Wezesha CHADEMA 2015, shawishi wenzio popote uwapo tuwape likizo CCM

Boniface Evarist

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
1,147
512
Jaman rais wa nchi si Mungu. Na siasa ina kanuni ya biashara. Ushindani ndo sera yenyewe, hapa nchi 2nababaishwa sana na Tanesco kwa kuwa hawana washindani. Chukulia mfano kipindi kile TTCL ndo ilikuwa kampun pekee ya mawasiliano! Mambo yalikuwa ovyo na hayavutii atleast wakaja mobitel, celtel, vodacom, zantel, sasatel n.k hakuna asiyejua jinsi Tanzania
sasa mawasiliano ni bwelele, siku watu wa South Africa wanatu
beep tuliopo Tz. I mean kwamba tuache kufikilia
habari za EL au Membe bali tujikite kuuimarisha
upinzani usimame na uchukue awamu ndipo
tuone tunaenda wapi? CCM ni wez, mafisadi, wasiojar wananchi na
kila ubaya wao
wanaona poa tu kwa kuwa hawajaona
wenzao wanaongozaje
the same nation. Nani kakuroga wewe Mtanzania mwenzangu
mpaka hutaki kuelewa maana ya vyama vya
upinzani? Please
nakuomba tafakari na
amua kuikomaza nchi yetu kisiasa. I mean it, naumia sana hasa na
utawala wa JK. Hivi unaogopa nini kuipa mwelekeo CHADEMA?
CUF? PONA? NCCR? PPT
n.k.
Binafsi nataka
CHADEMA WAJARIBU
KUONGOZA NDIPO IJE ITOKEE CCM Tena wakijipanga na kuwakosoa CHADEMA.
Ref. North AMERICA republican and
democratic mambo si yale! Nani kakuroga
wewe huitakii mema Tanzania?
NAKUOMBA WEZESHA CHADEMA 2015, SHAWISHI WENZIO POPOTE UWAPO 2WAPE LIKIZO CCM ANGALAU AKILI ZAO ZIPUMZIKE!
 
This is a very good thread! It should be read by al watzns wapenda mabadiliko. Ccm imezeeka kifikra. Imebweteka kiuongozi na imelewa ufisadi. Tunatakiwa tuwapumzishe wakajiulize ili waweze kujipanga upya. Pengine tunaweza kuona wanafaa kurudishwa tena. Kwa sasa, they need a holiday/leave. They real need it. Tuwasaidie kupata likizo kwa kuichagua cdm angalau kwa kipindi kimoja tu. Mambo yote wanayosewa hayawezekani yatawezekana very easy
 
Nakubaliana nawe, mi nimejitahidi sana kuelimisha watu mikoa ya kusini; Lindi na Mtwara.

Nilianza ngazi ya familia, naendelea kuwashawishi kina Dr. Slaa na Mbowe, twende tukafanye opereshen korosho, mimi mwenyewe sasa hivi nipo Kigoma nimetoka Lindi & Mtwara mwez wa 11.

Naomba uni PM ili tupange harakati
 
CCM itatawala maisha kwa vile mumerizika kuwa watanzania bada ya kuiua Tanganyika.

Ngojeni kuhongwa T-shirt na Kanga za kisudu ili mutowe bless kwa CCM.

KWANGU MIMI KUWA MZANZIBAR NI FAHARI YA ASILI YA NCHI YANGU.
 
Good sms,da jamani wakuu wa Cdm naombeni jimbo la Kongwa pia tusongeshe kule awareness imekua juu kwa waTz wamechoshwa sana na hawa Magamba,binafsi najitahidi kutoa elimu hasa kwa wanafunzi wengi tuu maana wao ni rahisi kupenyeze ujumbe kwa wengine
 
Tuko pamoja lazima 2015 isambaratike kama KANU na sio kupata likizo tu, historia yake itafutika kabisa kwenye ramani ya siasa za tz. Kila mtu ameichoka hiyo chama.
 
Jimbo la njombe kaskazini kumekucha,makamanda tunajitahidi sana kusambaza ujumbe wa mabadiliko na raia wanatusapot sana,na tunaendelea kuchanja mbuga mpaka kieleweke
 
Staki kuikia habari za CDM,CCM,CUF wala NCCR nataka kipya kinacholetwa na Hamad Rashid na Lowasa! Unaonaje hiyo combination? Iko poa ile mbaya. Tupo karibu tunakuja,tutachukua CDM,CCM,NCCR,CUF members.CDM tutaipoteza mbayaaa! Unataka kujua jina la chama? Vuta subira,usiwe na haraka,sisi ndio tumekuja kuing'oa CCM.
 
Hapa ndo tumeanza kutafuta ukombozi wa kweli wa wa Tanzania wanaoendelewa kuteswa na mafisadi,kunyonywa na magamba,kuibiwa rasilimali zetu na CCM,kuhujumiwa hata kodi tunazolipa kwa kipato tunachokihangaikia kwa tabu na bila msaada wa serikali,watanzania wanaokandamizwa kila siku.
Mkuu ulieleta hoja hii nakupongeza sana ila nakupa angalizo usije ukawa pandikizi la magamba ili uone nini tunakihitaji,na kama wewe ni mtu serious na unakerwa na hali ilivyo nchini na utawala mbovu wa CCM basi tunaweza kuwasiliana ili tupeane strategies,maana nina mambo mengi kichwani ambayo nahitaji kushirikisha wana mabadiliko wa kweli ili kuleta tija ya kweli na kujikomboa.tuwasiliane na tutengeneze strong bond itakayotuunganisha na viongozi wa CDM kuikomboa nchi hii,ni sisi twaweza.
 
