Maalim Seif,na hulka ya matamanio ya mwanadamu!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maalim Seif,na hulka ya matamanio ya mwanadamu!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ntogwisangu, Dec 28, 2011.

 1. ntogwisangu

  ntogwisangu JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 516
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Mungu katika kumuumba mwanadamu alimuumba na tamaa!!!LAKINI KWA WALE WATAKAOKUBALIANA NAMI!!!NI KWA NINI BINADAMU WENGI TUNA TAMAA? na tumeumbwa kwa mfano wa mungu?au hii ni dhambi tukutanayo duniani?na kama ni dhambi kwa nini tunashindwa chukua hatua kwa binadamu wenzetu waionyeshayo dhambi hiyo?!!!!HATA PALE TAMAA YAO IPO KIMASLAHI KWAO NA HAINA TIJA?UKIANGALIA YANAYOTOKEA CUF HAPANA SHAKA YATATOKEA SIKU MOJA MAHALI PENGINE POPOTE!!KWA FIKRA ZANGU MAALIM SEIF ANAWAKILISHA TAMAA ZILE ZILE ZA MWANADAMU!!!!HAYA YAPO CHADEMA VILE VILE KWA KAMANDA MBOWE!!!JE TAMAA HIZI NI KWELI ZINAWAKILISHA VIONGOZI WANAMAPINDUZI?KWA AJILI YA WATU?WATU WAKIKUPINGA ACHANA NAO KAA PEMBENI!!!
   
 2. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  @Mtongwisangu wewe usione watu wanatowa mada na weweukarukia wakati huna poits za kutowa mada, kwanza matamania kwa binadamu ndiotulioumbiwa bila ya matamanio huna maisha.

  b. ukisema kuwa Maalim akae upande watu hawamtaki nikuulizeniwatu gani hao? Watanganyika au Wazanzibar?, ikiwa ni Watanganyika basi sizanikuwa Maalim Seif anapenda apetwe na Watanganyika kuliko watu wa kwao Zanzibar ,kumbuka kuwayeye ni Mzanzibar sio Mtanganyika.

  Na ikiwa umekusudia kuhusu hili sakata la Hamad Rashid naVyombo vya habari vyake basi , Hamad Wzanzibar wanamchukulia kamaShizi mflani tu na asiokuwa na kwao ndio Wazanzibar wamemtungia jina la Muasi.

  Yeye anaileza mambo yasioingia akilini anataka Ukatibu kwastail ya fitna na ubabe kama ni Ubabe basin a achukuwe huo ukatibu na kama anasema kuwa Maalim ana Kofia mbili nikuwa Nyanihaoni ****** wake?.

  Yeye binafsi ni Mbunge wa Wawi na Kiongozi wa Kambi ndogo yaktk Bunge alio waundia ili kusuguana na Chadema, kamakweli huyu alikuwa sio mtu mbaya anae taka madaraka kuna haja gani kuunda kambindogo wakati kubwa iko?.

  Wazanzibar walimjuwa mwanzo huyu na ilikuwa zinaisabiwaarubaini zake tu zitimie na hivi sasa zimetimia na Watu wa Wawi ndio wamuzi wamwisho wa watakao mtahiri Hamadi na kama ana ubavu asibweke huko akabweke kwaoWawi sio huko kwa Mashemegi Zake.

  Ohh Maalim Kazeka Ohh ana majukumu na Kofia mbili, yeyehajioni kuwa ni Mbunge,Kiongozi wa Kambi ndogo ya Upinzani na nimfanya biasharamkubwa Dar.

  Na Kuna kiongozi gani asiokuwa na Kofia mbili? Haiwi Kikweteni Raisi wa Muungano na Amiri jesh mkuu na Mwenyekiti wa Chama ana kofiangapi?.

  Ki (@Mtongwisangu) kama unataka umjuwe Maalim ni mtu ganibasi njoo Zanzibarutamjuwa Maalim ni mtu gani ? usikae huko ukasema mambo yasokuwa na mbele walanyuma.
   
Loading...