Kongamano la Katiba Mpya- Ukumbi wa Kiramuu Mbezi beach | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kongamano la Katiba Mpya- Ukumbi wa Kiramuu Mbezi beach

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwita Maranya, Dec 18, 2011.

 1. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #1
  Dec 18, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Wadau,
  Leo tarehe 18/12/2011 katika ukumbi wa Kiramuu uliopo mbezi beach high school, kunafanyika kongamano la katiba mpya, lililoandaliwa na kuendeshwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

  Wazungumzaji wakuu ni katibu mkuu wa chama Dr. Slaa, Mbunge wa Ubungo Mh. Mnyika na mjumbe wa kamati kuu Wakili Mabere Marando.

  Kongamano hilo limejumuisha wanachama wa chadema mikoa (ya kichama) ya Ilala, Kinondoni na Temeke.

  Kwa wale walio karibu na ukumbi ama wanaoweza kufika wanakaribishwa.

  Sasahivi zoezi la usajili linaelekea kukamilika na kongamano litaanza muda mfupi ujao.
  Nawasilisha.
   
 2. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #2
  Dec 18, 2011
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  CDM chama makini
   
 3. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #3
  Dec 18, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Sasa mbona taarifa hamjasambaza mapema! Kongamano leo, taarifa leo! Shit!
   
 4. P

  PARAGEcTOBORWA Member

  #4
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nawapongeza lakini wajikite ktk katiba ki undani na mazungumzo yatawale mambo ya ccm na serikari watapoteza muda na hawatoa elimu bali watatoa burudani tuu masikioni.
   
 5. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #5
  Dec 18, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Pole mkuu kwa kuchelewa kupata taarifa lakini bado unaweza kuhudhuria kama uko dsm.
   
 6. only83

  only83 JF-Expert Member

  #6
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Well done chama changu....
   
 7. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #7
  Dec 18, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Usiwe na shaka mkuu, leo inachambuliwa sheria ya mchakato wa katiba mpya. Wanasheria wetu wamejiandaa vilivyo kuichambua sheria na katiba.
   
 8. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #8
  Dec 18, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Dr. Slaa, Mh. Mdee na Mh. Mnyika wameingia ukumbini na wanaanza na utambulisho.
   
 9. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #9
  Dec 18, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mgeni rasmi Dr. Slaa anatoa hotuba ya kufungua mkutano.
   
 10. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #10
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  keep on updating jf members and pro cdm on kinachojili hapo kwenye kongamano
   
 11. L

  Leonard Akaro JF Gold Member

  #11
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Thank you for keeping us posted
   
 12. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #12
  Dec 18, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Dah.......Nimelimiss nimeonda mbezi samaki jana ...anyway karibuni mtori .
   
 13. MD24

  MD24 JF-Expert Member

  #13
  Dec 18, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  CDM wako makini! Keep on! Magamba itakula kwao muda si mrefu! Lazima tuwachomeke vijiti kama Gadaffi!
   
 14. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #14
  Dec 18, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Katibu mkuu Dr. Slaa amezungumzia maandalizi ya uchaguzi ndani ya chama, kuanzia ngazi ya misingi, matawi, kata na majimbo.
  Hilo ni agizo la mkutano mkuu kwamba chaguzi za ndani ya chama zifanyike angalau miaka miwili kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.

  Pia ameelezea msimamo wa chadema kuhusu mchakato wa katiba mpya. Ni lazima wananchi wenyewe waachiwe madaraka ya kuamua wanataka katiba ya namna gani na njia za kupitia ili kupata katiba mpya ya wananchi wenyewe.
  Tume ya raisi kama ilivyo sheria ya sasa iliyopitishwa na kusainiwa na raisi hivi karibuni haikubaliki kwakuwa inapora mamlaka ya wananchi na hivyo katiba itakayopatikana itakuwa ni katiba ya raisi. Na kama mabadiliko muhimu na yalazima hayatafanyika, chadema haitashiriki kabisa katika kutoa maoni ya katiba mpya chini ya sheria hii ya sasa.
   
 15. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #15
  Dec 18, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mh. Halima mdee sasa ameanza kuzungumzia mchakato wa sheria ya katiba mpya.

  Baadae Mh. Mnyika atazungumzia yaliyojiri katika mkutano wao ikulu na raisi kikwete juu ya sheria ya mchakato wa katiba mpya.
   
 16. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #16
  Dec 18, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hii ni kuhakikisha polisi magamba hawapati taarifa za kiinteleginsia lol!!!
   
 17. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #17
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Sasahivi Halima anachambu sheria aliyosaini Rais ambayo itasimamia mchakato wa katiba anasema mchakato wake ulikuwa batili bado anaendelea.
   
 18. W

  Wakurogwa JF-Expert Member

  #18
  Dec 18, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hizo kauli zenye Red mbona zinanichanganya?
   
 19. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #19
  Dec 18, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Wala usichanganyikiwe, nitafanua.
  Kwamba kwakuwa katiba ni ya wananchi, ni lazima maoni yao yazingatiwe kwamba wanataka watumie njia gani kufikia katiba mpya. Kwakuwa raisi ni zao la katiba hapaswi kuwatengenezea wananchi katiba bali kuwapa platform ya kutengeneza mchakato wa katiba mpya.
  Kwa maana hiyo ni kwamba sheria iliyosainiwa hivi karibuni ni lazima ifanyiwe marekebisho ya msingi ili kukidhi matakwa ya wananchi.

  Kama serikali ya ccm haitakubali sheria hiyo kufanyiwa marekebisho yanayohitajika, basi chadema hawatoshiriki kutengeneza katiba bomu isiyozingatia mahitaji ya wananchi wenyewe.
   
 20. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #20
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ahsante mkuu endelea....
   
Loading...