Madiwani waliofukuzwa Chadema Arusha warejea mahakamani kudai haki yao

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,889
32,289
Wanabodi.

Ile kesi ya kupinga kufukuzwa uanachama waliokuwa madiwani wa Chadema katika jiji la Arusha inatarajia kutajwa kwa mara ya kwanza Janaury 19 mwaka huu mbele ya Jaji Fatuma Massengi, wa mahakama Kuu kanda ya Arusha.

Habari ambazo zimethibitishwa jana na katibu wa Madiwani hao, John Bayo, zimebainisha kuwa kesi hiyo imefikishwa Mahakama Kuu na madiwani hao kupinga kutupwa kwa kesi yao katika mahakama ya hakimu mkazi mkoani Arusha..

Madiwani hao walifungua kesi hiyo ni.

Aliekuwa Naibu Meya, Estomii mallah (Kimandolu), John Bayo (Elerai), Ruben Ngowi (Themi), Rehema Mohamedi (Viti Maalumu), na Charles Mpanda (Kaloleni)

Mambo bado magumu sakata la Meya Arusha.
 
ritz!

Yaelekea madiwani wasaliti wakubwa wamekutuma humu jamvini! Hii mada imeshapita kitambo tangu mwezi wa 11 mwanzo mwaka jana. Sasa nashangaa unaleta habari kama hii humu.

Usiwe mtumwa Best!
 
ritz!

Yaelekea madiwani wasaliti wakubwa wamekutuma humu jamvini! Hii mada imeshapita kitambo tangu mwezi wa 11 mwanzo mwaka jana. Sasa nashangaa unaleta habari kama hii humu.

Usiwe mtumwa Best!

Mkuu, wamefungua kesi mpya achana na habari za mwaka jana.
 
Hivi huyu aliyejibatiza unaibu Meya wa jiji la Arusha bado ni Diwani wa Kimandolu? Kwakua leo nimemkuta maeneo ya mchana saa 7 akipata lunch lakini alikua akilalamika sana kanakwamba kaonewa! Nikweli wamefungua kesi mpya hata mimi nimesikia hii maneno.
 
Ni pigo kubwa kwa wana Arusha wataendelea kukosa wawakilishi Madiwani, kuna huwezekano hii kesi ikachukuwa miaka miwili hadi mitatu.

Kutokana na kesi kuwa mahakamani itakuwa ngumu kwa Tume ya Uchaguzi kurudia uchaguzi wa madiwani Arusha.

Chadema wanapinga udikteta na hapo hapo inafanya udikteta na kuonyesha sura ya ufashiti endapo itafanikiwa kutawala.
 
Wanahangaika tu hao. Ni mfamaji anatapatapa! Hakuna namna ya wao kuendelea kuwa madiwani. Hata wakikata rufaa Uholanzi!
 
.... kuna huwezekano hii kesi ikachukuwa miaka miwili hadi mitatu.

Hiyo kauli tumeizoea! Tangu ile kesi ya mwanzo ulisema hivyohivyo lakini ikaisha kabla ya miezi mitatu! Hili ni swala la muda tu na kifupi ni kwamba wanaliwa hela zao tu. Hakuna hukumu tofauti na ya awali!
 
Mkuu, wamefungua kesi mpya achanana habari za mwaka jana.
Watahangaika sana it is a wastage of time and money watafute shughuli zingine kwani hadi wawe madiwani? anyway katika pitapita zangu nimekutana na hii post juu yako...
You guy!! Wakati mwingine sio ujanja..ni upumbavu,kama una la kusema sio lazima kuchangia,is better to read and to remain quite you will be considered as a person who having wisdom...otherwise this habit which you build in yourself nowdays of just drop whatever comes from your mind it deteriorates your status to your family especialy your wife Jane and your fivechidren Michael,Miriam,Mathias,Matrida and Mathayo and I don't think if it is good at all....Jiheshimu mkuu!!

Watahangaika sana it is a wastage of time and money watafute shughuli zingine kwani hadi wawe madiwani? anyway katika pitapita zangu nimekutana na hii post juu yako...

Leave well alone! You wont improve matters by going on tinkering...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom