Busanda baada ya kabuzi CCM imepoteza mvuto, vijana litazameni jimbo hili lipo wazi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Busanda baada ya kabuzi CCM imepoteza mvuto, vijana litazameni jimbo hili lipo wazi!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kimboka one, Nov 27, 2011.

 1. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  mwaka 2005.kabuzi alipata kura,
  [TABLE]
  [TR]
  [TD="width: 10%, bgcolor: #ece9d8"]
  [/TD]
  [TD="width: 30%, bgcolor: #ece9d8"] FAUSTIN RWILOMBA KABUZI[/TD]
  [TD="width: 20%, bgcolor: #ece9d8, align: center"]CCM[/TD]
  [TD="width: 5%, bgcolor: #ece9d8, align: center"]M[/TD]
  [TD="width: 20%, bgcolor: #ece9d8, align: right"]61,868[/TD]
  [TD="width: 15%, bgcolor: #ece9d8, align: right"]79.2[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  chanzo tume ya uchaguzi.
  huyu bi shost mwaka jana amepata

  [TABLE="class: arc90_altrows-Blue"]
  [TR]
  [TD="width: 30%"]LOLESIA JEREMIAH BUKWIMBA [/TD]
  [TD="width: 20%, align: center"]
  CCM
  [/TD]
  [TD="width: 20%, align: right"]32,781
  [/TD]
  [TD="width: 15%, align: right"] 54.21[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Nilijua kafa, jimbo likawa wazi
   
 3. All TRUTH

  All TRUTH JF-Expert Member

  #3
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 3,277
  Likes Received: 985
  Trophy Points: 280
  hata mie niljua ivo au kajuuzuru
   
 4. j

  juu kwa juu JF-Expert Member

  #4
  Nov 27, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Alitolewa na mahakama baada ya kesi ya matokeo, alikuwa tlp, akafa kabla ya uchaguzi mpya mdogo kuitishwa, rip kabuzi
   
 5. B

  Bhavick JF-Expert Member

  #5
  Nov 27, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  unayemwongelea ni Kabuye siyo Kabuzi,Kabuye alikuwa Tlp,jimbo la Biharamulo sio Busanda,
   
 6. k

  kazobe Member

  #6
  Dec 22, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mmmh bagosha au ndo nuaso anakuja maana haya mambo ya kutupa mawe gizani twaweza rushiana nani huyo kabuzi junior
   
 7. k

  kazobe Member

  #7
  Dec 22, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aweke namba zake hapa tunze mapema kabisa kumchangia maana kamchakato huwa kagumu sana pia kama kasalio kanasumbua na watu kama hawa ndo tunawataka ila asije akawa kibwangai ni hayo tu his contacts pls but observe ....
   
 8. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #8
  Dec 22, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  nilimuona bukwimba kupitia itv akitoa mchango wa vicomputer vya kizamani vile vyeupe hata hivyo jimbo halina umeme wakati anagombea mwanzoni tanesco walipeleka nguzo kama mnakumbuka walienda ngeleja ,makufuli na na yule aliekuwa mambo ya ndani akatamba huku kulia nina police kushoto magereza green guard wakatembeza mkongoto kwa raia sijui kesi ikapotezwa ccm bwana we acha tu wananifanya nikumbuke chama jogoo kanu
   
 9. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #9
  Dec 22, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  tehe tehe nimeona tu asilimia 54% hatuoneshi hizo zingine alipata nani. Na yuko wapi aliepata asilimia zilizobaki.
   
 10. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #10
  Dec 22, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Huyu si ndiyo Umbea wenyewe.kwa nini unawasemea?,watoto wenye bado wadogo ndiyo kwanza wako sekondari.hapa tunataka kijana na asema mwenyewe ili tumwoji si kusemewa.tena nashauri awe MZALENDO na shule angalau kamasters hivi asije akawa anawakimbia wazungu kisa lugha na kusaini mikata kama ya chief mangunga.huyo mkoa unautajiri mwng sana ila hakuna siasa safi
   
