Mwenyekiti wa CHADEMA Mbeya Mjini Ashirikiana na Mbunge wa CCM kuchukua Jimbo la Sugu

Makyomwango

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
322
79
Wana Jamii

Kuna uvumi kuwa mwenyekiti wa CDM katika manispaa ya Mbeya (Mwambigija)i anashirikiana na mbunge wa viti maalum wa CCM (Bi Mwanjelwa) kwa lengo la kudhoofisha nguvu ya CDM katika jimbo hilo. Inasemekana kwamba lengo lao ni kuhakikisha jimbo hilo linangukia kwa mwanamama huyo mwaka 2015.

Ikumbukwe kuwa manispaa ya Mbeya ni moja ya ngome kuu za CDM hivyo wanachama na wapenzi wa chama hiki tunatakiwa kuwa makini na viongozi wanoweza kurubuniwa kwa maslahi yao ya muda mfupi na wnanmagamba

Kamanda Dr Slaa ametangaza kuanza kwa mchakato wa uchaguzi wa viongozi kuanzia mwakani hivyo wanachama wa chadema wa mbeya na maeneo mengine wanashuliwa kuwa makini sana na viongozi wa aina hiyo ili chama kisije pata viongozi mamluki wenye tamaa ya vipesa wanaoweza kuturudisha katika azma yetu ya kuchukua dola 2015

My Take Chadema Mkoa na makao makuu waufanyie kazi uvumi kwa lengo la kuzuia kuzolotesha nguvu ya chama katika ngome hiyo ya manispaa ya Mbeya
 
Akina Kafulila bado wengi sana katika vyama.
Huyo Mnyakyusa asilete ukabila kwenye siasa, japokuwa kwa hali iliyopo Mbeya Mjini sasa inawapasa kuongeza mbinu na makali ya uasi wao mara 1000, maana vijana wamechoka na kuchakaa kabisa!
 
WOGA WA NINI? kama ni 2015 kila mtu ana haki ya kuchaguliwa na kuchagua mtu anayempenda. Kama Sugu anataka jimbo hilo liwe mali yake apambane kulema maendeleo yanayoonekana na yatakayo onekana.
 
Akina Kafulila bado wengi sana katika vyama.
Huyo Mnyakyusa asilete ukabila kwenye siasa, japokuwa kwa hali iliyopo Mbeya Mjini sasa inawapasa kuongeza mbinu na makali ya uasi wao mara 1000, maana vijana wamechoka na kuchakaa kabisa!

Pakajimmy wewe ndiyo una dalili zote za ukabila. Kwani nanikakuambia Mwanjelwa anakuja kwa tiketi ya ukabila? Kwani kila mwenye jina lake linaanza na Mwa ni mnyakyusa?
 
hata majungu yafanyiwe kazi sasa. Tetesi huzaa habari kamili, iwe nzuri au mbaya
 
Achaa wamalizane sugu akaimmbe matusi na vinega wenzie
OTIS
 
Jana tulikuwa mr. SUGU NA MH. LEMA TRIPPLE A ARUSHA KWENYE SHOW INAONEKANA HATA YEYE HAJUI KINACHOENDELEA.
 
Nashukuru kwa taarifa hizi inabidi zifanyiwe kazi kikamilifu maana Mbeya viongozi hawaaminiki kuanzia wa serikali, wa vyama vya siasa hadi wa NGOs. Ila naomba kukumbushwa kulikuwa na taarifa fulani kuhusu mmojawapo wa wabunge wa viti maalum kutoka mkoa huo, kuiba vifaa katika moja ya hoteli mkoani Arusha isijekuwa ni huyu dada.
 
Ndiye yeye mwenyewe aka maamaa misifa
 
Nashukuru kwa taarifa hizi inabidi zifanyiwe kazi kikamilifu maana Mbeya viongozi hawaaminiki kuanzia wa serikali, wa vyama vya siasa hadi wa NGOs. Ila naomba kukumbushwa kulikuwa na taarifa fulani kuhusu mmojawapo wa wabunge wa viti maalum kutoka mkoa huo, kuiba vifaa katika moja ya hoteli mkoani Arusha isijekuwa ni huyu dada.
Ni huyuhuyu!
Mwenye Hoteli aliambiwa akanushe habari zile mara moja, naye kwa kuhofia kukosa tenda na kusumbuliwa na TRA alisalimu amri akamvua gamba mama huyu!
 
Nashukuru kwa taarifa hizi inabidi zifanyiwe kazi kikamilifu maana Mbeya viongozi hawaaminiki kuanzia wa serikali, wa vyama vya siasa hadi wa NGOs. Ila naomba kukumbushwa kulikuwa na taarifa fulani kuhusu mmojawapo wa wabunge wa viti maalum kutoka mkoa huo, kuiba vifaa katika moja ya hoteli mkoani Arusha isijekuwa ni huyu dada.

Hahahahhaahaha mkuu ndie huyu anajiita Dr Mary Mwanjelwa,Dr mwizi wa taulo huko A town
 
Fyengeresya umesema kweli! Kwani ile ilikuwa tuhuma au kweli?
Karibu ntendo na tamasenga wakumwitu!
Nashukuru kwa taarifa hizi inabidi zifanyiwe kazi kikamilifu maana Mbeya viongozi hawaaminiki kuanzia wa serikali, wa vyama vya siasa hadi wa NGOs. Ila naomba kukumbushwa kulikuwa na taarifa fulani kuhusu mmojawapo wa wabunge wa viti maalum kutoka mkoa huo, kuiba vifaa katika moja ya hoteli mkoani Arusha isijekuwa ni huyu dada.
 
Nashukuru kwa taarifa hizi inabidi zifanyiwe kazi kikamilifu maana Mbeya viongozi hawaaminiki kuanzia wa serikali, wa vyama vya siasa hadi wa NGOs. Ila naomba kukumbushwa kulikuwa na taarifa fulani kuhusu mmojawapo wa wabunge wa viti maalum kutoka mkoa huo, kuiba vifaa katika moja ya hoteli mkoani Arusha isijekuwa ni huyu dada.
Hii taarifa iwekwe wazi hapo mjini Mbeya ili wapiga kura wamfahamu vizuri huyo mama na tabia zake hizo za kukwapua hata mataulo hotelini.
 
Sugu si saizi yao, acha wahangaike kabla ya vijana wa Mbeya kuwatia adabu hata bila ya Kamanda suku kuingilia kati pale.
 
Back
Top Bottom