Hivi polisi wa Tz ni akili hawana, au wanafanya makusudi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi polisi wa Tz ni akili hawana, au wanafanya makusudi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tuko, Jan 3, 2012.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Jan 3, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Kwa mfano suala la ukaguzi wa leseni. Hivi ilihitajika hata elimu ya form 4 kuepusha kuwakwamisha abiria ambao hawahusiki na leseni? Imeshindikana nini kunote madereva wasio na leseni mpya, kuwapiga faini kali na kuwaacha waendelee na kazi ya kusafirisha maelfu ya abiria? Hivi kamanda Mpinga ameshindwa kuwaza kwamba ni mamilioni ya fedha zimepotea kwa abiria waliokuwa wamejiandaa na safari kukwama? Amewaza hata maisha yaliyopotea na inconvinience nyingine kutokana na kukwamishwa abiria? Dereva ameadhibiwa nini kama atazuiwa kuendesha gari ambalo abiria walishalipa nauli na hawarudishiwi? Hivi Tz tutaendelea hadi lini kuhudumiwa na polisi wasio na akili? Too sad!
   
 2. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kama hujui bora nikujulishe. Wakiwa PTS moshi huwa wanafunzwa upolisi. Punde waanzapo kazi huwa wana anzisha miradi ya kujipatia fedha kutoka kwa wananchi wasio na hatia. Pale wanapomshika mhalifu kwanza huwa wanamuuliza kama ano uwezo wa kuwalipa na wanakula wote. Mimi pia ninayo leseni ya zamani class c. Leo hii nimekwenda ajili ya kuibadilisha na jibu nililopewa ni kwamab leseni yangu bado haijaisha muda lakini njani nilikamatwa na tigo na wakataka kunitoa upepo na nilipowapandishia na kukusanyika watu wengi harak haraka wakaniachia kwa kunifukuza. POLISI HEMBU MJARIBU KUFANYA KAZI YENU KWA KUFWATA KANUNI ZA NCHI
   
 3. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Sijui hao wakufunzi wao wanaweledi gani! Wanakuwa hovyo kuliko wanapokuwa hawajaenda huko. Leo nauli za kwenda Arusha kutoka Ms ilikuwa ni 3000 badala ya 2500 na Abiria wamejazana maeneo ya Kwasadala, Boma na Kia kwasababu ya hizo leseni. Ni akili ndogo tu ingeweza kulimaliza hili tatizo. Lakini kwa kuwa hawatumii akili, wananchi wa kawaida ndio wameathirika zaidi na hao polisi hakuna walilopata! Ujinga mtupu.
   
 4. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #4
  Jan 3, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  akili ni nywele....wao sio kwamba hawana akili ila wanatumia akili zao vibaya kwa kuamriwa kuwa "kamata,piga,peleka ndani.
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,319
  Likes Received: 22,164
  Trophy Points: 280
  wameamua kuwa kama ile mijibwa wanayoitunza, full kuigana.
  mbwa wamechukua sifa za polisi, polisi wamechukua sifa za mbwa
   
 6. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #6
  Jan 3, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Inasababisha tuamini polisi ni kimbilio la waliofeli shule.
   
 7. nachid

  nachid JF-Expert Member

  #7
  Jan 3, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 898
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Aroo we kamata kama hana reseni rete hata otherwise watoe chochote na we afande Mwita jana 10% irikua ndogo reo ukireta kama ire nakupandisha cheo utoke barabarani
   
 8. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #8
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Jamani hizi thread zenu kwa hasira tulizonazo tunaweza kuonekana tunautukana utawala wa juu wa nchi hii. Kama epa ilishindikana kuwashughulikia wahusika, why unashangaa hili la mabasi hapo ubungo
   
 9. G

  GATZBY Member

  #9
  Jan 3, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Plato alimaliza alipobainisha makundi ya watu: #1: Gold= Akili nyingu(ufahamu) nguvu kidogo #2: Iron= Nguvu nyingi Akili kidogo #3: Silver= Akili kidogo Nguvu kidogo. Pima na uamue. Wahusika ktk @kundi wanajamvi mjaze na huo ndo ushirikishaji Vs ushirikishwaji.
   
 10. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #10
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,827
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Hata mbwa wana akili kuliko Polisi....wao akili ni baadae ila nguvu na ujinga ndio viko mbele
   
 11. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #11
  Jan 3, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145

  Nataka kuamini kwamba akili zao huwa wanaziacha CCP Moshi.
   
 12. K

  Kizibao JF-Expert Member

  #12
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 739
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 80
  Si akili zao wameziacha CCP moshi,kwani huwezi kuacha kitu kama hujaenda nacho...kwa sababu kwa polisi wanaotoka zenj 90% yao basi wana vyeti vya kuazima..sasa unategemea kitu gani hapo?
   
 13. Sijali

  Sijali JF-Expert Member

  #13
  Jan 3, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 2,061
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 180
  Ukitaka wasikusumbue zungumzaa Kiingereza. Jifanye hujui Kiswahili. Nilifanikiwa....!
   
