Kwa hili nyerere hakufanikiwa!

BORNCV

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
242
46
Namsifu sana Hayati Mwl. J. K Nyerere kwa uzalendo wake kwa taifa lake lakini nasikitika kwamba umetuchia matatizo makubwa sana, kwani viongozi wengi waliopo sasa akiwepo mkuu wa kaya wametokana nae/wamefanya kazi pamoja/wametoka ktk chama alichokianzisha yeye na ndio wanaotusumbua na kufisadi taifa letu tukufu, kwa hapa kweli hakufanikiwa.
 
amefanikiwa kumlaumu nyerere na kuona kila alilofanya ni baya kwa sababu ya dini yake na kutokumlaumu kikwete na kuona kila alilofanya ni zuri pia kwa sababu ya dini yake!

nlikuwa sielewi
kwa nn ff anamkandya
jkn leo nimefunguka macho
viva jf
 
Amefanikiwa kumlaumu Nyerere na kuona kila alilofanya ni baya kwa sababu ya Dini yake na kutokumlaumu Kikwete na kuona kila alilofanya ni zuri pia kwa sababu ya Dini yake!

wewe ndio unaleta udini hapa jf kwa taarifa yako mina jkn ni dini moja.
 
Namsifu sana Hayati Mwl. J. K Nyerere kwa uzalendo wake kwa taifa lake lakini nasikitika kwamba umetuchia matatizo makubwa sana, kwani viongozi wengi waliopo sasa akiwepo mkuu wa kaya wametokana nae/wamefanya kazi pamoja/wametoka ktk chama alichokianzisha yeye na ndio wanaotusumbua na kufisadi taifa letu tukufu, kwa hapa kweli hakufanikiwa.

nyerere si Mungu mpaka aweze kufanya kila jambo liwe perfect, hao aliowaacha ni binadamu, wenye utashi wanaoweza amua baya na jema, wakiwa mafisadi si makosa ya nyerere wakibadilika kwenye misingi yao ya uimani si kosa la nyerere ni kosa la viongozi husika, nyinyi wananchi mliobakia ndio wenye jukumu la kurekebisha
 
Ukitaka kumpima kiongozi bora angalia familia yake pamoja na ndugu na jamaa zake...

Angalia familia yake walivyochoka wanasaidiwa na Mkapa na JK..

Kuna ndugu zake wengine wanavua dagaa pale mwaloni Musoma...
 
Back
Top Bottom