Umbumbu wetu juu ya kodi na uwajibikaji mbovu wa serikali ni kaburi la maendeleo yetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umbumbu wetu juu ya kodi na uwajibikaji mbovu wa serikali ni kaburi la maendeleo yetu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Paul J, Jan 4, 2012.

 1. P

  Paul J Senior Member

  #1
  Jan 4, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Importy Duty 25%
  VAT 18%
  PAYE 15% (Average kati ya mishaara kuanzia 360,000 kwenda juu)
  FUEL LEVY 12% (200Tsh kwa kila Rita)
  Jumla 70%

  Kwa kuwa huduma za jamii kama vile maji, barabara, umeme, shule, hospitali si nzuri mara nyingi kile tunachobakiza huelekezwa kwenye huduma hizi pamoja na chakula hela inayoelekezwa kwenye maendeleo ya binafsi is almost negligible na katika hali kama hii ni ngumu kwa mtu wa kawaida kuendelea na kwa style hii ndo maana wanasiasa wengi ni mafisadi kwa sababu pesa nyingi za kifisadi hazikatwi kodi! Watanzania fungukeni na kudai haki zenu za msingi kutoka serikali ikiwa ni pamoja na huduma bora za jamii kama vile shule, barabara nzuri, maji, afya n.k. Ni wajibu wa serikali kuwapatia wananchi wake haya yote kwa ubora unaotakiwa na si charity! Naomba wachumi wa linki hizi kodi na kipato chakila mmoja maana wapo waliolala hawajui ni vipi hizo kodi zinawagusa maana wengine watakuambia sijawi kuimport kitu wakati hata tooth stick zinaimportiwa kutoka China! Mwingine atasema fuel levy ya nini wakati hanunui mafuta lakini anapanda daladala!Mwingine atasema VAT ya nini wakati mhindi anampa risiti isiyokuwa electronic device za TRA!
  TAFAKARI NA CHUKUA HATUA, SERIKALI ITATUKAMUA MPAKA TONE LA MWISHO!
   
Loading...