Kufikiri ki-CCM,ki-CHADEMA nk hakuwezi kutufikisha mbali kama taifa!
Kwenye mambo ya msingi lazima tufikiri kiama watanzania!
MUNGU IBARIKI TANZANIA!
 
Paxman,
Nilianza kukuelewa na kufurahia Post, Mada, hoja zako ila umechemka tu pale uliposema, wewe Binafsi unataka Chadema WAJARIBU ??? !!! Una maana sisi Watanzania ni Kichwa cha Mwendawazimu kila Mtu, Chama, Wawekezaji, Mwana,- Wana- SIASA wa kuja Ncini KUJARIBU,
Ukifuta au kurekjebisha KAULI au SENTESI hii nakuunga mkono 110%, kifupi ulitakiwa useme Wewe Binafsi Unataka, Unawaunga Mkono, Unapendekeza, Unashauri kama hivi.
Kwingine kote tumekuelewa.
Nawakilisha

Jaman rais wa nchi si Mungu. Na siasa ina kanuni ya biashara. Ushindani ndo sera yenyewe, hapa nchi 2nababaishwa sana na Tanesco kwa kuwa hawana washindani. Chukulia mfano kipindi kile TTCL ndo ilikuwa kampun pekee ya mawasiliano! Mambo yalikuwa ovyo na hayavutii atleast wakaja mobitel, celtel, vodacom, zantel, sasatel n.k hakuna asiyejua jinsi Tanzania
sasa mawasiliano ni bwelele, siku watu wa South Africa wanatu
beep tuliopo Tz. I mean kwamba tuache kufikilia
habari za EL au Membe bali tujikite kuuimarisha
upinzani usimame na uchukue awamu ndipo
tuone tunaenda wapi? CCM ni wez, mafisadi, wasiojar wananchi na
kila ubaya wao
wanaona poa tu kwa kuwa hawajaona
wenzao wanaongozaje
the same nation. Nani kakuroga wewe Mtanzania mwenzangu
mpaka hutaki kuelewa maana ya vyama vya
upinzani? Please
nakuomba tafakari na
amua kuikomaza nchi yetu kisiasa. I mean it, naumia sana hasa na
utawala wa JK. Hivi unaogopa nini kuipa mwelekeo CHADEMA?
CUF? PONA? NCCR? PPT
n.k.
Binafsi nataka
CHADEMA WAJARIBU
KUONGOZA NDIPO IJE ITOKEE CCM Tena wakijipanga na kuwakosoa CHADEMA.
Ref. North AMERICA republican and
democratic mambo si yale! Nani kakuroga
wewe huitakii mema Tanzania?
NAKUOMBA WEZESHA CHADEMA 2015, SHAWISHI WENZIO POPOTE UWAPO 2WAPE LIKIZO CCM ANGALAU AKILI ZAO ZIPUMZIKE!
 
This is a very good thread! It should be read by al watzns wapenda mabadiliko. Ccm imezeeka kifikra. Imebweteka kiuongozi na imelewa ufisadi. Tunatakiwa tuwapumzishe wakajiulize ili waweze kujipanga upya. Pengine tunaweza kuona wanafaa kurudishwa tena. Kwa sasa, they need a holiday/leave. They real need it. Tuwasaidie kupata likizo kwa kuichagua cdm angalau kwa kipindi kimoja tu. Mambo yote wanayosewa hayawezekani yatawezekana very easy

wachache tukiamua, 2naweza mbona mpaka 2015 mbali sana
 
Nakubaliana nawe, mi nimejitahidi sana kuelimisha watu mikoa ya kusini; Lindi na Mtwara.

Nilianza ngazi ya familia, naendelea kuwashawishi kina Dr. Slaa na Mbowe, twende tukafanye opereshen korosho, mimi mwenyewe sasa hivi nipo Kigoma nimetoka Lindi & Mtwara mwez wa 11.

Naomba uni PM ili tupange harakati

kaka endelea na kazi fanya maadam nafasi ipo. Kuhusu PM karibu ila usipende PM sana mambo kama haya. Mtu anaweza kukuambia tukutane hotel au eneo lolote tujenge mambo kumbe ni agent wa magamba. So note this.

CCM itatawala maisha kwa vile mumerizika kuwa watanzania bada ya kuiua Tanganyika.

Ngojeni kuhongwa T-shirt na Kanga za kisudu ili mutowe bless kwa CCM.

KWANGU MIMI KUWA MZANZIBAR NI FAHARI YA ASILI YA NCHI YANGU.

ninaheshimu hili kwa kuwa mtu mwenye akili zake na umri mkubwa kawaza hizi. Mwingne anawaza tofauti na wewe

Good sms,da jamani wakuu wa Cdm naombeni jimbo la Kongwa pia tusongeshe kule awareness imekua juu kwa waTz wamechoshwa sana na hawa Magamba,binafsi najitahidi kutoa elimu hasa kwa wanafunzi wengi tuu maana wao ni rahisi kupenyeze ujumbe kwa wengine

Simama imara na watu, onesha maendeleo yako binafsi kwanza iwe kiuchumi, kisiasa n.k ukiweza hilo hakikisha una kadi ya chama na fuatilia mikakat na vikao vya chama ndipo watu watakuona na Chama kitakuwa na uwezo wa kuweka iman nawe!

Back
Top Bottom