Kafulila kupiga magoti kuomba asamehe kwa Mbatia inatufundisha nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kafulila kupiga magoti kuomba asamehe kwa Mbatia inatufundisha nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Dec 18, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,494
  Likes Received: 5,724
  Trophy Points: 280
  Kweli ujafa ujaumbika jamani
  nasoma mwananchi hapa gazeti linasema kijana wetu ambae amekuwa na makelele kibao huko nyumba
  kulalamika anaonewa mara mwenyekiti atakiwi kuongoza nccr leo mwenyekiti huyp huyo anapigiwa
  magoti na mbunge kafulila anatufundisha nini huko mbele kwa vijana mnaokimbilia chama na kukamata
  ubunge na mwisho kuanza kubwabwaja bila kujua aliewaweka anauwezo wa kuwaondoa
  ndani ya sekunde???

  Je lakimbili mbili ataendelea kuzipata kwa wakati huu mgumu mzito amba
   
 2. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #2
  Dec 18, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  nachelea kuamini kwamba hili jambo kweli lilitokea, unless proved otherwise; but kama madai haya ni kweli, then he stooped so low to say the least
   
 3. P

  PreZ 2B EL Member

  #3
  Dec 18, 2011
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Alikuwa anarusha mawe akiwa kwenye nyumba ya vioo,sasa amegeukiwa yeye anaunyaunya tu! Oh si unajua sisi binadam bwana tunafanya makosa blablabla.Chukua maamuzi magumu kama EL kuuachia uwaziri mkuu na kutokuangalia nyuma.Huu ndo uanaume si kulikoroga na kushindwa kulinywa kama alivyofanya dav kafu.Namshauri aje chama cha wa2 wa mapinduzi daima,si alishatoka cdm sasa zamu ya kuhamia chama cha wanaume,anakaribishwa!
   
 4. M

  Makupa JF-Expert Member

  #4
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Alikuwa anafikiria atarudishaje mkopo na ikumbukwe kwamba ubunge ndio iliyokuwa kazi yake bado akajifanya anajua sana .Itabidi hso waliompa kiburi cha kubwabwaja waanze kumsaidia hela ya kuishi mjini.
   
 5. FIDIVIN

  FIDIVIN Senior Member

  #5
  Dec 18, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hakika hakuna uhuru usio na mipaka, haiwezekani dunia hii uwe na uhuru 100%. Kuna wakati inabidi kushuka na kuheshimu mamlaka hata kama hukubaliani nazo kwa sehemu. Ni bahati mbaya tuna mifumo amboyo si ya haki lakini inachukua muda sana kuiangusha. Wale wa PPF waliokuja na hoja za ufisadi wa PPF wamefukuzwa kazi na hakuna sehemu watakaa washitaki.

  Ubunge unawajengea viburi wanadhani wao ni waheshimiwa na wanajua kila kitu. Pengine Kafulila alikuwa na hoja ya kutetea haki, lakini angetumia njia muafaka za kisheria na kuwa na subira kwa wakati wake Mbatia atatoka kama kweli hatendi haki. Vivo hivo hata wapinzani kama wana nia ya dhati kweli, ipo siku kwa wakati wake watachukua hii nchi, ila kama wameficha unafiki wao na kuwadanganya wananchi, nasikitika kusema hawatakaa wachukue nchi hii hata waandamane mara ngapi.

  NCCR & CUF wakati wao umepita, sasa ni CDM MANIA! kama wana unafiki nao watapita tu, its a matter of time. Nani alijua NCCR na CUF watakuwa hivi! watch out!!!
   
 6. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #6
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Mbona kuna wanaosema hakupiga magoti?
  Ukweli ni upi? Tungoje press conference kama atafanya tutamuhoji
   
 7. Izack Mwanahapa

  Izack Mwanahapa JF-Expert Member

  #7
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 497
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Tabia hii ya wabunge vijana kulewa sifa ikiendelea wazee watarudi kwa wingi kwenye nafasi zao 2015
   
 8. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #8
  Dec 18, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,146
  Likes Received: 3,335
  Trophy Points: 280
  Simpatii picha sura yake ilivyokuwa inafanana kipindi anaangua Kilio.
   
 9. Tatu

  Tatu JF-Expert Member

  #9
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 6, 2006
  Messages: 1,081
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Tumbo baba! tumbo! tumbo!

  Ndio maana unaona Ma-CCM kibao hawakubaliani na dhana ya kujivua gamba.
   
 10. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #10
  Dec 18, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Ilfanana na choroko
   
 11. CHEMPO

  CHEMPO JF-Expert Member

  #11
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kweli pesa ni kila kitu,,leo kijana shupavu amekuwa mdogo kama pirton
   
 12. madibira1

  madibira1 Member

  #12
  Dec 18, 2011
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Alibip.. akapigiwa... anakuwaje hataki kupokea. Nimeamini marupurupu ya bungeni c mchezo. Naamini kilichomfanya apige magoti ni baada ya kufikiria future yake.Suala kuwa mbunge mfukuzwa halibebeki kirahisi. Pole kwake.
   
 13. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #13
  Dec 18, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Inatufundisha uzembe wake na chama chake!
   
 14. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #14
  Dec 18, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Si alisema kuwa ubunge una hadhi kubwa kushinda uenyekiti wa Mbatia.

  Watu wa Kigoma wana tabia za sifa na kujikweza. Zimemtokea puani sasa.
   
 15. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #15
  Dec 18, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi la leo.
   
 16. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #16
  Dec 18, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi la leo aliomba msamaha akiwa anapiga magoti na machozi yakimtoka.
   
 17. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #17
  Dec 18, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Inawezekana ndo hulka ya watu wa kigoma? aise noma
   
 18. L

  Luiz JF-Expert Member

  #18
  Dec 18, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimefurah sana. Behavior is like a pregnant u never hide it. Kafulila alfanya unafk mkubwa chdm akituhum viongoz na kuwadhalilisha, huku akimtetea zito kwa mambo ya kipumbavu, maneno meng yalsemwa baada ya yeye kuondoka na kuhamia nccr, sasa ukweli umejulikana kafulila ni m2 gan na mweny tabia ipi, dhambi ya unafk bado inamtafuna. Bg up Slaa kwa kumtimua mapema kafulila.
   
 19. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #19
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,580
  Likes Received: 1,942
  Trophy Points: 280
  Kama alipiga magoti na kulia, itakuwa ni kwasababu ya posho.
   
 20. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #20
  Dec 18, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
Loading...