Hawa jamaa wa manispaa/magufuli sijui kwanini wanaacha barabara ya kuanzia mwenge kwenda bunju kuwa chafu namna hii.barabara imejaa michanga na mwisho kunakuwa na mashimo.inaleta hadi kinyaa.tunaomba mkurugenzi wa manispaa/waziri magufuli mpite njia hii mjioneeee ni chafu hasa sehemu ya boko na bunju b