PEMBE ZA NDOVU Kukamatwa Kenya hii imekaaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PEMBE ZA NDOVU Kukamatwa Kenya hii imekaaje?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Job K, Dec 23, 2011.

 1. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,867
  Likes Received: 2,808
  Trophy Points: 280
  Nimeona kwenye runinga ya K24 rundo la pembe za ndovu zimekamatwa bandari ya Mombasa. Katika maelezo yao wanadai zilikuwa zinasafirishwa kama plastics kutokea TZ kwenda Dubai lakini mwenye mzigo hajakamatwa. Ni kweli wa-TZ wanafanya hiyo biashara au jamaa wanataka kutuchafulia jina?
   
 2. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
   
Loading...