 11. C

  Chief Lugina JF-Expert Member

  #11
  Dec 23, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 290
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  KUTOKA KADUDA
  Kwanza nianze kwa kusema kuwa katika zama hizi kuna raha sana kwa kijana kutoka katika jimbo linaloongozwa na CCM na mbunge wake akawa hakubaliki,inaleta matumaini makubwa sana maana panakuwa na uwezekano wa wewe kushinda ubunge.
  Kuhusu BUSANDA tulisha jadili sana lakini hii haifungi fikra na mawazo mapya juu ya jimbo hili,na siku zote maada ya BUSANDA inapoanzishwa sitakuwa nyuma kuijadili as long as mimi ni mdau wa BUSANDA na mgombea Ubunge kwa ticket ya CHADEMA2015(Munugu akijalia).
  Kuhusu tofauti ya FAUSTINE RWILOMBA kabuzi na Lolensia W.Bukwimba hapa hakuna tofauti sana,Kwanza wote ni wana CCM na daima CCM imekuwa ikizalisha product zile zile so,hakuna jipya kati ya Bukwimba na Kabuzi.

  Tofauti kidogo ni kuwa enzi za KABUZI CHADEMA haikuwa na nguvu hata kidogo(tulikuwa hatuweki mgombea kuanzia UBUNGE,UDIWANI na M/kijiji) na chama pekee cha upinzani kilikuwa CUF chini ya Mgombea wao HUSSEN(Huyu anatamaa sana alishindwa mara mbili na KABUZI na sasa amehamia MABAMBANI).
  Pia kipindi cha kabuzi wasomi walikuwa hakuna ndiyo maana hata ndani ya CCM yeye na Mkuu wa wilaya ya BIHARAMUlO ndiyo walikuwa wanaonekana wasomi pekee. Lakini kwa sasa ni tofauti sana na Bukwimba anapambana na changamoto nyingi sana, kwanza CHADEMA ina nguvu kupita kiasi na hadi mda huu ndiyo inaongoza makao makuu ya Jimbo(KATORO).
  Pili mama huyu ameshindwa kutetea Kura zake kwa kuleta maendeleo,ameendelea kuishi MIKOCHENI na hadi mda huu hana Ofisi ya Mbunge .
  Jimboni kwake watu tunaishi maisha magumu,wachimbaji wadogowadogo hawanadhana licha ya kuahidiwa na MBUNGE.

  KUHUSU UMEME: Kwa chaguzi mbili zilizopita ili uchaguliwe ilikuwa rahisi sana,maana ulitakiwa kuja na mikakati ya kuleta umeme jimboni..Bukwimba kwa kushirikiana na NGELEJA waliwalaghai wananchi wa BUSANDA kuwa wakichagua CCM watapewa UMEME wakaenda mbali sana hata wakafikia hatua ya kuleta Nguzo za umeme kwa ukosefu wa elimu BUKWIMBA akashinda hadi ninapoandika haya hakuna dalili za kupata umeme,nadhani anasubiri uchaguzi ukaribie.

  KUHUSU KABUZI JR: Mimi simfahamu huyo anaye jiita kabuzi Jr,kimsingi watoto wake wakubwa ninaowafahamu ni Frednand Rwilomba(BA Political Science kama sijakose) na JOHN KABUZI(Mwalimu wa shule ya msingi KATORO) pia kuna mwingine anasoma Third year UDSM(Simfahamu) na dada yao ambaye ameolewa GEITA(pia huyu ni mwalimu). So,kati ya hao nadhani Frednand huenda ndiyo Kabuzi Jr.

  KUHUSU UBUNGE: Mimi sina tatizo na mtu yeyote anaye taka ubunge wa BUSNDA lakini kwa vyovyote itakavyo kuwa uchaguzi ujao CHADEMA lazima tuchukue jimbo, iwe ni mimi au yeyote atakaye wakilisha CHAMA HIKI.

  CHANGAMOTO KWA KABUZI JR: Kwanaza anatakiwa aje kwetu BUSANDA atangaze na/au aonyeshe nia ya kumrithi mzee wake,na siyo kutangazia Mitandaoni ambapo wenye access ni sisi ambao pia ni wagombea kama yeye.
  Pia amshauri kaka yake aache dharau maana huenda ikamu-affect huko tuendako pia approve nikiasi gani yupo tayari kutumikia wana BUSANDA na siyo posho za 200,000/

  MWISHO: Naendelea kusisitiza 2015 CHADEMA TUTACHUKUA BUSANDA,namtakia maandalizi mema na mungu amjalie tukutane 2015.....
   
