Je RAIS huwa anaitembelea JAMII FORUMS?


Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Messages
2,100
Likes
32
Points
0

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2010
2,100 32 0
Kama anaitembelea, je ni feedback gani anapata?

Nadhani hili ni jukwaa huru la watanzania wasomi kwa mbumbumbu, wake kwa waume wa dini na rika mbalimbali kutoa maoni yao.

Mengi yaliyokuwa yakiongelewa hapa kabla ya uchaguzi hakika yamenitimia.

Nadhani JF hiki si chombo cha kupuuzwa na rais, ila inabidi akienzi na kukitumia kupata maoni ya watu wake.
 

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Messages
3,068
Likes
647
Points
280

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2010
3,068 647 280
Hata akitembelea hana jipya.

Kwanza tuelewe kwamba tusitarajie mabadiliko katika uchumi wa nchi. Pigo la kwanza ni ada za wanafunzi vyuoni anazo za kutosha?

Acha tusubiri
 

Superman

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2007
Messages
5,702
Likes
103
Points
160

Superman

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2007
5,702 103 160
Anaitembelea au anapata taarifa zake "refer hotuba yake ya uzinduzi wa kampeni Jangwani". Anai-support ni jicho la tatu baada ya Bunge na Magazeti. In fact baadhi ya magazeti huwa wanachukua nondo humu.

Si ajabu ni Premium Member wa siri anayechangia fweza. Kama si hivyo ingefungwa kwa kisingizio chochote hata kama JF tunakuwa governed na international laws.
 

Duduwasha

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Messages
5,159
Likes
2,225
Points
280

Duduwasha

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2010
5,159 2,225 280
Yawezekana anatizama hata zeutamu aliiona picha yake..... na sijui ile kesi imeishia wapi hebu nifahamisheni wadau
 

Forum statistics

Threads 1,204,674
Members 457,412
Posts 28,166,216