinakuwa kwa ndugu zetuwaliopoteza roho na vyaokatika kuzama meli ya MVSpice Islander", alisema.Katika waraka wa Umojahuo uliosomwa na HamadMussa Hamad ulimnukuuuRais wa kwanza waZanzibar Hayati AbeidAman Karume akusemakuwa:"Leo mwezi 10 Disemba,1963, Zanzibar imekuwahuru.

  Hii leo sisi watu
  wa visiwa hivi tumepatahaki ya kuchukuwamahala petu kuwa niDola sawa na nyenginekatika umoja wa Nchi zaDola za Commonwealth.Kwa uchache, kuwamwanachama katika umojahuo, kuna maana kwambanchi hii ni huru chini yampango wa sirikali ambayomsingi wake umejengwa juu ya kuendelea kwaridhaa ya wananchi.

  "
  Akasema Mzee Karume,"Ili kufikilia matarajioyetu hayo, tunayo mojakatika Katiba zenye msingimadhubuti iliyohusikana shuruti za haki za binadamu, haki za mamboya siasa na uhuru wa dolayoyote nyengine."Kisha akasema, "Niwajibu wa watu wote wadola yetu mpya, kila mmojakatika sisi bila ya kujali fikrazetu za siasa au madarakayetu kusaidia kweli kweliKatiba yetu iweze kufanyakazi. Pamoja na manufaa,haki na uhuru ambayo yotehayo yamepatikana baadaya nchi kuwa huru.

  "
  Karume akaongeza kwakusema, "Tulioyapata leomwezi 10 Disemba, 1963;ni mipango ya mwanzo tuya kuweza kufanya juhudikwa ukamilifu dhidi yamaadui zetu nao ni ujinga,umasikini na maradhina kuweza kuleta imanipenye khofu na shakana kuleta masikilizanomahala ambapo hata hivisasa adawa ipo, na kuletamapenzi mahala ambapopana chuki, ili dola yetumpya ichomoze katikaneema, umoja na furaha.Kwa hivyo katika hiisiku ya leo na tumwombeMwenye Enzi MunguMtukufu Subhaanahu waTaƔala, atuweke tuifanyena tuitimilize kazi kubwaya kujenga taifa letu ili Dolayetu mpya ya Zanzibaripate baraka ya matundamema ya kazi zetu.

  Uhuru
  na Umoja, Uhuru na kazi!"Alihitimisha Karume.Sherehe hizo zakuadhimisha miaka 48ya uhuru wa Zanzibarzilifanyika katika maeneombali mbali Ungujana Pemba yakiwamoShaurimoyo, Makunduchi,Tumbatu pamoja na Dongekwa Unguja. Huku katika kisiwa chaPemba ziliweza kufanyikakatika Msikiti Mkuu waWetu, Chakechake pamojana Ziwani, ambapowananchi mbali mbaliwaliweza kuhudhuriana kusema kuwawamefurahika sana nauamuzi wa umoja huo kwakuwaaandalia siku yaohiyo iliyo adhimu.

  Baadhi ya watu
  waliohudhuria sherehehizo wamesema kuwa, ipohaja vijana wa Kizanzibariwafahamishwe lini nchi yaoilipata huru, lini walipatakiti UN na lini walipotezakiti hicho."Muhimu katikakulifahamisha hili, nikupata fursa ya kujipimana kufanya tathmini faidana hasara za kupotezadola na kupoteza kiti UN."

  Inatoka Uk. 1

  Prof. Anna Tibaijuka afanya yaliyomshinda Mwinyi, Mkapa
  Inatoka Uk. 2hicho walichohangaikakupata haki yao na kuwaahidikushirikiana nao kilawatakapopata tatizo kamahilo.Akizungumza baadaya makabidhiano ya hatiya nyumba hizo za wakfu, Maalim Ali Bassalehambaye naye alikuwamiongoni mwa viongoziwa dini waliohudhuriahafla hiyo, alisema tatizo lakuporwa nyumba za wakfulisingekuwepo iwapo serikaliingeridhia kuwepo kwaMahakama ya Kadhi nchini.

  Alimweleza Prof. Tibaijuka
  kuwa kama kungekuwepona Mahakama ya Kadhinchini, wakfu ungesajiliwa naKadhi na baadae kuwasilishavielelezo vyake Wizara yaArdhi na maendeleo yamakazi na hapo kazi ingekuwarahisi kwa serikali na kwawenye wakfu na migogoroisingekuwepo.

  Hivyo alimtaka Prof.Tibaijuka kumfikishia ujumbewake serikalini kwambaMahakama ya Kadhi inanafasi kubwa ya kuirahisishiaserikali kazi na kupunguzamigogoro mingi ya ardhi namajengo yanayohusiana nataasisi za kidini.Pia alitumia fursa hiyokumshukuru Waziri Tibaijukakwa uadilifu aliouonyeshakatika kutatua tatizo hilola Waislamu na kusemakuwa kwa mwenendo huo,Waislamu sasa wanaonakuwa wapo watu waadilifuserikalini ambao wanawezakuwapatia haki yao.

