Kikwete ongea nasi live tena kama kipindi kile cha tido pale TBC, Ninalo moja tu lakuuliza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete ongea nasi live tena kama kipindi kile cha tido pale TBC, Ninalo moja tu lakuuliza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MBURE JASHA, Dec 19, 2011.

 1. MBURE JASHA

  MBURE JASHA JF-Expert Member

  #1
  Dec 19, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mh. Rais Pole na matukio! or sory majukumu,

  Kuna kipindi ulitaka kubadilisha staili ya kuongea nasi kama mr clean alivyokuwa anatuhutubia kila mwisho wa mwezi (yeye kila Mwezi alikuwa anachonga na watz).ingawa recorded. Wewe ukaja na moja mpya na ki ukweli ilikuwa nzuri. Kuongea live na lupokea simu za Wa Tz.

  Ungeendelea nayo haki ya Mungu wakina Jairo,Anna Makinda ,Maghembe ,Sitta , Lowasa wasingekuchezea kama wanavyofanya sasa.
  Umegundua nini mkubwa!

  Rudia tena hata mara moja tu kwa mwaka. ninalo la kuuliza
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Dec 19, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hivi kweli utaratibu ule umeishia wapi...Alisifiwa sana na vyombo vya habari kuwa ni MSIKIVU, ajabu ameitupa TUNU hiyo ya wananchi..
  Ni lazima kuna makubwa yalimpata!
   
 3. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #3
  Dec 19, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nyie ulikuwa Uhuni ule ukagundulika siku ya pili yake. Maprofessor wa vyuo vikuu na watz walijaribu kupiga simu zile zilikuwa hazipatikani walikuwa wame record. Huwezi kuongoza nchi kwa ujanja ujanja tu
   
 4. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #4
  Dec 19, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Mimi ninalo moja tu la kumuuliza kwamba mwanae Ridhwani amepata wapi utajiri anaomiliki leo hiii?
   
Loading...