Mnyika, prof shivij na cheo aizeck live Itv mada katiba mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnyika, prof shivij na cheo aizeck live Itv mada katiba mpya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ptz, Dec 23, 2011.

 1. P

  Ptz JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2011
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 466
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  SalamuWanajamvi! Prof Shivij, Mh John Mnyika na Aizeck Cheo wako Itv live kwenye Kipima joto wakijadili mswada wa kitiba mpya, sahizi prof shivij anatoa ufafanuzi juu ya mchakato wa katiba mpya na kuwa bunge la katiba ni tofauti na bunge la kawaida, zaidi anasema Bunge la katiba liko juu ya bunge la kawaida
   
 2. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Shukrani kwa taarifa mkuu,tujuze kila kinachojiri
   
Loading...