  Nyumba zilizopo katikakiwanja No. 33 Block 77Kariakoo jijini Dar es Salaamzilitolewa wakfu na MarehemuHajat Aziza bint Omar kwaMsikiti wa Mwinyi uliokoKariakoo mwaka 1991.b Hata hivyo baadaewaliibuka watuwaliotambuliwa kwa majinaya Pius Kipengele na Zakariawaliodai kuwa nyumba hizoni mali yao na kuzipora.

  Kufuatia uporaji huo,Wadhamini wa MasjidiMwinyi walifungua kesikatika Mahakama ya Kisutukudai haki ya Waislamu dhidiya waporaji. Kutokana na kudorora kwakesi hiyo na Wadhamini waMasjid Mwinyi kuelemewakufuatia kesi hiyo kuchukuamuda mrefu na kuhalalishauporaji kwa waporaji,Waislamu kwa umoja waowaliamua kuingilia katikupigania haki yao hiyo hadipale itakapopatikana.

  Sheikh Abraham Juma
  Kileo, Sheikh Ponda IssaPonda, wanasheria Prof.Abdallah Safari, YahyaNjama na Benhaji Shaabanambaye kwa sasa yuponchini Uingereza, ni baadhitu ya Waislamu waliojitoleakupigania haki hiyo yaWaislamu katika kesi hiyo.

  Amesema mzee moja."Lakini pia tutizame haliilivyokuwa wakati Rais waZanzibar alipokuwa nanafasi ya kuwa Makamuwa Rais wa Tanzania nahali ilivyo sasa ambapo Dr.Shein (Rais wa Zanzibar)ni kama ‘Waziri' sawa naMagufuli katika Baraza laMawaziri Tanzania."Aliongeza Mzee huyowa Pemba aliyejitaja kwa jina moja la Othman.

  "Yale mabadiliko yakatiba yaliyomwondoa
  UJUMBE wa Zanzibar ukiwa katika moja ya vikao vya Umoja wa Mataifa kablaya kupoteza dola yake.
  [​IMG]
   
 2. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #2
  Dec 19, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Habari ingependeza sana kama unge iedit. Maneno haya ya wazenj yamenisikitisha sana "Muungano ambao umeipandisha hadhi Tanganyika kuwa Tanzania ikila vya Tanganyika na Zanzibar huku Zanzibar ikiporwa vyake kuingizwa katika kapu la Tanzania wakati vya Tanganyika ni vya Tanganyika"

  Hivi nyie wazenj tunawaibia nini sisi zaidi ya nyie Kufaidi kila kitu nchini. Mie siwaelewi wazenji mnamaudhiiiiiiiiiii. Tumewapora nini sie.
   
 3. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #3
  Dec 19, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Inaonesha habari nzuri lakini wandiko unachosha, maneno yanapandana, vituo havieleweki, haina paragraf....aghrrrrrr!
   
 4. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #4
  Dec 19, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkuu EDIT basi hii story
   
 5. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #5
  Dec 19, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Huenda aliyeandika hii habari ni Shehe. Maana ya Shehe ni Mzee ambaye si lazima awe ameenda shule (formal education), lakini amejifunza mambo ya dini kutoka kwa mtu mwingine ambaye nae ni shehe (Ki-mapokeo kupitia hadith). Mtu aliyesoma anaitwa Maalim, au Ustaadh, au Ayatoulah ambacho ndiyo cheo kikubwa kabisa cha kiongozi wa dini ya kiislam hapa duniani. Kwa hiyo usishangazwe na matamko yao kwa kuwa wao ni Mashehe tu.
   
 6. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #6
  Dec 19, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,898
  Likes Received: 5,360
  Trophy Points: 280
  hiyo inaitwa copy and paste,..haisomeki
   
 7. Kibona

  Kibona JF-Expert Member

  #7
  Dec 19, 2011
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 1,021
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Wazanzibari iungeni mkono chadema ili Tanganyika ijivue koti la Tanzania (serikali tatu) Mkiendelea kuiganda ccm imekula kwenu na kwetu watanganyika maana hata sie tunaona mnapendelewa mnajimilikia ardhi Tanganyika bila hata kuulizwa, mchango wenu ktk uendeshaji wa jeshi ni mdogo sana, mnashiriki maamuzi ktk mambo yanayohusu Tanganyika bungeni na kupitia mawaziri kama akina nahodha. mmepewa nguvu ktk mchakato wa katiba mkishirikiana na rais wa muungano bila kuwepo uwakilishi wa Tanganyika.
   
Loading...