Nawashukuru VIJANA wa CCM kwa kuitikia wito kusadia waathirika DSM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nawashukuru VIJANA wa CCM kwa kuitikia wito kusadia waathirika DSM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Honey K, Dec 23, 2011.

 1. H

  Honey K JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2011
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nawashukuru sana sana vijana wa CCM na wazalendo wengine wote baada ya kutoa wito kushiriki kutoa misaada mbalimbali kwa waathirika wa mafuriko yaliyotokea Dsm, mmejitekeza kwa wingi na moyo mkubwa kwa misaada na kujitolea kufanya usafi na kusaidia shughuli mbalimbali kwenye maeneo mbalimbali. Nilimopita nimewakuta mkifanya kazi lakini hata wananchi waliothirika wameshukuru sana uwepo wenu. Nawashukuru HUO NDIO UZALENDO, UUNGWANA NA UTU. MUUNGWANA NI VITENDO.....

  Wengine wote bila kujali itikadi zenu naomba mjitolee kusaidia ndugu zetu watanzania wenzetu walioathirika.
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  wewe ni nani ulietoa wito maana ninavyojua hii ID ulishaikataa na je ulijuaje kuwa hao walikuwa wanafanyakazi hizo ni vijana wa CCM...umeshamuomba msamaha Lowasa....
   
 3. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mi nilichoona na mpaka sasa bado wapo hapa kwenye bonde la msimbazi kuelekea daraja salenda ni vijana wa CCM wakiendelea kufaidi matunda ya mafuriko, wakijipendelea mali zilizokwapuliwa na mafuriko.
  Nafikiri ndo kusafisha anakokuongelea Nnauye Jr.
   
 4. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #4
  Dec 23, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Hahahahahaha ati vijana wa CCM! Nchi imewashinda nyie watu na mnachosha kweli,mnisubiria majanga yatokee ndio mnaanza kuchukua hatua? Kwann hivi vitengo vya Maafa vipo kwa ajili ya nn maana nilishuhudia kwa masaa kadha vitu mbalimbali vikibebwa je mlikua wapi ati useme unawashukuru vijana wa CCM? Au walivaa jezi zenu? Mnachosha sana nyie watu
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Dec 23, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kwa ajili ya mbwembwe siku za maazimisho.....hata hivyo hawana vifaa tusiwaseme sana
   
 6. L

  LAT JF-Expert Member

  #6
  Dec 23, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  amazing

  we need to sympathize with the berieved ones and gives them moral and material support but this parrot is singing unsung songs
   
 7. p

  plawala JF-Expert Member

  #7
  Dec 23, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 627
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ungeacha kutaja tu uhusiano wa hao vijana na chama,maana nyie ndio mmeshindwa kuweka utaratibu wa kudumu kupunguza,kuzuia au kuwa na mikakati ya dharura kudhibiti mafuriko kama ya wakati huu
   
 8. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #8
  Dec 23, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Hao wanakula posho tu hawana tofauti na waalimu au madaktari wa serikali wanao acha kuwajibika kwenye gov hosp ila wana hosp zao mitaani na walimu hawafundishi wanafungua matuition mitaani ,tunalipa kodi ili zinunuwe dawa magari ya wagonjwa dawa magari rescue ,maji salama ya bomba, barabara ,shule ,badala yake mnatumia kununulia mashangingi ya kutanulia halafu unasifia ujinga wakati kuna kitengo cha maafa
   
 9. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #9
  Dec 23, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Kuna watu huwa nawasikia wanadaieti uwezo wako kichwani ni kama kifuu cha nazi, mimi huwa nawabishia, lakini hapa nataka kushawishika. Inakuweje unasisitiza itikadi ziwekwe pembeni wakati huu alafu kwenye kichwa cha habari kuna neno CCM ambalo unafaham fika huwapotezea furaha watu wengi wenye akili timamu linapotamkwa? Umeniharibia siku yangu
   
 10. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #10
  Dec 23, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Nilidhani na wewe ulishiriki kufanya kazi, kumbe ulikuwa unapita kuwaangalia wenzako wakifanya kazi... kaaazi kweli kweli
   
 11. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #11
  Dec 23, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mwisho na kwenye kutoa hiyo misaada kwa waathirika utasema tuwasaidie wa wanachama wa CCM kwanza!
   
 12. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #12
  Dec 23, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mkuu Leo hujaibiwa Password yako? Huchelewi kuiruka Id yako na kusema sio wewe uliyeposti Magamba mnaogopa mpaka mnakimbia vivuli vyenu na kujiruka mweyewe.

  Halafu nasikia Wengi wao hao vijana wako unaowasifia ni vibaka wa kuiba misaada ya walengwa walioathirika na haya Mafuriko. Nimesoma kwenye Nipashe kuwa wanaiba vitu na kuondoka navyo makwao. Kweli CCM ni Janga laTaifa. Ufisadi mpaka kwenye vijana wenu au ndio mnawafundisha ili wakiwa kwenye uongozi wawe na experience ya Ufisadi. Ufisadi na CCM ni kama Tumbo na Mavi
   
 13. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #13
  Dec 23, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mkuu Nape ulishawahi kusema kuwa nchi ya Tanzania ina wenyewe na wenyewe ni CCM, je sisi tusiokuwa na vyama nchi yetu ni ipi? au nitaratibu zipi tuchukue ili tuna na hiyo Hatimiliki ya Nchi yetu tusio na vyama.
   
 14. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #14
  Dec 23, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  that's ma boy!
   
 15. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #15
  Dec 23, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Nape Nnauye Bingwa wa kutema pumba na King wake yupo Magogoni :lol:
   
 16. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #16
  Dec 23, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160

  Kufa kufaana, Waacheni Vijana wajifunze Ufisadi. Wakikuwa kama kaka zao wa Magogoni watakuja kutuingiza kwenye Mikataba ya Kipumbavu na ya kijinga kama waliopo Magogoni. Ukiona majanga na Vijana wa CCM wakiwa wanakimbilia huko ujue kuna mnuso wa kukwapua misaada
   
 17. Tundapori

  Tundapori JF-Expert Member

  #17
  Dec 23, 2011
  Joined: Aug 12, 2007
  Messages: 521
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Mbona wewe umejali itikadi ya CCM. Eti vijana wa CCM, stupid idiot.
   
 18. r

  rwazi JF-Expert Member

  #18
  Dec 23, 2011
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unadhani utapandisha chama kwa kutumia haya maafa,wapo wengi waliofanya usamalia, nadhani hupaswi kuingiza itikadin zako hapa maana serikali yako ndo ilipaswa kuwajibika tangu mwanzo lakini mmelala mpaka watu wengine wakakosa msaada kwa silku mbili.Ungekuwa uchaguzi mdogo pesanyingi mgepeleka mgeisha au ingekuwa kudhibiti chadema mgekodisha mpaka majeshi ya nje yangeletwa lakini kwa hili mnasingizia UVCCM
   
 19. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #19
  Dec 23, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Thanks anyway nape!
   
 20. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #20
  Dec 23, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Na wangeshusha masufuria ya Pilau kama igunga. Shame on them
   
Loading...