Hamad Rashid kupigwa chini?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hamad Rashid kupigwa chini??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAGEUZI KWELI, Jan 4, 2012.

 1. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Ninajaribu kufikiria maamuzi magumu yanapochukuliwa na madhara yake kwa hasa msingi uliosimama.
  CUF wanakutana Zanzibar na hoja kubwa inaongelea HR.Jana nimepita maeneo ya Darajani karibu na Muzamil na pia nimekuwa Michenzani njia ya Mlandege, Haikutosha nimekuwa Mchina mwanzo na kweli nimesikia kila mtu anaongelea HR kupigwa chini.Leo Asubuhi nilikuwa Bwejuu na pia nimekutana na mwanacuf Dam kabisa na amesema ama zake ama CUF..Kweli hoja kubwa ni kwamba anayesaliti chama ni lazima atoke.Wakaenda mbali na kusema Aliyekuwa muasisi wa chama cha CUF James Mapalala na yeye aliasi na ndiyo maana wakamtimua kwenye Chama.HR yeye nani asitimuliwe?
  Sasa msingi uliosimama kwa namna moja au nyingine unapotikisika unaimarika zaidi baada ya kupata nyufaaaa au unabomoka baada ya mtikisiko??
  Sijui hapa naacha wanajamii tusemezane. Ila baadae tutajua lipi la kweli...Nipo Zanzibar napekua kurasa]
   
Loading...