 12. k

  kazobe Member

  #12
  Dec 23, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka hapo juu umenena kwa ufasaha na ukweli kabisa ni kweli kwamba huyu kijana anatakiwa aje mapema lakini aangalie vizuri chama kitakachomtoa fresh, mimi mwenyewe nina uhahakika wa 100% kugombea ubunge na wa kushinda kwa asilimia 100 wasiwasi wangu ni kwamba kama watu kama mimi tupo wengi hebu tukutane pamoja tuone ni nani kati yetu ataweza kuhakikisha jimbo linakwenda kwa watu mahiri.
   
 13. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #13
  Dec 23, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Iramba mashariki kumekucha, mwokozi nakuja kuwaokoa.
   
 14. Ufunuo

  Ufunuo JF-Expert Member

  #14
  Dec 23, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  wanawake wakiwezeshwa wanaweza
   
 15. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #15
  Dec 24, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  chief lugina umetoa maelezo mazuri hapo ila juwa siku hizi sisi wapiga kura hatuchagui tena chama tunachagua mtu.mambo yakusema cdm wakiweka ata jiwe litapita hakuna.sisi tunataka kijana anayeweza kututea na awe na elimu ya kutosha walau masterz hivi.mi sigombei ila nitapiga kampeni kufa na kupona hapo kwa kumuunga kijana makini atakaye tokeza mkono toka chama chochote.kunusuru madini yetu
   
 16. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #16
  Dec 24, 2011
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,484
  Likes Received: 4,754
  Trophy Points: 280
  Jamani 2015 bado sana..................
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Dec 24, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Busanda imesanda
   
 18. k

  kazobe Member

  #18
  Dec 27, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  i dont think kama masters yaweza kuwa kifezo cha mtu kugmbea ubunge take an example of kagame ana elimu gani watu waliotulete auhuru wana elimu gani the issue hapa ni management na siyo elimu wala nini. je huyu mtu atakeye jitokeza is it real ana faa au ni mtu anataka sifa tuuuuuuu......
   
 19. C

  Chief Lugina JF-Expert Member

  #19
  Dec 27, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 290
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hapa Tanzania na sehemu yoyote Elimu haijawahi kuprove performance kwa wanasiasa,kimsingi sipingi mtu kuwa na elimu ya kutosha but nachomanisha anatakiwa kuwa na elimu ambayo inaweza kumsaidia kuchambua miswaada bungeni. But kikubwa kwenye uongozi wa uwakilishi wa watu(sema ubunge) ni moyo wa kujitolea na kuamini katika watu(unaowawakilisha). What's masters? hiyo ni sifa tu,jaribu kufanya analysis kidogo tu utofautishe mtu aliyesoma BA.PA na MA.PA the uone kunatofauti gani....Pia ifahamike Ubunge siyo professional hadi utake masters ndiyo maana leo tuna wabunge waliosoma LAW,MD,CS,PA na etc............Lakini kitu kigumu nilicho kinotice hadi mda huu ni jinsi gani utajitambulisha kwa wana Busanda kuwa unautaka ubunge wakati mda haujafika but at the same time akina Chief Lugina tunaendelea kufungua matawi na kushiriki katika shughuli za kijamii kuanzia katoro,msasa,Kaduda,nyamigota,chibingo,Lwamgasa hadi Nyarugusu................Karibu tushiriki kuirudisa busanda kwa wanabusanda: UPDATES: Next year mwezi wa kwanza naanda waraka maalumu kwa wana busanda,hivyo Kabuzi jr jitahidi usiukose maana utajua unaenda kupambana na nani hapo 2015 ili uone kama nguvu ya kujenga na kubomoa hoja ya washindani wako(Sifa ya kuwa mwanasiasa) unayo, ili kama hauna ule msemo wa "if you can't fight them join them" uchukue nafasi mapema
   
 20. k

  kazobe Member

  #20
  Dec 27, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  kaka uko sawa kabisa halafu ukifuatilia watu kama hawa watakuwa ni walewale mafisadi type komaa na kazi unayoendelea nayo ya kufungua matawi sisi tupo nyuma yako.
   
Loading...