Dk. Slaa, usikubali kuongeza virusi kwenye chama

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,857
7,615
Dokta wa Ukweli, Rais uliyenyang'anywa ushindi kimazingaombwe.
Misukosuko hii ndani ya CUF na NCCR Manunuzi inayotokea kwa wakati mmoja siamini kama ni coincidence. Ni kwakuwa wanaohusishwa nayo wamekuwa na ukaribu kwa kiasi kikubwa na Vigogo wa CCM na serikali yake. Hawa ni Hamad Rashid na Zitto Kabwe. Kwamba watu hawa wapo karibu na viongozi wa juu wa CCM hilo halihitaji kuthibitishwa tena hapa jamvini.
Sasa una mambo yafuatayo ili kukinusuru chama
1. Una mtihani mzito kwa Shibuda. Hadi sasa handling ya issue ya Shibuda iko perfect by 100pct. Angalieni asije aka team up na virusi wengine
2. Yupo huyu Zitto. Ushahidi wa mawasiliano kati yake na TISS pa,oja na mengine anayozidi kuyafanya lazima mkae mnamtazama kwa macho makali sana. Mkisinzia tu mtafungwa goli la mkono bila kujua.
3. Hivi sasa kuna presha ya kumrudisha Kafulila, sisimizi aliyeikosea adabu chadema akiwa chadema na akiwa bungeni. Angalieni maamuzi yenu katika hili.
4. Ile kamati kuu ya chama. Kuna bomu linasubiri muda ufike lilipuke. Wenzenu Kafu waliliona hilo wakajitahidi japo kwa mizengwe kujiweka kando na hilo bomu.

Mwisho, Chadema mna kazi ya kusafisha Virusi na kutokukubali virusi zaidi viwavamie.
Ni hayo tu kwa leo
 
Kumbe Chadema ni mali ya Slaa, yeye ndio anapokea watu yeye ndio anafukuza watu..

Ndio maana alimuita Kafulila sisimizi.

Tunashukuru kwa kutujuza!
 
Hivi Kafulila alifanyaga makosa gani haswa alipokuwa Chadema?

2rwucd5.gif
 
Dokta wa Ukweli, Rais uliyenyang'anywa ushindi kimazingaombwe.
Misukosuko hii ndani ya CUF na NCCR Manunuzi inayotokea kwa wakati mmoja siamini kama ni coincidence. Ni kwakuwa wanaohusishwa nayo wamekuwa na ukaribu kwa kiasi kikubwa na Vigogo wa CCM na serikali yake. Hawa ni Hamad Rashid na Zitto Kabwe. Kwamba watu hawa wapo karibu na viongozi wa juu wa CCM hilo halihitaji kuthibitishwa tena hapa jamvini.
Sasa una mambo yafuatayo ili kukinusuru chama
1. Una mtihani mzito kwa Shibuda. Hadi sasa handling ya issue ya Shibuda iko perfect by 100pct. Angalieni asije aka team up na virusi wengine
2. Yupo huyu Zitto. Ushahidi wa mawasiliano kati yake na TISS pa,oja na mengine anayozidi kuyafanya lazima mkae mnamtazama kwa macho makali sana. Mkisinzia tu mtafungwa goli la mkono bila kujua.
3. Hivi sasa kuna presha ya kumrudisha Kafulila, sisimizi aliyeikosea adabu chadema akiwa chadema na akiwa bungeni. Angalieni maamuzi yenu katika hili.
4. Ile kamati kuu ya chama. Kuna bomu linasubiri muda ufike lilipuke. Wenzenu Kafu waliliona hilo wakajitahidi japo kwa mizengwe kujiweka kando na hilo bomu.

Mwisho, Chadema mna kazi ya kusafisha Virusi na kutokukubali virusi zaidi viwavamie.
Ni hayo tu kwa leo

Hizi ni akili za kunguru mgonjwa!

Huwezi kuwa na wabunge 23 halafu useme ulishinda urais wa Tanzania...
 
cdm bado wanaweza kucheki na hao waliotoswa toka vyama vingine na wakawa wanachama wazurii tu. Kafulila mmojawapo
 
Hizi ni akili za kunguru mgonjwa!

Huwezi kuwa na wabunge 23 halafu useme ulishinda urais wa Tanzania...

