Siku kadhaa zilizopita, waziri wa Utamaduni, Habari na Michezo alikuwa mgeni rasmi kwenye kilele cha miaka 50 ya uhuru ambazo wizara yake iliamua kuziandaa kijijini Butiama. Katika sherehe hizo...
WANAJF;
Hali inaonyesha si shwari ndani ya CUF na hasa kwabunge wa Wawi Mh. Hamad Rashid, na hivyo kuna uwezekano mkubwa tu wa yeye kufukuzwa au kuondoka yeye mwenyewe ndani ya CUF na kwenda...
Niliwahi kuona wazo la Mwanajamii mmoja akiwashauri CDM kuwa na kituo chake cha TV, hii ingesaidia kuondokana na kutegemea vituo vinavyowabania baadhi ya wanasiasa. Kwa mfano Mh. Wenje kaamua...
Kutokana na ongezeko la wahuni wengi nchini imefika wakati kutafute mfumo wa kuhesabu kura kulingana na hekima za watu. Haiwezekani kura ya kila mtu kuhesabiwa kama ni moja, inabidi ifike wakati...
Katika hali isiyokuwa ya ya kawaida, Mbunge wa Wawi amepata nyaraka muhimu za kufukuzwa kwake kabla hata kusikilizwa katika kamati ya madili.
Waraka huo ulikuwa unatumwa kwa Lipumba ukiwa...
Wajumbe
Naombeni ufafanuzi wenu.
Kuna uvumi/uzushi/tetesi kwamba, kwa mujibu wa Sheria, baada ya Mahakama Kuu kusajili hukumu (tozo) ya uamuzi wa ICC dhidi ya TANESCO, ulioipa ushindi DOWANS...
Ni ukweli usiopingika kuwa Godbless Lema amekuwa ni mwanasiasa mwenye kuibua mijadala mingi hapa nchini, ndani na nje ya bunge. Kwa uchache utaungana nami kukumbuka hotuba ya waziri kivuli wa...
28 DECEMBER 2011
*Asema wajumbe wake hawana sifa, akataa kuhojiwa
*Ataka ufafanuzi katiba iliyoruhusu kamati kumuhoji
*Tuhuma zake sasa kufikishwa kwenye Kamati Kuu
Na Agnes Mwaijega
MBUNGE...
Hawa jamaa wa manispaa/magufuli sijui kwanini wanaacha barabara ya kuanzia mwenge kwenda bunju kuwa chafu namna hii.barabara imejaa michanga na mwisho kunakuwa na mashimo.inaleta hadi...
Jaman rais wa nchi si Mungu. Na siasa ina kanuni ya biashara. Ushindani ndo sera yenyewe, hapa nchi 2nababaishwa sana na Tanesco kwa kuwa hawana washindani. Chukulia mfano kipindi kile TTCL ndo...
Mungu katika kumuumba mwanadamu alimuumba na tamaa!!!LAKINI KWA WALE WATAKAOKUBALIANA NAMI!!!NI KWA NINI BINADAMU WENGI TUNA TAMAA? na tumeumbwa kwa mfano wa mungu?au hii ni dhambi tukutanayo...
Kukataa kuhojiwa Hamad Rashid na Kamati ya Nidhamu ya CUF ni dalili za wazi kuwa CUF siyo riziki tena Bara. Kwani kuwepo kwa wajumbe wengi kutoka Bara katika maamuzi ya CUF kunaweza kukwamisha...
Mimi Pangu Pakavu nimeota ndoto kwa niaba ya wana Tabora, ni ndoto niliyoota usiku wa kuamkia leo na ndoto hii ni salam kwa Rage na kumuomba afikirie upya nafasi yake ya ubunge Tabora mjini...
TAARIFAKWA VYOMBO VYA HABARI
Salaam za X-Mas na Mwaka Mpya za Mchungaji Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema)
Waraka mahususi kwaviongozi wa dini wa Tanzania:
Kuweni macho...
Serikali yadang'anya walimu
na Mwandishi wetu
Tanzania Daima
SERIKALI ya Rais Jakaya Kikwete imeshindwa kuanza kulipa madeni ya walimu kuanzia Desemba mwaka huu kama ilivyoahidi...
MAMLAKA ya Udhibiti wa huduma za Nishati na Maji (Ewura) , imesema imekamilisha taratibu zote zinazohitajika za kutangaza bei mpya ya umeme na kwamba sasa inajipanga kufanya hivyo, mwanzoni mwa...
JK aliingia madarakani kwa mbwembwe sana na ahadi lukuki na akiwa amebeba matumaini makubwa ya WaTZ. Tatizo yote ameyatelekeza na kuwaacha wananchi wakiwa hawana kimbilio wala pa kusemea. WaTZ...