Prof. Lipumba na Mtatiro tafuteni ukazi Z'bar uwaziri SMZ unalipa, CUF Bara siyo riziki tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof. Lipumba na Mtatiro tafuteni ukazi Z'bar uwaziri SMZ unalipa, CUF Bara siyo riziki tena

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DT125, Dec 28, 2011.

 1. D

  DT125 JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 203
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Kukataa kuhojiwa Hamad Rashid na Kamati ya Nidhamu ya CUF ni dalili za wazi kuwa CUF siyo riziki tena Bara. Kwani kuwepo kwa wajumbe wengi kutoka Bara katika maamuzi ya CUF kunaweza kukwamisha kufukuzwa HR kwa kura kutokutosha kumwengua, hii itatokana na wajumbe kutoka Bara kupiga kura za kuwakomoa wa visiwani kwa chuki ya kutonufaika na CUF kama walivyo wenzao wa visiwani. Watu wa Maalim Seif walioko mbali ni wakati wa kutafakari ili wauchukue ukazi wa Z'bar.
   
Loading...