Juma Nkamia Vs Zitto Kabwe in BBC now

Hivi anayesema posho ziongezwe kuna wanowasikiliza sababu zao na hoja zao?

I doubt that they will make any sense...

Na huyo Juma Nkamia ndo nani? Ama ni ounching bag la zitto?
 
hawa jamaa kweli ni hatari eti kwa mbunge anae watumikia wananchi kama inavyo sitahili basi ni bora aongezewe posho
 
mbunge wa kenya ameua bendi kuwa shida ni za kila mtu na kusaidia ni jadi ya kila mtu siyo lazima uwe na posho
 
Sawli je unatoa list
jibu ni mzunguko anamlaumu zitto kuwa yeye anauhakika wa kuishi
 
Nkami Juma ni mbunge kupitia CCM yeye anadhani ni kusoma taarifa redioni,huyu nae ni kilaza kumbe,sikujua kabisa nae ameshakuwa gamba mara hii,kumbe ukichukua kadi ya CCM leo tayari unavaa gamba la ufisadi na ubinafsi,kazi kweli kweli
 
zitto: mshahara wa mbunge ni milioni 2.3, na unakatwa kodi
posho ni milioni 5, haikatwi kodi
kwa mwezi hiyo.

kamati zinakaa vikao 80 kwa mwaka + vikao mbalimbali vya bunge ambavyo ni elfu 70/80 kwa siku
wanapewa fedha kupitia mfuko wa kuendeleza jimbo
 
5mil hazikatwi kodi kwa mwezi

Hiyo ni Daylight robbery! Hatari sana kwa Taifa lenye watu wengi masikini kama letu, iko siku watu waliokata tamaa ya maisha wataingia barabarani na kila kitu kitabadilika!
 
ukisimamia haki daima utashinda,dhuluma haina justification itabaki na sura yake ile ile! Zitto anajenga hoja kwa namna ambayo ni kama anawavua nguo!
 
hiyo ni daylight robbery! Hatari sana kwa taifa lenye watu wengi masikini kama letu, iko siku watu waliokata tamaa ya maisha wataingia barabarani na kila kitu kitabadilika!
chanzo cha kufukuzwa viongozi nchi za kiaarabu ni watu kukata tamaa
 
Back
Top Bottom