huku kero ya mafuta ikulu wanafanya sherehe

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
leo kikwete akiwa na pinda, bilal wamewaapisha mabalozi wapya. na kufanya sherehe katika viwanja vya ikulu. Mia
 
kwa hiyo unataka shughuli zingine za kitaifa zisimame kwa sababu hiyo? think twice wewe ukiwa Rais na kufanya hivyo mambo mengi ya kitaifa yatasiamama na kuleta hasara kwani mabalozi hao wanatakiwa kuripoti kwenye vituo vyao vya kazi na kuanza kazi mara moja bila kujali kama unautilia mashaka uteuzi wa Rais lakini ukweli unabaki palepale wameteuliwa ni lazima waende kujitambulisha kwenye nchi husika
 
Back
Top Bottom