Star TV Jicho Ndani ya Habari: Wameenda mbali zaidi ya 'Tumethubutu,...' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Star TV Jicho Ndani ya Habari: Wameenda mbali zaidi ya 'Tumethubutu,...'

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by trachomatis, Dec 10, 2011.

 1. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,640
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Dotto asema kwa mtazamo wake maendeleo hadhani kama ni kuongezeka kwa barabara baada ya Uhuru. Anajiuliza kwanini mchakato wote wa utengenezaji mpaka kukamilika kwa barabara ni Wachina! Anasema,anahisi Tanzania inatumia isichozalisha,na inazalisha isichotumia!
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  kweli kabisa ndivyo tulivyo...
   
 3. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,640
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Dotto anahoji,kwanini kauli ya kuthubutu,kuweza na kusonga mbele..isitumike kupima maendeleo yetu,kwenye madini,viwanda vilivyobinafsishwa,.... Kwamba tumethubutu kubinafsisha,je tumeweza? Ina tija sera ya ubinafsishaji? Na tunasonga vipi mbele... Katika huduma za jamii, zahanati,shule, umasikini wa wananchi ukoje hasa kwa wale wanaoishi chini ya dola moja...
   
 4. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #4
  Dec 10, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,640
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Nimeipenda sana mada yao! Kama unaweza kuaccess sasa hivi,angalia Star TV..
   
 5. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #5
  Dec 10, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,796
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  Dah, hii kauli inafikirisha sana..!
   
 6. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #6
  Dec 10, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,640
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Wamegusia kilimo pia,je, ilikuwaje miaka 50 iliyopita,tukathubutu vipi, tukawezaje?kulikuwa na jembe la mkono, je kutumia pawa tilla ndio kuweza?
   
 7. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #7
  Dec 10, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,640
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Wanasema nchi ilikuwa na kiwanda cha matairi bora kabisa cha General Tyre,leo kiko wapi.. Tulithubutu,je tumeweza?
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Dec 10, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,115
  Likes Received: 2,219
  Trophy Points: 280
  Ndo naangalia sisiemu wanazani maendeleo ni kua na maghorofa kibao dar si lamu.
   
 9. Imany John

  Imany John Verified User

  #9
  Dec 10, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,708
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 160
  tumeweza kuongeza chuki na gap kati ya walionacho na wasionacho.

  Amedhubutu kutambulisha udini katika sehemu mbalimbali nchini mwetu.

  Amesonga mbele kwa kuua uchumi kwa nguvu zake zote.

  Uhuni hoyee
   
 10. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #10
  Dec 10, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,640
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Wanasema tulimuondoa mkoloni ili tufaidi rasilimali za nchi yetu! Je kama tulithubutu kumuondoa,je tumeweza, kulinda rasilimali hizo? Je mtanzania anafaidi uhuru wake? Vita dhidi ya ufisadi,rushwa,zinazotushinda, je ndiyo kuweza huko? Wakati ambapo chombo cha kuwakilisha wananchi, kinajiongezea posho zaidi 150%!
   
 11. M

  MADORO Senior Member

  #11
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 199
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Jamani nimefurahi sana, tumethubutu ndio maana hata mizinga tu ya kufungia nyuki bado tunaagiza. Ni kweli tumethubutu kumaliza madini yetu na tumeweza kubadilishana na vyandarua. tumethubutu kuwa na Rais anayelinda Mafisadi na tumeweza, tumethubutu kutaja mafisadi wakasema hatuwawezi na tukashindwa kuwafukuza. Mbona kauli mbiu Iko sashihi? Tumethubutu kuibiwa na tumeweza na tunasonga mbele kuibiwa, na kulinda wezi.
   
 12. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #12
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ukiangalia bora hata ukoloni wa mzungu ulikuwa na maendeleo kweli kuliko ukoloni wetu wa weusi kwa weusi
   
 13. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #13
  Dec 10, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,640
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  hahahaaa...badala ya kuona uchungu na umasikini wetu ye ana smile as if nothing is going on!
   
 14. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #14
  Dec 10, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,799
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Barabara zenyewe wanazoringa nazo zimejengwa kwa HISANI YA WATU WA MAREKANI NA UINGEREZA.
   
 15. kichomi

  kichomi JF-Expert Member

  #15
  Dec 10, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 512
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo kauli yao nadhani wangeibadilisha,wengine inatupandisha hasira tu.
   
 16. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #16
  Dec 10, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,640
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Tunaongoza duniani katika mambo ya KIJINGA KABISA! Eti ni wa 3kidunia kwa kupokea misaada,baada ya Iraq na Afghanistan. Na ni wa 3 kidunia kwa rushwa iliyokithiri..
   
 17. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #17
  Dec 10, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,640
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  wanaongelea kapeti,miswaki,dawa ya meno,masinki,tunazalisha sisi? Kiwi ya viatu,ndio kuthubutu huko?
   
 18. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #18
  Dec 10, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 9,583
  Likes Received: 5,034
  Trophy Points: 280
  Tumeweza kuongeza shule,vyuo ili hali mashirika ya umma mengi yamefilisika,no creation ya vyanzo vya ajira,sijui itakuaje
   
 19. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #19
  Dec 10, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,490
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Angalia msije mkafikiri hadi nje ya lengo lao
   
 20. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #20
  Dec 10, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,640
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  wamenikumbusha kiwanda cha Generak Tyre. Kilikuwa na matairi bora kabisa nchi za Afrika Mashariki kilitegemewa..leo kiko wapi? Tulithubutu kuwa nacho.. Je tumeweza kuexport labda,ama kuzalisha kwa idadi kubwa zaidi? Na je tunasonga nacho vipi mbele..
   
Loading...