Wewe huna kichwa unatikiti maji,kila cku hoja yako ni ilele ya wabunge 23 jibu basi hoja za watu mfano hivi walio mtoa madarakani ghadafi walikuwa na viti vingapi bungeni? Bora wabunge 23 walio active kuliko kuwa na wabunge 1000 wanaosinzia tu mjengoni,mbunge kama mnyika nisawa na wabunge 5000 wa dizaini ya kapten John komba ambao ndiyo unajivunia
 
Gaddafi katolewa na Nato na US..

Vipi Rose Kamili, Cristian Lissu, Rachel Mashishanga, ni vichwa vya Chadema..
 
Habari wanajamii forum? ukweli inauma sana kuona vyama tunavyo vitegemea kuleta mageuzi vinaishia kurumbana badala ya kuweka mikakati ya ushindi.
kwa hili la Kafulila kamati kuu ya chadema mnalo jukumu kumkubali ama kumkataa, hii endapo atataka kurudi kwetu.
cha msingi hapa ni hadidu za rejea; kitu gani kilimtoa na kitu gani kina mrudisha tena? chadema inawanachama wengi na wenye sifa hivyo siyo chama cha kuburutwa na walafi wa madaraka. onyesheni msimamo hatutaki makapi.
viongozi wa juu wa chadema naamini ni wapinzani wa kweli.hatutaki wakina mzee wa kilalacha tena tuliwaunga mkono wakatuacha ubungo!!
 
Eti dokta wa Ukweli!. Dokta wa kanisa.

Slaa kama Slaa hana maamuzi ya kumpokea au kutompokea Kafulila. Slaa sio chama.
 
Dokta wa Ukweli, Rais uliyenyang'anywa ushindi kimazingaombwe.
Misukosuko hii ndani ya CUF na NCCR Manunuzi inayotokea kwa wakati mmoja siamini kama ni coincidence. Ni kwakuwa wanaohusishwa nayo wamekuwa na ukaribu kwa kiasi kikubwa na Vigogo wa CCM na serikali yake. Hawa ni Hamad Rashid na Zitto Kabwe. Kwamba watu hawa wapo karibu na viongozi wa juu wa CCM hilo halihitaji kuthibitishwa tena hapa jamvini.
Sasa una mambo yafuatayo ili kukinusuru chama
1. Una mtihani mzito kwa Shibuda. Hadi sasa handling ya issue ya Shibuda iko perfect by 100pct. Angalieni asije aka team up na virusi wengine
2. Yupo huyu Zitto. Ushahidi wa mawasiliano kati yake na TISS pa,oja na mengine anayozidi kuyafanya lazima mkae mnamtazama kwa macho makali sana. Mkisinzia tu mtafungwa goli la mkono bila kujua.
3. Hivi sasa kuna presha ya kumrudisha Kafulila, sisimizi aliyeikosea adabu chadema akiwa chadema na akiwa bungeni. Angalieni maamuzi yenu katika hili.
4. Ile kamati kuu ya chama. Kuna bomu linasubiri muda ufike lilipuke. Wenzenu Kafu waliliona hilo wakajitahidi japo kwa mizengwe kujiweka kando na hilo bomu.

Mwisho, Chadema mna kazi ya kusafisha Virusi na kutokukubali virusi zaidi viwavamie.
Ni hayo tu kwa leo
Chadema ni chama makini kinaweza kikakaribisha virusi na wasifanye chochote au unachanganya uongozi wa akina kikwete na Mukama na Uongozi wa akina Mbowe na Slaa? unafananisha nyanya chungu na Apple!!!!!!!!
 
Hakufanya kosa lolote ila alikua na haki ya kutoka CHADEMA kwenda NCCR Mageuzi kama alivyo na haki ya kwenda CUF au CCM kwasasa. Tofauti kubwa na wakati huu ni kwamba CHADEMA hawakumfukuza ila NCCR wamemfukuza, bado ana nafasi CUF na CCM
 
Gaddafi katolewa na Nato na US..

Vipi Rose Kamili, Cristian Lissu, Rachel Mashishanga, ni vichwa vya Chadema..

Chadema wote vichwa wewe,vipi ccm Lusinde,Komba,Maria Hewa,Mohammed Dewji .........
 
Back
Top Bottom