 14. R

  RMA JF-Expert Member

  #14
  Jan 4, 2012
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo sio polisi hata kidogo, bali ni ninyi wananchi wenyewe! Polisi wanatii amri ya serikali ambayo ninyi wenyewe mliiweka madarakani! Hiyo serikali mnayoilalamikia iliingia msituni na kutwaa madaraka? Si ni ninyi wenyewe mlipiga kura kama vipofu baada ya kupokea vikofia vya kijani na chumvi? Hakuna haja ya kulalamika! Acheni serikali mliyoichagua ninyi wenyewe ifanye kazi yake, hadi hapo mtakapopata akili ya kuondoa ushabiki wa Yanga na Simba katika siasa!

   
 15. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #15
  Jan 4, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  uwezo wa kufikiri wa askari wetu ni mdogo sana na hii inatokana na kuwa na askari wasio na elimu f4 failures, na wengine wamebebwa hawakustahili hizo nafasi so wamewaacha waliowafavour wafakirie kwa niaba yao.... Lingine ni kuwa jeshi letu la polisi bado ni la mfumo wa kikoloni big time
   
 16. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #16
  Jan 4, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mkuu hapo order ilitoka wa shamsi naotha wakague leseni kwahiyo viongozi wako wa serikali ndo hawana akili
   
 17. g

  gidytitus JF-Expert Member

  #17
  Jan 4, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  We baba riz, ina maana hulioni hili, hi kero huoni?? Ina mana hawa KK wako husikii wanacho2fanyia raia wa nchi ya Tanganyka? Wamekupa nin lakin.......? Ujue unatukera, umepga kimya km vle we sio rais au we ni rahis nin
   
 18. C

  Caros Member

  #18
  Jan 4, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Embu tuache kulalama kama vile hatujui kazi za TRAFIKI POLISI,hivi ni kweli tulikuwa hatujui kuwa kuna ukaguzi wa leseni za uendeshaji wa magari za daraja fulani (haswa ya ABIRIA daraja C)wawe wamebadilisha LESENI zao hadi kufikia 31-DESEMBA-2011??Watanzania wenzangu TUBADILIKE KIFIKRA kwanza kama tunahitaji MAISHA ENDELEVU!!La sivyo tutabaki katika maisha ya ZAMA ZA MAWE haswa kwa kuendeshwa na wale wenye UELEWA tutakapo kuja kushtuka tutaanza kulalamika kwa kuwaita majina kmv FISADI,TAPELI,MNYONYAJI nk.Hapa mnalalamika kuhusu KUWAZUIA MADEREVA WASIOKIDHI SIFA ZA UENDESHAJI WA MAGARI YA ABIRIA,tayari mmesahau sio siku nyingi kulikuwa na AJALI ZA KUTISHA BARABARANI zilizo sababisha ndugu na jamaa zetu wengi KUPOTEZA MAISHA huku tukiwapa lawama MADEREVA kuwa sio MAKINI na hawana SIFA,LAWAMA zoote TULIWATUPIA JESHI LA POLISI KITENGO CHA USALAMA BARABARANI,kama wewe ni MTANZANIA MZALENDO sidhani kama ungethubutu KULALAMIKIA hatua zinazofanywa na Jeshi la Polisi sasa!!!!!
  Nawaomba wana JF tuwe MAKINI&WAZALENDO wa kweli wa NCHI yetu,hakuna atakaye tuletea MAENDELEO zaidi ya sisi WENYEWE!!Sasa ndio wakati wa kujua ni MADEREVA gani wana SIFA za kuwa madereva wa kuendesha magari ya ABIRIA na VISHOKA!!Tuamue sasa kwa KUSHIRIKIANA na JESHI LA POLISI kuhusiana na hili suala ili tuweze KUPUNGUZA AJALI ZILIZO MALIZA WENZETU JAMAAAANIIIII,sikilizeni TANGAZO linalo rushwa hewani na RADIO ONE kuhusu TAKWIMU za ajali za barabarani ZINATISHA,je kwanini wewe unae walaumu hawa Polisi kwa hatua wanazo chukua SI MMOJA wa hao walio athirika??TAFAKARI CHUKUA HATUA.....KILA MZALENDO WA KWELI AWAUNGE MKONO JESHI LA POLISI KUPUNGUZA AJALI ZA BARABARANI.
  Nawakilisha:car::car::car::car:
   
 19. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #19
  Jan 4, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Shamsi aliwaambia wakague leseni mpya ndio. mi sipingi hilo, ila busara ingetumika kukagua bila kukwamisha safari za zaidi ya abiria elfu 5. Walishindwa nini kuwapiga faini ya hata laki 2 hao madereva ambayo wangetakiwa kuilipa ndani ya mda fulani lakini wakaachwa waendelee na kazi? Hivi kwa umbumbumbu huu wa polisi tunategemea ufanisi gani katika vita dhidi ya ujambazi, dhidi ya madawa ya kulevya na dhidi ya al shabaab?
   
 20. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #20
  Jan 4, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Sio kweli, polisi wana-deal na watu mchanganyiko na wengi wao wakiwa wasumbufu kupita kiasi. Kwa hivyo polisi wakileta u-bishoo kwenye kazi yao nchi itatapakaa uhalifu wa ujambazi, mauaji, mibangi, uporaji, vurugu na maandamo kinyume cha sheria, uvunjaji wa sheria, ubabe, n.k.
   
Loading...